yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. N

    JamiiForums Tanzania Kumbe kule Yanga ana mamlaka makubwa hivi? Anaamua nani asajiliwe au asisajiliwe

    Asalalaleeee nilijua Sope bin takadin ndoa yake na yanga imefikia patamu kama pwagu na pwaguzi pale walipoyabeba matusi yake kwa karia kuwa ya taasisi lakini sikujua kama ana mamlaka makubwa kiasi hicho huko utopoloni ya kuamua nani asajiliwe na nani asisajiliwe, aiseee asante Barbara...
  2. JamiiForums Tanzania Yanga na Singida Big Stars kubadilishana wachezaji

    Hayo yote ni kwa mujibu wa Jemedari Said Kazumari. Kama itatokea kweli basi yatajirudia ya Feitoto alivyotolewa na Singida Utd kwenda Yanga.
  3. JamiiForums Tanzania Ushauri: Yanga jifunzeni kwa simba kimataifa

    Kwanza ieleweke sifungani na upande wowote, Mimi ni mshabiki wa manyema rangers mkuki wa sumu. Simba kuvuka kwenda makundi ni 80% zingine 20% nimeziacha kutokana na uzembe wao Kama walivyofanya misimu mingine waliyotolewa. Odds nyingi zinalalia kwa simba. Yanga kuvuka ni 30% japo uwezo wa...
  4. JamiiForums Tanzania Draw ya Klabu Bingwa Afrika: Yanga yapangiwa kucheza na Zalan ya South Sudan; Simba kucheza na Nyasa Big Bullets ya Malawi

    Draw ya club bingwa Africa tayari . Zalan vs Yanga; Mshindi wa mechi hii atacheza na mshindi wa mechi ya St George ya Ethiopia dhidi ya Al Hilal ya Sudan Big Bullets against Simba; Mshindi wa mechi hii atacheza na mshindi wa mechi ya Red Arrows ya Zambia dhidi ya Primero di Agosta ya Angola
  5. JamiiForums Tanzania Mapato Simba Day vs Yanga Day

    Kuna kitu sijaelewa, Simba ndie kajaza uwanja lakini mapato kazidiwa. Naomba maelezo
  6. JamiiForums Tanzania Kwa haya Malengo yetu Yanga 2022-2023. Simba mtavurugana sana. Kuanzia tarehe 13/08/22 ni kilio mpaka tarehe x/08/23.Natoa tamko Rasmi

    Simba mtalia sana mwaka huu.. Mtalia kinyama .. Mtalia ndani mtalia nje. Mtalia ofisini mtalia nyumbani. Kifupi mwaka huu hadi ujao mtakuwa wakiwa sana. Mtakuwa wanyonge shambani mtakuwa wanyonge sokoni.. Mtakuwa wanyonge nyumbani mtakuwa wanyonge kazini.. Mtakuwa wanyonge barabarani mtakuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Naweka Utani wangu pembeni tafadhali wana Yanga SC wawapige Stop kwa muda Viongozi wao Kulizungumzia Sakata la Juzi la Haji Manara

    "Haji Manara juzi alikuja katika Tamasha la Yanga SC na hakuja katika Shughuli za Kimpira za Klabu ya Yanga " Arafat Haji Makamu Rais wa Yanga SC. Taarifa: EFM Sports Headquarters leo. Makamu Rais wa Yanga SC Arafat Haji kumbe Siku zile ( Juzi ) Haji Manara ( Mfungwa Mkaidi ) alikuja...
  8. JamiiForums Tanzania Waraka wa Yanga ukiwasihi mashabiki wake kuiheshimu TFF na Serikali

    Jamani wananchi, uongozi umeshasema tuiheshimu TFF na Serikali, ikiwa ni pamoja na kuwa watulivu kwa maamuzi yoyote yanayotolewa na mamlaka hizo za juu
  9. JamiiForums Tanzania Je, mnapendelea Jezi mpya za Simba au za Yanga?

