yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Yanga tumefanyiwa udhalilishaji mkubwa sana. Naona hata aibu

    Tuisila Kisinda ana miaka 21 anakimbia sana, anakimbia kama Duma. Bado umri unalipa tunamuuza kwa Usd 150,000 na kubembeleza kuwa tugharamiwe Kambi Morocco sababu Simba wameenda huko? Chama mzee ana miaka 30 Simba wamemuuza kwa usd 500,000 hebu fikiria mwenyewe USD 500,000 Sisi Kisinda Usd...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Yanga SC bwana

    Sasa kama mnasema Mchezaji wenu mpya mnayemsajili kwa Mkopo japo mnaficha Jesus Ducapel Moloko ni mzuri kuliko mliyemsifia zaidi na aliyeondoka Tuisila Kisinda na kwamba Kisinda alikuwa anawekwa Benchi nae kwanini hamkumsajili Yeye mapema ili muwe nae na awasaidie Kubeba Kombe la VPL na ASFC?
  3. C

    JamiiForums Tanzania Je, Yanick Bangala Sasa ni Rasmi Yanga?

    Wakati Yanga wakielekea kumtambulisha Djuma Shabani pamoja na Jesus Moloko, wakala Mwenye orodha ndefu ya Wachezaji wa DRC, keshatuwekea picha hapo ili simulizi tuandike wenyewe!! Kama inavyoonekana hapa chini, Faustin Mukandila anatujuza time is loading kabla Yanick Bangala Litombo...
  4. JamiiForums Tanzania Picha: Mashabiki wa PSG waiiga Yanga, wampokea Messi Airport

  5. JamiiForums Tanzania Wakati wa Usajili Yanga ni kipindi cha kutengeneza Pesa kwa wajanja wachache

    Club yangu ya Yanga nmekuwa nikiipenda toka mwaka 1980s wengi wakiwa wadogo ama hawajazaliwa. Nikiwa mwanachama halali mpaka leo hii zaidi ya miaka 40. Naifahamu Yanga kiasi fulani ambacho kinanipa nafasi ya kusimamia ninachoamini pasipo kuyumba. Nimekuwa mara nyingi nikisema Uhuni ambao...
  6. JamiiForums Tanzania Vunja Mbavu: Barua ya Wazi ya shabiki wa Arsenal, Yanga kwa Sa Godi

    C&P From mwanaspoti REJEA kichwa cha habari juu baba. Mimi mja wako naomba unipatie ujasiri mkubwa. Wa kuachana na ushabiki wa hizi timu baba. Wewe mwenyewe unazijua vyema baba. Moja ipo hapo Kariakoo nyingine huko kwa Mabeberu. Zinanipa majaribu makubwa baba. Nashindwa kuelewa ni ibilisi gani...
  7. JamiiForums Tanzania Wakati GSM wakiwaficha Mashabiki 'Oya Oya' wengi wa Yanga SC, huu ndiyo Ukweli Kamili wa kuwahusu akina Kisinda, Sogne na Mukoko

    Siku zingine Wadukuzi na Wanyetishaji wa Taarifa za ndani ( za Siri ) akina GENTAMYCINE tunawaambieni Mambo hapa kwa 99.9% muwe mnatuelewa tafadhali. Ni kwamba Uongozi wa Klabu ya Yanga na Wadhamini wao Samjo Samjo ( Matapeli Matapeli ) akina GSM wanasema kuwa Wachezaji wao akina Tuisila...
  8. JamiiForums Tanzania Wangapi mnaikumbuka Yanga hii kabla ya Instagram? Tuwataje waliopo kikosini

    Ngoja tuone leo wangapi mnakumbulumbu, twende kazi
  9. JamiiForums Tanzania Yanga nao wanataka kuuza mtu

    Eti Yanga nao wanasema kuwaa wamepokea ofa za kuwahusu Tuisila kisinda kwenda FAR Rabat Yakuba kwenda zamalek Mukoko kwenda zamalek Unadhani ni kwelii zamalek wanamtaka Yacouba?
  10. JamiiForums Tanzania Yanga yaachana na Magoli kipa wake Metacha pamoja na Shikalo

    Taarifa rasmi ya Yanga Sc kuachana na magolikipa wake wawili, Metacha Mnata na Farouk Shikhalo. Anayetoa taarifa hii ni Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga, Haji Mfikirwa. Je, nini maoni yako kuhusu uamuzi huu? Source: Azam Tv
  11. JamiiForums Tanzania Sports Extra ya Clouds Fm: Golikipa mpya wa Yanga amefungwa goli 50 kwa msimu mmoja

