yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Klabu ipi imelamba dume kati ya Simba SC na Yanga SC kwa mikataba hii?

    Hivi karibuni timu zetu kubwa hapa nchini zimeingia mikataba mipya na wadhamini wao Simba sc na MBET Yanga sc na SPORTPESA Hapa katikati kuliibuka fununu za simba kuachana na Sportpesa okabaki yanga na yanga alipo saini mkataba mpya watu walisema ni mkataba mnono saana wa billion 12 kwa miaka...
  2. JamiiForums Tanzania Ubunifu unavyoiponza Yang

    Moja kati ya tabia kuu zinazokwenda sambamba na kazi yoyote ya kibunifu ni kueleweka kwa taratibu, kueleweka baada ya muda flani au kutokueleweka kabisa hata baada ya muda kupita hii ni kutokana na kazi za kibunifu kuhusisha utofauti kama nguzo yake kuu na kupinga ufanano. Hii huwa inajitokeza...
  3. JamiiForums Tanzania Chanzo cha matatizo nchi hii ni CCM na vibaraka wake

    Sina uhakika kama nitaweza kuielezea mada hii vizuri ila nianze kwa kusema kuwa nimefuatilia muundo wa jamii ya kitanzania, nimegundua unaweza kutugawanya katika makundi mawili kulingana na mitazamo yetu. Upande mmoja ni wale watu ambao wanapenda kutafuta ukweli wa mambo, hawaogopi kukosolewa...
  4. JamiiForums Tanzania SENZO: Mimi Bado ni Mwananchi Sijaondoka Yanga kwa Ubaya, Akanusha kuchukizwa na Usajili wa Morrison

    #Kutoka_mwanasport Saa chache baada ya uongozi wa Yanga kutangaza kwamba aliyekuwa Ofisa Mtendaji wao Mkuu Senzo Mazingiza anaondoka mwenyewe ameibuka na kukanusha juu ya kuondoka kwake kuhusishwa na ujio wa mshambuliaji Bernard Morrison. Akizungumzia ishu ya kupishana mara mbili na kiungo...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Mandonga anastahili kurithi mikoba ya Haji Manara na kuwa msemaji rasmi wa klabu ya Yanga

    MANDONGA ANASTAHILI KURITHI MIKOBA YA HAJI MANARA NA KUWA MSEMAJI RASMI WA KLABU YA YANGA Apoteza pambano lakini anafaa kuwa Msemaji wa Klabu ya Yanga kwani anao weledi mkubwa wa kujieleza, ucheshi, uhamasishaji, kutokata tamaa & anakubalika sana na Watanzania wengi! Twende na Mandonga...
  6. JamiiForums Tanzania KIUNGO mpya wa Yanga, Stephane Aziz Ki ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Ligi ya Ivory Coast

    KIUNGO mpya wa Yanga, Stephane Aziz Ki ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Ligi ya Ivory Coast kwa msimu uliopita wakati akiichezea Asec Mimosas. Nyota huyo ambaye amejiunga na Yanga msimu huu usajili wake ulikuwa gumzo kutokana na utambulisho wake uliofanyika Julai 15 alfajiri huku akitegemewa...
  7. JamiiForums Tanzania Ficheni ila wenye Watu wetu ndani ya Yanga SC wametuambia kuwa hizi ndizo sababu za Senzo Mbatha Kuwakataa

    1. Kufanya Kazi kama Deiwaka tu na siyo kumpa Mkataba wa Kueleweka huku mkimchafua kwa Wanachama kuwa ni Mlevi wa Pombe na kwamba huwa analewa Chakari. 2. Kukataa kwa Yanga SC Kumuuza Mshambuliaji wake Fiston Mayele katika Klabu ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini kwa Tsh Billion 3 za Kitanzania...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Senzo aomba kutokuongezewa mkataba wake na Yanga, Akubaliwa ombi lake

    Afisa Mtendaji Mkuu wa Yanga, Bw Senzo Mazingiza ameomba kutokuongezewa mkataba wake na Yanga kwa sababu za kifamilia Kutokana na ombi hilo kamati ya utendaji ya Yanga ilikutana leo katika Hotel ya Serena na kukubali ombi hilo la Bw Senzo Mkataba wa Senzo na Yanga unamalizika tarehe 31/07/2022...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi Designer wa Yanga SC Sheria Ngowi unajua kuwa wana Yanga SC 'wamekumaindi' kwa Ulichowafanyia katika Mijezi yao Mibovu mipya ya Juzi?

