SERIKALI YAPIGA MARUFUKU KUINGIZA MALIGHAFI YA CHUMVI KUTOKA NJE KWA VIWANDA VYA NDANI
"Mkakati wa Serikali kuvutia wawekezaji katika sekta ya Chumvi unaendelea ikiwa ni pamoja na kutenga eneo lenye ukubwa wa Hekari 168 katika Wilaya ya Kilwa kwaajili ya wawekezaji Wenye nia ya kuchakata...
Benki Kuu ya Tanzani imeukumbusha umma kuwa kifungu cha 26 cha Sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya mwaka 2006 kinaelekeza kuwa shilingi ya Tanzania ndiyo fedha pekee ambayo inaruhusia kutumika nchini, hivyo hakuna Mtu au Kampuni yoyote inayoruhusiwa kuikataa kwa malipo yoyote halali na kwamba...
Siku chache baada ya kutokea ajali iliyoua watu 13 mkoani Ruvuma, Mkuu wa Kitengo cha Usalama Barabarani, Mossi Ndozero amefanya msako ili kubaini malori yanayopakia abiria na mizigo kwa ajili ya kuwasafirisha kwenda minadani.
Ndozero amepiga marufuku usafiri huo kupakia abiria huku akishusha...
Umoja wa Mataifa umesema Jumanne kwamba utawala wa Taliban nchini Afghanistan umewaarifu kwamba umepiga marufuku wanawake kufanya kazi katika taasisi hiyo, ikiwa hatua ya karibuni zaidi ya kuweka masharti kwa haki za wanawake nchini humo
Katibu mkuu wa UN, Antonio Guterres, amesema kwamba, “...
Wizara ya Elimu imepiga marufuku kuwekwa kwa miziki, nyimbo ama picha za video zinazokwenda kinyume na maadili, mila, desturi na tamaduni katika mabasi yanayotumika kusafirisha watoto kuwapeleka shule, badala yake ziwekwe nyimbo au video zenye kujenga maadili na uzalendo kwa wanafunzi.
Kauli...
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imetoa katazo la kusafirisha bidhaa za sukari na mchele nje ya Zanzibar kwenda nchi nyingine yoyote.
Taarifa hiyo rasmi ilitolewa na Ofisi ya Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda visiwani humo, Omar Said Shaaban, tarehe 30 Januari, 2023.
"Kwa kutekeleza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.