yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Abubakar Salum haumwi, ila amegoma hadi amaliziwe chake chote

    Na kuna mgomo wa chini kwa chini juu ya kuchelewesha mishahara ya wachezaji wazawa ila wa kigeni wote mnawatimizia kwa wakati. Nibishieni hili ili nije na siri nyingine.
  2. JamiiForums Tanzania Yafuatayo ni mambo ya msingi kwa Yanga ili waweze kufuzu kesho

    Hapo awali nilileta uzi humu kuwa Yanga wanashindwa kufanya vizuri kwasababu wanakosa vinasaba vya michuano ya kimataifa. Nilipondwa sana na wana Yanga wenzangu lakini mpaka sasa akili zinawakaa sawa baada ya kuona Simba kwake kufuzu klabu bingwa imekuwa kama jambo la kawaida hata akiwa na...
  3. JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa Uongozi wa Yanga

    Habari wakuuu. Uzi wangu utakuwa mfupi sana lakini wenye fikra na mawazo mapya kwa watu. Msimu wa 2021-2022 Yanga imechukua; Ubingwa wa Ngao ya Jamii Kombe la Azam Sport Ligi Kuu ya NBC Imekuwa bingwa bila kupoteza mchezo wowote, hongera sana kwao. Japo Simba ndiyo ilikuwa ya kwanza kufanya...
  4. N

    JamiiForums Tanzania NAISAIDIA YANGA: Majina/ramani ya vituo vya yatima Khartoum haya hapa katembeleeni kuiwezesha ile ndagu yenu

    Ni ujinga kufanya hiyo ndagu kwa mechi 30 za TFF ambapo mwisho wa msimu unapata millions 500 wakati leo ukiifanya hapo Khartoum unaingia makundi na kujipatia billion 1.2. Ule mtindo wa kutembelea vituo yatima msiogope wandugu, ipigeni leo mkitua hapo mchana. Wahi supermarket kanunueni...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Yanga wakipundua meza, watakuja na kauli "Bila sisi kuwasema, msingevuka"!

    Wakati hivi sasa wako makini kuishambulia Yanga, moja ya lengo lao likuwa ni kuwakatisha tamaa mashabiki na wachezaji wa Yanga hususani wachezaji na viongozi ili wawe na molari ndogo kisha watolewe. Lakini matokeo yakija tofauti, bila aibu na kwa unafiki, watasema bila sisi kuwashambulia...
  6. JamiiForums Tanzania Shida ya Yanga imeanzia hapa

    Naomba nieleweke, naongea kikubwa hapa, wale wenye uzito watanielewa. Na kwa hili sirejei mechi yenu ya kesho, ombeni Mungu anaweza kuwasaidia. "Mnapojitafutia mafanikio msizibe pumzi ya jirani yako, yaani afe, asifanikiwe, akwame", uchawi huu huwa unafeli sana na matokeo huwa yanamrudia...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna ulazima gani wa sisi Yanga kuiga kila wanachofanya mkia?

    1. Simba Day Tuwaze mambo mapya.
  8. JamiiForums Tanzania VIDEO: Al Hilal wakijiandaa kuwakabili Yanga

    Hii video inayosambaa kwa kasi inaonyesha Al Hilal, Waarabu weusi, wakiwa kambini wakijiandaa kuwakabili Yanga. Ndugu zetu hawa wana kazi kubwa sana.
  9. JamiiForums Tanzania Natabiri Kocha wa Yanga SC Nabi Kufukuzwa kwa Mwarabu Jumapili au kwa Mkapa Jumapili ijayo

    Viongozi wa Yanga SC waliokanusha kuwa Kocha Nabi hana Mpango wa Kufukuzwa ni Waongo na Wanafiki. Ukweli ambao GENTAMYCINE ninao kutoka katika Vyanzo vyangu Ndani ya Klabu ya Yanga SC ni kwamba Kocha Nabi kapewa Mechi Mbili tu ya Al Hilal FC ( Sudan ) Jumapili na ile dhidi ya Simba SC (...
  10. JamiiForums Tanzania Mechi ya Al Hilal dhidi ya Yanga tarehe 16.10.2022, Al Hilal atashinda goli mbili au zaidi

    Baada ya kufanya uchambuzi wangu yakinifu na kiuhalisi hesabu zangu hazidanganyi. Nimepata matokeo ya Mechi ya Al Hilal dhidi Yanga itakayopigwa tarehe 16 Oktoba 2022 nimejiridhisha kuwa matokeo ya mechi hiyo yatakuwa ni ushindi kwa Al Hilal na watashinda goli mbili au zaidi (Over 2.00 Goals)...
  11. JamiiForums Tanzania Kitakachoibeba Yanga tarehe 16 OKtoba ni uzoefu na kujiamini

