Kwa sasa inapotokea umepoteza simu na ukahama kuingia simu nyingine hautaweza kuunganishwa tena na App ya tigo pesa. Tofauti na App za bank au mitandao mingine Tigo Pesa au Mixx by Ass utalazimika kutumia USSD ambayi itakulimit baadhi ya vitu.
Hii inamaanisha sio tena SUPA APP bali ni………….