    Mwana Yanga SC Mwenge Kama Designer Wetu aliishiwa Uzi si angesema tu tuliyonayo tumpe? Mwana Yanga SC Ubungo Huyu Designer Wetu na hivi ni Mchagga lazima tu atakuwa kabania Nyuzi na katumia Nyuzi kidogo ili zingine akauze na akajengee Kwao Moshi Mwana Yanga SC Kawe Huyu Designer Wetu kama...
  10. JamiiForums Tanzania Kuielewa jezi hii ya YANGA angalia jezi ya Timu ya hii Italia (Torino)

    Watu wengi wameshangaa kuona majina ya malegend wa Yanga akina Hamis Kinye kwenye third kit ya YANGA lakini hili siyo jambo la ajabu kwani hata Klabu hii ya Italia imewahi kufanya Torino's New Away Jersey Features The Names Of Club Legends And It's Absolutely Stunning By Mikey Traynor Jul...
  11. JamiiForums Tanzania Pre Season: Yanga 5-1 Transit Camp

    Klabu ya Yanga imecheza mechi ya kujipima nguvu ikiwa ni maandalizi ya msimu mpya dhidi ya timu ngumu ya Transit Camp na kuibuka na ushindi wa mabao 5 kwa 1. Magoli ya Yanga yamefungwa na Mayele aliyefunga hat trick ikiwa na hat trick yake ya kwanza katika soka la Tanganyika huku akitetema...
  12. JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba Kocha Pitso Mosimane haji Wananchi Day kwasababu ya Yanga SC, bali ni Uswahiba wake mkubwa na CEO Senzo Mbatha

    Kama kawaida yenu ya Kujisifu ( Kujimwambafai ) Kizembe na kupenda Kudanganya Mashabiki wenu Oya Oya ( Washamba ) wengi leo mmedanganya tena kwa kusema Klabu yenu ya Jezi Mbovu na Kituko FC FC inamleta Kocha Pitso Mosimane katika 'Wananchi Day' yenu. Ukweli ni kwamba CEO Wenu Jezi Mbovu na...
  13. JamiiForums Tanzania Wakristo (baadhi) acheni Ulalamishi kuhusiana na Jersey za Yanga

    Nmekuta baadhi ya Wakristo wanalalamika kuwa inaonekana jersey za Yanga ni kwa baadhi ya Waumini wa Dini nyingine. Maana upo unaosemakena kuwa ni Msikitiki wa Idrissa. Ila hakuna jengo lolote la Kanisa. Na hapa wanataka kuzungumzia Udini. Kuwa Yanga basi ina waumini wote wa Kiislamu maana kama...
  14. JamiiForums Tanzania Wana yanga wenzangu tukubali tu kuwa hapa tumepigwa

    Mimi kama mwanayanga lialia nimeumia sana na hizi jezi za msimu huu. Hivi aliyedizain ni nani? Mbona analeta masighara na brand yetu? Hivi kweli sisi ni wa kutuwekea magodauni kwenye jezi zetu? Msimu uliopita mlituvalisha misukule msimu huu mmeamua kutuletea magofu na machinjio hii haikubaliki.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Jezi za yanga za msimu unaokuja 2022/2023

    Kwakweli yanga wamejaribu kuteka attention za mashabiki mbalimbali kwa kusubiri jezi ambazo walisema zitakuwa bora kuliko timu yoyote ile, je Simba wataweza kuwafunika Yanga katika kuzindua jezi zao mpya siku za usonii. Vipi wadau wa nguvu moja Msimbazi
  16. JamiiForums Tanzania Video: Yanga vs Al Ahly wakipigiana penalti baada ya Agreggate kulingana CAFCL 2014

    YANGA ikiwa ugenini inapiga mpira mkubwa mnooo, hapa Al ahly mashabiki walikuwa FULL HOUSE achana na hawa jamaa zetu waliokuwa wakicheza na Al ahly kukiwa na mashrti sharti ya Covid
  17. JamiiForums Tanzania Hizi hapa Jezi mpya za yanga zavuja kabla uzinduzi

    Wananchi wameketa jezi mpya zenye viwango vya dunia hakika Rais wetu anafanya kazi kubwa sana.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya miaka 5 mbele naiona Yanga SC ikiwa klabu yenye misuli ya kutosha kiuchumi

    Katika maeneo ambayo yanga wamefanikiwa kuset msimu huu ni kwenye management, klabu yoyote ikiwa na management goigoi lazima mambo mengi yatakwama, Matunda ya mafanikio ndani na nje ya uwanja ya klabu yanaanzia kwenye management. Kikosi cha uongozi kilichoko yanga kwa sasa kina kiu kubwa sana...
  19. JamiiForums Tanzania MO acha kujifanya mjuaji. Kisasi kwa ujuaji wako kinaiimarisha Yanga, Azam kakukomoa kwa kuwapa Yanga bilioni 41, SportPesa kamwaga 12

    Yote haya tunayoyaona ni kisasi tu, hapa bongo ukijifanya mjuaji kwenye hizi club za kariakoo basi wanamnenepesha mtani mwenzio ili akuchape gepu. Mo nahisi ana tamaa sana ya kutaka malipo ya juu sana na pale anapokataliwa huwa anawafungia vioo hao aliowakatalia akidhani kwamba ataitwa wakae...
  20. JamiiForums Tanzania YANGA 1 AL AHLY 0 CAFCL 2014

    ilikuwa ni kwa mara ya kwanza kwa bingwa mara 8 wa afrika wakati huo Al ahly alipokutana na timu ya wananchi Dar Yanga Afrika akapasuka bao moja bila KAMA KUNA TIMU YOYOTE IMEWAHI KUIFUNGA AL AHLY basi wajue ni marudio tu WANANCHI wamefanya hayo kitambo sana (Been there done that) Mashabiki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…