    Mambo ni mengi muda hautoshi, golikipa mpya wa Yanga amefungwa goli 50 kwa msimu mmoja, hayo sio maneno yangu bali ni maneno kutoka kwa wachambuzi wa kipindi cha Sports Extra ya Clouds Fm. Ni nani anawatumia Clouds kutuhujumu sisi Yanga? 😂😂😂
  12. JamiiForums Tanzania Yanga ni bora tusingeshiriki Kagame. Mimi naona kama sisi kuna Kitu tulifanywa tulipokuwa wadogo

    Sisi Yanga kuna kitu tulifanywa kwa kweli. Ni mashabiki wa kipumbavu sana. Yaani week nzima tunahangaika na Manara na Mo. Hatujiandai Wachezaji wetu wapo muda wote busy na mitandao. Insta na twitter kumuunga mkono Manara na kumsema Mo. Tunatolewa mapema mashindano ambayo yangetupa uzoefu wa...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Yanga yatupwa nje Kagame. Badala ya kusaidia kujenga timu mashabiki wao wanakalia kumsakama Mo

    Habari ndiyo hiyo Mipasho FC aka Manara FC.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji, puuza wanaokusakama mitandaoni, hao ni mashabiki wa Yanga wana wivu wa mafanikio ya Simba

    Nadhani title inajieleza hapo juu, hakuna shabiki halisi wa Simba anaweza kukushambulia kwa mafanikio yako ktk SSC kuipelekea kuwapiku yeboyebo kwa rekodi ya ubingwa miaka 4 mfululizo hasa ukifikiria Simba ilivyokuwa taaban kwa Yanga huko nyuma. Na huyo Manara kawekeza sh ngapi SSC, atokomee...
  15. JamiiForums Tanzania Yanga SC 1-3 Express | Kagame Cup. Yanga yaondolewa hatua ya makundi

    Mpira unaendelea 45' Yanga 0 - 2 Express ======== Full Time: Yanga SC 1-3 Express FC (Godfrey 14’) (Muzamiru 35’ Kambale 52’ Paul 71’)
  16. JamiiForums Tanzania Mshahara mmoja tu wa Luis Jose miqusison unalipa wachezaji wote wa Yanga

    By Mwandishi Wetu More by this Author MAPUTO. MKAZI wa hapa Maputo, Luis Jose amekula maisha nchini Misri. Staa huyo mkubwa kwenye soka la Bongo ambaye ameonekana jijini hapa juzi, ameuzwa na Simba kwa Al Ahly ya Misri. Habari za uhakika kutoka kwa mmoja wa watu wa karibu wa mchezaji huyo...
  17. JamiiForums Tanzania Devil's Advocate Kwa Mohammed Dewji

    Jamani najaribu kuwa Devil's Advocate kwenye hii Saga ya Manara VS Mo/Barbara/Simba Nitaenda kwenye kupande ambao Manara ana claim Simba inanyonywa na Mo, kuwa kusema Mo anasema hapati faida ni uongo naomba anaejua. Simba kwenye mikataba yake ya 5 yrs ago kuanzia Sport pesa na mengineyo...
  18. JamiiForums Tanzania Kumbe Simba mil 380 kwa mwaka Yanga bilioni 40

    Manara kaua leo kwamba kumbe wataniz etu walishaingia nkataba na Azam TV wa pesa kiduchu mil 380 kwa mwaka halafu wanajishaua kuuponda nkataba wa Yanga Afrika na Azam
  19. JamiiForums Tanzania Wachezaji wanaosajiliwa Simba na Yanga sio wale wanaotafutwa Ulaya

    Tusidanganyane, Hakuna mchezaji mzuri sana ambae hakuonwa na timu kubwa za Ulaya, Afrika Kaskazini au Afrika Kusini. Ukiona mchezaji anakubali kuja kucheza kwenye ligi yenye viwanja vibovu kama Mkwakwani, Mabatini, Manungu, Kambarage au Lake Tanganyika ujue kuwa huyo ni mchezaji wa kawaida sana...
  20. JamiiForums Tanzania Dr. Sulle "Mafanikio ya Simba ni sababu ya maneno ya Haji Manara, sio Yanga walikuwa hawana timu''

    Mhadhiri na mhutubu maarufu Dr Sulle amedai kuwa maneno ya aliyekuwa Msemaji wa Klabu ya @simbasctanzania Haji Manara yalikuwa na mchango mkubwa kwenye mafanikio ya timu hiyo na wala sio kuwa watani wao wa jadi Yanga walikuwa hawana timu lahasha. Dr Sulle anaamini #simbasc msimu ujao haitakuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…