Yas App: Ukipoteza ua ukibadili simu hautaweza tena kutumia App

Yas App: Ukipoteza ua ukibadili simu hautaweza tena kutumia App

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,155
Reaction score
2,704
IMG_5567.jpeg

Kwa sasa inapotokea umepoteza simu na ukahama kuingia simu nyingine hautaweza kuunganishwa tena na App ya tigo pesa. Tofauti na App za bank au mitandao mingine Tigo Pesa au Mixx by Ass utalazimika kutumia USSD ambayi itakulimit baadhi ya vitu.
Hii inamaanisha sio tena SUPA APP bali ni………….
 
Yaani waovyo kweli, dawa ni kacha na mtandao wao tu.
 
Wakae chini watafakari tena namna ya kuwapa wateja wao access wakibadilisha devices. Maboresho na wawe wanasikilza wateja kwenye matatizo yao
 
Back
Top Bottom