Serikali ya Taliban nchini Afghanistan imepiga marufuku wanawake kusoma kozi za ukunga, na wanafunzi walioko vyuoni wameamriwa wasirudi masomoni, hali inayotamatisha ndoto yao ya kupata elimu hiyo.
Taarifa iliyotolewa na Shirika la Habari la BBC imesema takriban taasisi tano tofauti nchini humo...