Kuna tangazo moja la kampuni ya Yas,Mtu mmoja anadai ni mkazi wa kijiji kimoja kule wilayani Mkinga,Tanga anajinadi kwamba ameshinda bahati nasibu ya kampuni ya Yas kupitia promotion ya Giftishe na magifti na anajitaja kwa jina sijui Athuman Athuman na baadaye anasikika mama yake naye akishukuru...