    ๐˜ฝ๐˜ผ๐™๐™๐˜ผ ๐™”๐˜ผ ๐™’๐˜ผ๐™•๐™„ ๐™†๐™’๐˜ผ ๐™๐™Š๐™‰๐™‚๐™Š๐™•๐™„ ๐™’๐˜ผ ๐™๐™„๐™ˆ๐™ ๐™”๐˜ผ ๐™”๐™Š๐™๐™‰๐™‚ ๐˜ผ๐™๐™๐™„๐˜พ๐˜ผ๐™‰๐™Ž (๐˜๐€๐๐†๐€) 13/10/2022 Habari ndugu viongozi wa timu yangu pendwa ๐™™๐™–๐™ง ๐™š๐™จ ๐™จ๐™–๐™ก๐™–๐™–๐™ข ๐™”๐™ค๐™ช๐™ฃ๐™œ ๐˜ผ๐™›๐™ง๐™ž๐™˜๐™–๐—ป๐™จ, au kama mnavojiita kiswahili ๐—ฌ๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ, au mnavotambulika ๐—ง๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—ป๐—ฐ๐—ต๐—ถ. Kwanza kabisa nitoe kongole kwenu viongozi na wote mlioiwezesha Yanga kufikia...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Yanga watafute video za Fc Port ya Ureno ilipokuwa ikinolewa na Kocha Jose Mourinho

    Nimeona niwape kidogo mbinu Yanga ili kuisaidia timu kuvuka hiyo hatua muhimu. Kwanza nawasalimu. Mimi ni mpenzi wa mpira wa Ulaya hasa Ligi ya Uingereza katika kipindi cha miaka ya 2000 hadi 2013. Katika hiki kipindi soka la Ulaya lilikuwa sio la kisport sport. Ilikuwa ni balaa sio kama sasa...
  13. JamiiForums Tanzania Yanga kucheza na Green Worriors kujiandaa na Al Hilal

    Wakati Al Hilal ikichakaza 4-0 kwenye ligi ya Sudane, Yanga wao watacheza na Green Worriors kujiandaa na mechi ya Champions dhidi ya timu ngumu ya Al Hilal. Green worriors ni ya 3 kutoka mwisho kati ya timu 16 za Ligi Daraja la Kwanza
  14. S

    JamiiForums Tanzania Yanga akifanikiwa kuitoa Al Hilal, hizi ndiyo zitakuwa hoja za mashabiki wa Simba

    Katika soka, lolote linaweza kutokea na haitokuwa mara ya kwanza kwa timu isiyopewa nafasi au iliyoko ugenini kufanya maajabu na kuacha gumzo pamoja na kuandika historia. Kwa msingi huo, Yanga wanaobezwa na mashabiki wa Makolo FC wakifanikiwa kuitoa Al Hilal, wenzetu hawa watakuja na hoja hizi...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mchambuzi Oscar Oscar atabiri Yanga kupindua matokeo Sudan kwa kufanya hivi

    Mchambuzi Oscar Oscar ametoa mtazamo wake kuhusu marudiano ya Yanga na Al Hilal.
  16. N

    JamiiForums Tanzania AIBU: Digital Manager wa Yanga adanganya Mayele kuitwa Mfalme wa Dhahabu na Canal Sports

    Naam, ni mwendo wa ma uongo na ma propaganda kwa kwenda mbele toka utopoloni, lakini kwa kudra za Mungu tumejipanga kuwaumbua wasambaza propaganda za uongo, may God help us! Ona huyu afisa wa UTO SC anadanganya mchana kweupe hadhar.ani, shame on you Mangi Shayo
  17. N

    JamiiForums Tanzania Yanga yamkatia Rufaa CAF mchezaji wa Al Hilal, wadai alikuwa na Kadi 3

    Hii sasa ndiyo inaweza kuwapeleka makundi vinginevyo Jumapili hadi kufikia saa nne kamili usiku itakuwa ni kilio kikubwa kwa wana Jangwani. Watu watapigwa kama ngoma na Waarabu weusi.
  18. JamiiForums Tanzania Yanga SC mkiambiwa kila kitu 'Mnawaiga' Simba SC na Simba SC ndiyo 'Baba lao' msiwe 'Mnabisha'!

    "Taarifa za ndani zinaeleza Yanga wataondoka Jumamosi alfajiri na watafika Sudan asubuhi kisha jioni watafanya mazoezi kwa ajili ya mchezo wa Jumapili. Mbinu hiyo waliitumia Simba walipokwenda kuichapa Agosto huko Angola" Chanzo: Sports Arena Wasafi FM. Na msivyojua kufikiri wenzenu wenye...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri wa Michezo Mchengerwa unavyosema Simba na Yanga sasa 'zitaitii' Serikali unajielewa Wewe?

    Hivi hapo Wizarani Kwako hakuna Watendaji waliokuzidi Akili ambazo huna ili wawe Wanakusaidia Kiushauri na usiwe Unakurupuka Kimaongezi? Waziri Mchengerwa nani alikudanganya kuwa Vilabu vya Simba na Yanga vinamilikiwa na vinasimamiwa na Serikali yako mpaka leo katika Hafla ya Kuwopongeza Tembo...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri wa Michezo Mchengerwa, Yanga SC ingeifunga Al Hilal FC juzi haya 'Mapovu' yako ya leo ungeyatoa?

    Wewe ni Waziri mwenye chuki sana na uongozi wa TFF na una wivu wa kishamba na Simba SC kutokana na mafanikio yake, hasa kimataifa dhidi ya timu yako unayoishabikia mno ya Yanga SC. Leo katika hafla ya kuwopongeza Tembo Warriors umetoa kauli kuwa TFF isiwe inabagua kutoa ushauri kwa vilabu vya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