    Timu kubwa za nchi, Simba na Yanga, zote mbili zimezindua jezi mpya zao kwa msimu 22/23. Styles zao zinatofautiana sana. Paintbrush elements za Simba kwenye kila jezi zinapigana na alama za vidole za Yanga. Siku hizi si Simba vs. Yanga tu kwenye mada za jezi. Tangu msimu 20/21, GSM na VunjaBei...
  10. JamiiForums Tanzania Yanga wanachangisha pesa ya mganga kutoka visiwani

    Aisee nilikuwa Yanga makao makuu pale ,huwa naenda kusikiliza stori za klabu yangu pendwa Yanga, pale nakutanaga na wazee kina mzee was Moro, mzee mpili, n.k Sasa kuna daftari lipo pale UKIFIKA jioni linatembea la kuchangia pesa ya mganga kutoka VISIWANI Zanzibar, Lina karibu wiki 2, uchangiaji...
  11. JamiiForums Tanzania Huyu Mzungu wenu Mserbia akiwa Muhuni kama Fraga Ligi ataiweza ila akiwa Lonyo Lonyo kama Carlinhos ( Muangola ) wa Yanga SC hatoiweza

    Fraga mpaka Bange alishaanza Kuvuta na alikuwa anafika ( anagongana ) na Kukichafua huku Ukijipendekeza unakula ama Ndole au Kipepsi na Kutulia hadi akawa anaogopwa na Wachezaji wa Timu Pinzani. Kwa huyu Mzungu Mserbia wenu ( ambaye GENTAMYCINE simkubali ) kwa nilivyomuona tu Pichami alivyo...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nimeyakumbuka madera ya yanga nikabaki kucheka

    Kuna msimu yanga kila mechi walikuwa na jezi yake yaani mpaka msimu unaisha haijulikani jezi rasmi ni ipi,na sio mbali ni kama miaka mitatu au minne tu hivi,simba tukawafundisha ustaarabu. Ghafla designer wao akaja na madera ,wanazi wakayatetea ila rohoni ilikuwa inachoma. Nakumbuka yule...
  13. JamiiForums Tanzania Tff mkitaka soka la wanawake bongo liwe juu tengenezeni wachezaji kariba ya jezi namba kumi wa Yanga Princess

    Nianze kwa ku declare interest, sijawahi kuwa shabiki wa soka la wanawake hata kidogo. Nilipokuwa mtoto mdogo nilikuwa nikiona wanawake wanacheza mpira nilikuwa nawaonea huruma kwa sababu nilidhani walikuwa wanaumia wakicheza. Nimekuwa mtu mzima still bado sijawahi kuupenda mchezo huu kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Mshabiki wa yanga: Yanga ilicheza utapu utapu

    Tukianza kuwaita utapu utapu msishangae maana ndio ninyi mnajibatiza
  15. JamiiForums Tanzania Unapo-deal na Yanga au Simba kuwa makini Sana

    Unapo deal na simba na yanga kuwa makini uwe Afsa wa serikali au uwe sijui rais wa TFF mwisho wako hautakuwa mzuri. Angalia historia ya yanga ilipotoka fatilia vizuri upatikanaji wa uhuru wa Tanganyika ulipatikana fatilia mchango wa Yanga na historia yake katika taifa hili. Yanga is next after...
  16. JamiiForums Tanzania Siku ya Mwananchi: Kumbe jana walifungulia geti wazi

    Nimesikia hii habari ikitolewa na Mtangazaji wa E-FM, Abdulrazack Maji akisema jana aliona mageti hakifunguliwa ili mashabiki waingie bure Hii ni AIBUUUUU
  17. JamiiForums Tanzania Kati ya Simba na Yanga nani ameua kwenye jezi?

    Haya njooni tuchambue, nani ameua zaidi?
  18. JamiiForums Tanzania ccm na mirangi rangi Yao (njano, white Red) imefanya niichukue Yanga na Simba

    Nashindwa kuwachukia watu Kwa sabab ya humanity...Ni hayo tu na Uzi tayari
  19. M

    JamiiForums Tanzania Pongezi Yanga kwa usajili wa viwango vya juu

    Nafikiri mechi ya Yanga dhidi ya Vipers ilikuwa ni moja ya mechi bab kubwa, Vipers walionyesha ni namna gani wako vizuri kiufundi, walikuwa wanacheza objective football, walikuwa very sold kwenye ngome yao baada ya kutangulia kupata bao la mapema, ni moja ya timu ambayo iko vizuri sana kwenye...
  20. JamiiForums Tanzania kabla hujaicheka Yanga pitia hapa kwanza

    mnasahau mapema mnoo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…