yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Yanga tukitolewa na hii club itakuwa aibu sana

    Hawa ni Zalan FC ,wamekaa kiporipori ,tukitolewa sura zetu tutaziweka wapi?
  2. JamiiForums Tanzania Kwa nini Aishi Manula siku hizi anaikimbia sana Yanga SC?

    Kila mechi za yanga huyu kipa pendwa lazima aumwe shida ni nini? Ama anaogopa aibu?
  3. JamiiForums Tanzania Yanga yaweka rekodi mpya ya Dunia

    Yanga imekuwa timu ya kwanza Afrika na ya 9 Duniani kucheza mechi nyingi bila kufungwa, Mechi 39 nyuma ya Chelsea.
  4. JamiiForums Tanzania Cedric Kaze vipi boss mbona Yanga imepunguza kukaba kitimu na kwa nguvu?

    Cedric Kaze nakukubali sana Mwalimu unajua sana kukaba mashabiki lia lia tunajua kuwa Yanga haifungiki sasa msimu huu mbona naona kama Yanga haiko imara sana pasi si nyingi kama mwaka jana, uwezo wa timu kumiliki mpira na kupasua katikati kwenda mbele kushambulia umepungua, mabeki wanarudisha...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kongole Yanga kwa kuushinda mtihani wa kwanza point 6 ngumu

    Napenda niwapongeze benchi la ufundi na wachezaji wa yanga kwa kuondoka ugenini na point 6 muhimu, akuna asiyejua namna ratiba yanga ilivyopangwa msimu huu, kamaliza mechi ngumu ya dabi jumamosi ikambidi asafiri km nyingi kwenda arusha jumatatu na kucheza jumanne kwenye mechi ngumu dhidi ya...
  6. JamiiForums Tanzania Coastal Union 0-2 Yanga | Ligi Kuu Bara | Sheikh Amri Abeid

    Ni weekend tena. NBC Premier League inaendelea ambapo Wagosi wa Kaya, Coastal Union watashuka dimbani kuwaalika Mabingwa watetezi wa taji, Yanga katika dimba la Sheikh Amri Abeid Kaluta jijini Arusha. Mara ya mwisho timu hizo zilikutana katika dimba hilo mwezi wa saba mwaka huu katika mchezo wa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Ubunifu: Njia ya rahisi ya kuhamisha watu kushiriki zoezi la sensa ilikuwa ni kupitia ushabiki wa vilabu vya Simba na Yanga

    Serikali ikitaka isitumie resources nyingi katika kuhamasisha watu washiriki zoezi la sensa, njia rahisi ilikuwa ni kuchomekea swali: mtu anaehssabiwa aseme kama yeye ni Yanga au Simba. Japo hilo swali sio lengo la sensa, lakini kupitia swali hilo, lengo la sensa lingefanikiwa zaidi- the end...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kama Yanga SC wako vyema kwa sasa imekuwaje wamezidiwa idadi na Simba SC kwa Wachezaji walioitwa leo Taifa Stars?

    Ni Kocha Mwendawazimu tu wa Taifa Stars ndiyo ataacha Kuita Wachezaji wengi wa Simba SC kuichezea Taifa Stars na akawaita Wachezaji wengi wasiojua wa Yanga SC. Asante na Hongera mno Kocha wa Taifa Stars Kim Paulsen kwa Kuita Wachezaji 9 wa Simba SC Taifa Stars na Kuita Wachezaji 7 tu wa...
  9. N

    JamiiForums Tanzania YERIKO NYERERE ADAI WANA YANGA WAMETAPELIWA LEO

    Baada ya simba kuonyesha jezi kwenye mkataba wa m-bet wana utopolo wakiongozwa na kubwa la ma NINCOMPOOPS Alhaji sope takadini zeru square waliwasikitikia sana wanasimba kwamba wametapeliwa kwa kuwa hawakuonyeshwa mkataba wakaishia kuonyeshwa jezi Sasa ukishangaa ya Pwaguzi albino shangaa ya...
  10. V

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga ni ngao ya kupumbaza wananchi wasifuatilie mambo muhimu ya nchi

    Serikali imewapa wananchi ajenda ya simba na Yanga. kila kona ukipita watu wanajadili simba na Yanga. Hawana habari na gharama za maisha kupanda. Hawana habari na ufisadi unaofanywa Hawana habari na ngorongoro Hawana habari na wanyama kusafirishwa kwenda uarabuni Hawana habari ndani ya mwaka...
  11. JamiiForums Tanzania Klabu ya Yanga SC Yaingia Mkataba na Jackson Group

