yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Manara: Yanga msishiriki CAFCC ni kombe la losers

    "Kombe la shirikisho ni kombe la loser, hata kama jana Yanga ingeshinda hata siyo Ishu. Siyo Champions League ile." Simba wote tumefurahi sana Yanga kupigwa. Tuna sababu za msingi kufurahi. Video hapo juu ni moja ya sababu. Mmeacha watu wenu wanaropoko kama wehu, halafu leo mnataka tuwaombee...
  2. JamiiForums Tanzania Niliposema suala hili alilozungumza Kikwete, nilitengwa na kutukanwa sana. Huu ndiyo ukweli kuhusu Yanga

    Mechi zetu NBC L tunashinda kwa michongo; kwa kuwahonga Marefa na wachezaji wa timu pinzani. Hili hapa analisema Kikwete kuwa, tunashinda kwa njia ambazo hazitusaidii kwenye mashindano ambayo hatuna mtu wa kuongea naye. Tunapohonga timu nyingine ziikamie Simba, tunawanoa Simba zaidi na...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini wana Yanga SC wengi baada ya Msudani kuwafanya kitu mbaya wameangukia katika kauli hii ili kujifariji?

    "Sawa tumetolewa rasmi Klabu Bingwa, ila Jumapili ijayo tarehe 23 Oktoba 2022 Simba SC watatukoma kwa Mkapa" mashabiki wa Yanga SC. Nami GENTAMYCINE nawauliza wana Yanga SC je, mkiikamia hivi Simba SC na kuifunga hiyo tarehe 23 Oktoba, 2022 ndiyo mnatinga hatua ya Makundi ya Klabu Bingwa (CAFCL...
  4. JamiiForums Tanzania Tukubali Yanga imewekeza zaidi kwenye mdomo(porojo mitandaoni) kuliko kwenye mbinu uwanjani

    Wakuu habari zenu? Baada ya tambo nyingi sana na kejeli mitandaoni na mitaani. Hatimaye yanga imetolewa CAF CHAMPIONS LEAGUE. Msimu ya 2022/23 baada ya kupokea kipigo kikali kutoka kwa wasudani Al hilal cha bao moja kwa bila. Yanga Walikuwa wanaongea sana mpira wa mdomoni bila kuongelea mpira...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Sitashangaa kuona Yanga inaanzia tena nyumbani na kumalizia ugenini

    Na si hivyo, tunaweza pia kupangiwa tena na timu zile zile zenye figisu figisu wanapocheza nyumbani. Hivyo, Yanga tujiandae kisaikolojia. Kwa Tanzania, Kombe la Shirikisho bado ni kubwa mno kwani hakuna timu iliyowahi kubeba hicho kikombe, kwahiyo elekezeni nguvu huko. Eleweni wako watu...
  6. JamiiForums Tanzania Haiingii akilini kabisa kwamba Yanga alishindwa fitina pale kwa Mkapa

    Mimi nina imani kubwa kwamba Yanga alijiandaa na kamati ya ufundi pale kwa Mkapa dhidi ya wale waarabu weusi, na alifanikiwa kabisa kupata ushindi mnono wa nje... Ila naamini kuna wahaini ambao kwa hulka zao za kichawi za kutopenda maendeleo ya wengine waliamua kuwasanua ama wao wenyewe kutibua...
  7. JamiiForums Tanzania Wale mliokuwa mnahesabu Mechi za Yanga SC Kutokufungwa tuendelee au Msudani keshaiharibu?

    Ninachojua Jumapili zote huwa ni mbaya Kinyota kwa Yanga SC hivyo kama alivyokufa Jumapili ya tarehe 16 Oktoba 2022 ndiyo hivyo hivyo ataenda Kufa tena Jumapili ya tarehe 23 Oktoba 2022. Kudadadeki Asanteni Wasudani.
  8. JamiiForums Tanzania Wana Yanga wenzangu tushirikiane tuutoe ule mwiko kule nyuma lasiivyo tutaendelea kuteseka.

    Hii ni aibu sisi ndio mabingwa alafu tunatolewa mapema hivi? Hapana haikubaliki tatizo ni ule mwiko kule nyuma kwa umoja wetu naomba tushirikiane tuutoe haraka iwezekanavyo. Kama tusipoutoa mwiko tusahau kimataifa kufanya vizuri. Daima mbele nyuma mwiko utoke.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Draw ya Yanga Shirikisho kufanyika Cairo keshokutwa Jumanne

    Naam, ile DRAW ya vibonde wa Champions League waliotupwa huko Shirikisho, ambapo inabidi wacheze play offs, inachezeshwa kesho kutwa jijini Cairo saa 10 jioni saa za Kibongo. Draw hiyo itakuwa na vibonde kama TP Mazembe, La Passe, Young Africans, Kwara UTD, Plateu, Zesco n.k. Hatma ya vibonde...
  10. JamiiForums Tanzania Yanga Leo jiandaeni na kumulikwa vitochi usoni

