Wakati Serikali ikitangaza kurejesha Sh100 katika mafuta, watumiaji wa nishati hiyo watalazimika kufunga mkanda kutokana na bei kuendelea kupaa.
Bei ya nishati hiyo inapanda wakati wananchi wakilalamika kupaa kwa bei za bidhaa mbalimbali za vyakula hasa wakati huu wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani...
VIKWAZO KWA URUSI;SARAFU YA RUBLE YA URUSI YAPANDA THAMANI DHIDI YA DOLA YA MAREKANI.
Leo 15:30pm 27/03/2022
Respect for Russia,who dare to stand up against the West,Baada ya vikwazo vingi vya Ulaya na Marekani kwa Urusi,Urusi imetangaza kuuza mafuta na Gesi kwa sarafu yake ya ruble,Masaa 24...
Shirikisho la kimataifa la historia na takwimu duniani (IFFHS) limetangaza orodha ya ligi kuu bora duniani kwa mwaka 2021
Ambapo Tanzania imepanda kwa nafasi 9 kwa mwaka 2020 ambapo ilishika nafasi ya 71 na imepanda hadi nafasi ya 61 kwa ubora duniani
Kwa Africa Tanzania imeshika nafasi ya 10...
Tangu mwishoni mwa Novemba mwaka jana, baada ya gazeti hili kutoa taarifa za kupanda kwa bei ya bidhaa hizo na zile za ujenzi, bei za vyakula zimepanda tena katika mikoa mbalimbali, huku Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe akisisitiza Taifa kutokuwa na uhaba wa chakula, na kwamba ongezeko la sasa la...
Baada ya Tanesco kutangaza kuanzia February mosi kutakuwa na mgao wa umeme, leo nikaona walau nipite Kariakoo niangalie majenereta ili shughuli zangu za kiuchumi zisije kukwama, nikakuta bei imechangamka sana yaani haishikiki.
Wafanyabiashara wametumia fursa ya tangazo la Tanesco, wameamua...
Watu wa ukumbi huu napenda kuwapa habari tu kuwa mkate maarufu kule Zanzibar unajulikana kwa jina la Mkate wa Boflo sasa umepanda bei kutoka Tshs 200/= hadi Tshs 250/= kwa mkate 1 kwa wale wanaonunua reja reja.
Mtakumbuka kwamba Mkate wa boflo kwa maisha ya kule Zanzibar ni mkatae ambao karibu...
Baadhi ya wakazi wamekwama katika maeneo ya chini ya nyumba zao yaliyofurika maji pamoja na ndani ya magari yao
Rais wa Marekani Joe Biden anasema "uwekezaji wa kihistoria " unahitajika kukabiliana na mzozo wa hali ya hewa, huku maeneo ya kaskazini-magharibi mwa nchi yakikabiliwa na mafuriko...
Wakati serikali ya awamu ya 6 ikiwa haina mkakati wowote madhubuti wa kuimarisha uchumi, dola imeonyesha kupanda na kuwa zaidi ya Tzs 2310.
Watanzania tuendelee na drama zetu na matamko, tutakutana mbele ya safari tukiwa hoi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.