Kama heading isemavyo, majira ya mchana huu katika barabara ya iringa - Mbeya Bus la New Force limegonga lorry kwa nyuma na inasemekana chanzo cha ajali ni mwendo kasi na ku overtake bila kuchukua tahadhari, haijafahamika kama kuna vifo au majeruhi
Kwa mliopo Iringa mwaweza kutufahamisha zaidi...
Ni takribanai wiki 2 kasoro tangu video ya Kiba itolewe lakini tumeshangazwa kuona mfalme (kama ajiitavyo) katoa kaze 2 mfululizo (jealous & ndomboloo) ila kashindwa kutetea kwa vitendo kiti chake walau kwa kushika namba 1 kwenye trending videos za youtube, Ni ajabu na wengi wamebaki vinywa wazi...
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema Treli ya Abiria imepata ajali saa tatu asubuhi July 22, 2021 baada ya Lori kuigonga Treni hiyo katika eneo la Kambi moa Godegode, Morogoro na kupelekea majeruhi 21 ambapo Wanaume ni 13 na Wanawake 8 na kifo cha Dereva wa Lori ambaye jina lake ni Gerald...
Naam, jamaa ni yule yule sijui ni wale wale I don't know.
Namna ya kutatua migogoro ya Ardhi nchini.
Jisomee mwenyewe.
Halafu, wapinzani njooni kosoeni tuone hoja zenu na CCM tuchukue
==========
MIGOGORO YA ARDHI – TANZANIA
(Kumradhi Mama, naomba niandike kwa lugha za vijana wa...
Kikao cha Kamati ya Utendaji cha Shirikisho la Riadha Tanzania (AT) kilichofanyika Jijini Dar es Salaam, kimefanya Uteuzi wa Katibu Mkuu Mpya ambaye ni Wakili Msomi Jackson Ndaweka.
Uteuzi umefanyika kwa Mapendekezo ya majina mawili , Michael Washa na Jackson Ndaweka , na Wakili msomi kushinda...
Nimeikuta mahali kutoka kwa mwananchi wa kawaida kutoka kijijini kwetu, amezungumza haya kama maoni yake binafsi:
"Taarifa ya utafiti wa uviko -19(covid -19) inatoa mapendekezo zaidi na sio hali ya sasa ya corona nchini, na hali ya corona kwa siku zilizopita na athari zake.
Binafsi nashangaa...
Licha ya changamoto za corona zilizojitokeza, Benki ya CRDB imetangaza faida kabla ya kodi kiasi cha Sh236 bilioni mwaka 2020.
Faida hiyo, ni sawa na ongezeko la asilimia 35 ikilinganisha na Sh172 bilioni iliyopata mwaka 2019, kabla janga la corona halijafika Afrika na kuathiri biashara kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.