    Hawa jamaa ukiacha kupenda kwao mafataki mwanzo mwisho, pia ni waumini wazuri wa maswala mazima ya vitochi usoni. Leo ndiyo mtajua hamjui, dadeki.
  11. JamiiForums Tanzania Ewe mwana Yanga SC mtaje JF Member mwana Simba SC uliyempania kumnanga mno leo Yanga SC ikifuzu Makundi

    Mimi hakyanani nimempania sana huyu Member aitwae SAGAI GALGANO, kwani anatuchukia mno sisi wana Yanga SC, na kila siku ni lazima tu aanzishe nyuzi za kuisema tu vibaya Yanga SC yetu.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Ahadi ya billioni moja kwa wachezaji Yanga yawatisha Al Hilal, ya Vipers yawapa wazimu

    Ingawa ilifanywa siri kutokana na hali mbaya ya kiuchumi waliyonayo wanuka jasho wa Tanzania, fununu mchomoko ni kwamba yule tajiri wa kiukweliukweli asiye na ubahili hata kidogo, yaani yeye kumwaga mapesa hafikirii mara mbili wala hachungulii daftari, KATENGA BILLION MOJA Al Hilal apasuke kwao...
  13. JamiiForums Tanzania El-Merreikh kapindua meza licha ya kufungwa 3-1, bado Yanga

    Unaweza dharau Yanga ila yaliyowatokea wengne leo Al Hilal ataingia kwa akili sana. Kila la heri Yanga. Mungu ibariki Tanzania, bariki Yanga yetu. Kwa hisani ya @mamabongeeeeee
  14. JamiiForums Tanzania Berkane kapindua meza leo, bado Yanga

    Unajua Berknane ni nani? Leo kapindua meza, alikiwa aende. Bado Yanga!
  15. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Klabu ya Yanga acheni kuwajaza upepo mashabiki wenu

    Katika mchezo wa awali walisikika na kuwaaminisha mashabiki wao ya kuwa kuna timu itapigwa 4 bila, yaani kana kwamba walijua Al Hilal ni sawa na Zalan FC, lakini matokeo yake ilikuwa chupu chupu walale nyumbani. Sasa nimeona hata katika mchezo huu wa leo zipo tambwe toka kwa uongozi na...
  16. JamiiForums Tanzania FT: Al-Hilal 1-0 Yanga (Agg 2-1), Yanga yaondolewa Ligi ya Mabingwa Afrika

    FULL TIME 90+1' Zinaongezwa dakika 4 za nyongeza 90' Wenyeji wanaweka mpira wavuni lakini mwamuzi anasema mfungaji aliotea 81' Farid Mussa anaingia, anatoka Fei Toto kwa Yanga 76' Yanga wanamtoa Morrison anaingia Makambo 70' Mchezo umesimama kwa muda, mchezaji wa Al Hilal ameumia 60' Fei Toto...
  17. JamiiForums Tanzania Ubashiri: Yanga VS Al Hilal draw (2-2/3-3)

    Nahisi kuyaamsha baadhi ya mapepo yaliyolala, tukutane kesho saa tano usiku hapa. Ninachojua Yanga anaingia makundi, kivipi, subiri dakika 90. Mungu ibariki Tanzania na watu wake. Ibariki timu yetu ya Yanga.
  18. H

    JamiiForums Tanzania Tahadhari ya mwisho kwa Yanga kabla ya mechi yao na Al Hilal hapo kesho

    Yamebakia kama masaa 24 kabla ya mtanange muhimu kwa Yanga na Al Hilal hapo kesho. Niwatahadharishe kitu kuwa, kesho inaweza ikatokea bahati mbaya Yanga wakafungwa goli la mapema sana. Sasa niwaambie ndugu zangu hawa kuwa, hawatakiwi kukata tamaa mpira ni dakika 90. Goli la mapema linaweza...
  19. JamiiForums Tanzania Japo Yanga siwapendi kuliko timu zote duniani lakini ninapenda Tanzania na sisi tuingize timu mbili makundi CAFCL

    Thamani ya ligi yetu itaongezeka sana. Watanzania wataanza kuangaliwa ili wasajiliwe timu nyingine za Afrika. Na pengine makocha wetu wanaweza kutazamwa. Yanga siwapendi na mpira wao uko sana mdomoni lakini ningefurahi mwaka huu na sisi tuwe na timu mbili kwenye makundi CAFCL. Azam nao...
  20. JamiiForums Tanzania CAFCL Al hilal Vs Yanga

    Huu mchezo hapo kesho huko Sudan matokeo yake ni aidha Al Hilal 1 : 0 Yanga, ama sare ya namna yoyote ile (0:0, 1:1, 2:2, 3:3).
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…