Tangu mwishoni mwa Novemba mwaka jana, baada ya gazeti hili kutoa taarifa za kupanda kwa bei ya bidhaa hizo na zile za ujenzi, bei za vyakula zimepanda tena katika mikoa mbalimbali, huku Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe akisisitiza Taifa kutokuwa na uhaba wa chakula, na kwamba ongezeko la sasa la...