    Klabu ya Yanga leo Agosti 19, 2022 imetangaza kuingia mkataba wa miaka miwili na Kampuni ya Marketing ambayo ipo chini ya mtaalamu wa Marketing nchini KELVIN TWISA. Mkataba huo kati ya Johnson Group na Yanga SC unalenga kuinufaisha klabu hiyo kwa kufungua fursa zaidi kwa wawekezaji na...
  12. JamiiForums Tanzania Yanga msitafute mfungaji bora wa ligi

    Wacha mfungaji bora ajitokeze tu by chance na sio kulazimisha lazima mfungaji bora atoke Yanga. Kufanya hivyo kutakuwa na athari kadhaa zikiwemo: 1. Kumchosha mchezaji mmoja huyohuyo ambae mnamtaka awe mfungaji bora kwenye ligi. mtamlazimisha kumchezesha mechi zooote za ligi. 2. mchezaji huyo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Yanga imetuma offer ya kuvunja mkataba wa Manzoki na sio kwamba imemsajili Manzoki

    Naona mashabiki wanachanganya mambo hapa juu ya suala la manzoki, Ukweli ni kwamba yanga wamekubali kuvunja mkataba wa manzoki na kulipa pesa ambayo vipers wanaitaka na hilo limejiri baada ya makamu wa Rais wa yanga kufanya mazungumzo na uongozi wa vipers pamoja na wakala wa mchezaji husika...
  14. JamiiForums Tanzania Maumivu ni makali, Kwa mara nyingine Yanga wametupora tonge mdomoni kwa kumsajili Manzoki, Simba tunafeli wapi?

    Nguvu moja hatukatai, Lakini sasa kwa hali hii uongozi wa Simba mmeanza kutukatisha tamaa asiee, Ni kivipi deal ya Manzoki imebuma ?? ...... nimeanza kuamini hata maneno ambayo sipendi kuyaamini ya mitandaoni na vijiweni kwamba uongozi wamegeuza timu iendeshwe kibahili bahili kwa lengo la...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Habari kutoka Uganda zinasema kuwa Yanga wamefikia dau la $200000 na mshahara wa $12000 kwa ajili ya kumsajili Manzoki

    HAYA HAYA HAYA HAYAAAAA KESHO TUTAKOMA DADEEEKI UUUWIIII CONFIRMED kabisa na mtangazaji wa michezo huko Uganda ka confirm kwamba SIMBA WALIKATAA KUTOA USD 200K na walimpa offer ya mshahara usd 8000 Utopolo wametoa hizo usd 200k na mashahara wanampa usd 12,000..CASE CLOSED ASANTENI SANA BARBARA...
  16. JamiiForums Tanzania Yanga Kusimamisha Nchi Kesho Saa 5:00 asubuhi

    "Jambo la Nchi kwa Wananchi. Kaa tayari......." 🔍 Young Africans sports club Tunaenda Kusimamisha Nchi
  17. JamiiForums Tanzania FT: NBC Premier League Yanga 2- 1 Polisi Tanzania 16/08/2022

    Leo tena Mabigwa wa nchi, FA na Ngao ya jamii timu ya Yanga inaanza rasmi mbio za ubigwa wa ligi kuu Tanzania Bara. Leo majira ya saa 10:00 jioni macho na masikio ya Watanzania yataelekea huko jijini Arusha, Yanga watakipiga na Polisi ya Tanzania Mchezo huu huenda ukawa na ushindani mkubwa...
  18. JamiiForums Tanzania Yanga tumejifunza nini na uwezo wa kocha wa simba?

    UFUNDI WALIOUNESHA SIMBA kipindi cha kwanza hadi kufikia kupata bao la kuongoza ni tahadhali nzuri ya kujifunza kuelekea kuchukua bingwa mfululiizo. Huyu kocha wa SSC ni mzuri sana sana na inaonesha simba itaweza sana kuzifunga timu magoli mengi katika mechi zao kila watokapo uwanjani...
  19. JamiiForums Tanzania Namna ushindi wa Yanga ulivyonipa utamu wa mtoto wa boss wangu

    Habari wana JF Poleni na majukumu ya kazi pia tujipe pole shabiki wote wa Simba siku ya leo imekua ngumu na yenye maumivu sana juu ya team yetu ya Simba kufungwa basi bana wacha twende kwenye Maada Kupitia derby hii ya Kariakoo nikiwa Kama shabiki wa Simba huku kitoto cha boss wangu kikiwa...
  20. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo Sababu Yanga Kushinda nje ya Uwanja Kama Mashabiki wa Simba wanavyolalama

    ZIKISALIA saa kadhaa tu kabla ya kushuka kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam kuikabili Simba katika mechi ya Ngao ya Jamii ya ufunguzi wa msimu mpya wa Ligi Kuu Bara 2022-2023, mastaa wa Yanga wameandaliwa msosi maalumu ili kuhakikisha wanatakata leo. Mbali na kuandaliwa msosi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…