yas

"The Duck Yas-Yas-Yas" or "The Duck's Yas Yas Yas" is a hokum jazz-blues song, originally recorded by James "Stump" Johnson, but the most well known version was recorded by Oliver Cobb and his Rhythm Kings. The song is perhaps best known for the lyrics:

View More On Wikipedia.org
  1. Poppy Hatonn

    YAS nadhani wamepanga kutuibia hela nyingi kuliko TIGO

    Nilikuwa nimekopa hela hapa YAS,kuzilipa imekuwa kisanga matata. Kila nikipeleka hela,naambiwa mkopo bado. Hapa nadhani nimedhulumiwa sh. 2000
  2. Teslarati

    Tigo (Yas) jana mmetoa hizo gb 2 kwa watumiaji, Je wafanyabiashara wote wenye Lipa namba zenu walioshindwa kupokea malipo mnawafidia vipi?

    Eti ndugu zanguni YAS? Mnatufidia vipi sisi wafanyabiashara wenye Lipa namba zenu ambao tumeshindwa kupokea malipo kwa wateja wetu wa mikoani na online? Fanyeni utaratibu aisee, this is crazy.
  3. Mshana Jr

    Tigo na Yas, Lila na fila

    Tunaweza kudhani ni coincidence lakini kuna vitu vilo kiroho zaidi Mtandao wa Tigo ulipata umaarufu hasi baada ya kubadili jina lake la zamani la Buzz lililotoka kubadilisha na Mobitel Tigo ilifika mahali kulitamka mbele ya watu ilikuwa ni ukakasi kwakuwa lilinasibishwa na kafanya mapenzi...
  4. chongoe

    Hawa Yas wanaiba pesa za watu kisingizio wasema wapo kwenye urekebishaji

    Mpaka sasa hivi milioni mbili yangu hata sijui ntaipataje Msitumie huu mtandao kama mnapenda pesa zenu
  5. Brojust

    Creative Directors mmeona tangazo la Yas na Mixx by Yas?

    Habari za mchana huu. Dah nimelifuatilia tangazo la YAS na MIXX BY YAS. Yaani chini ya sekunde sitini mtu anakupa content ya maana na kueleweka. Maana mpaka sasa kwa matangazo ya kwetu hasa mitandao ya simu wanatumia wasanii ambapo wakati mwingine mimi naona huwa wanaharibu. Sasa link yake...
  6. Tabutupu

    Tanzanians Express Discontent Over Mixx by Yas Rebranding

    Dar es Salaam, Tanzania – Tigo Tanzania's recent rebranding of its mobile financial services from Tigo Pesa to Mixx by Yas has sparked mixed reactions among Tanzanians. While the company aims to modernize its brand and offer enhanced digital services, many users have expressed dissatisfaction...
  7. Mwamuzi wa Tanzania

    TIGO sasa ile laki 8 yenu ya nivushe plus tumemalizana kiaina. Ngoja nisajili line ya YAS

    Mliposikia Mh. Lissu Rais ajaye wa Tanzania kufungua kesi ng'ambo nanyi mkajiona wajanja mkabadili jina la kampuni. Sidhani kama mnaweza kuwakimbia wanasheria wabobezi kwa namna hiyo. Ok yote kwa yote na Mimi laki 8 yenu napita nayo shwaah. Siwezi kumlipa YAS, Mimi simfahamu
  8. M

    YAS kiboko, matatizo kibao katika huduma zao

    1. Badhi ya namba unajibiwa namba unayopiga umekosea chunguza tena, inawezekana ya mumeo au mkeo. 2. Ukitaka kuunganisha YAS pesa unaabiwa bad connection or wrong MMI 3. Ukitaka kujiunga bando, mtandao unakatika. Kweli huuu mtandao KIBOKO, siku 2 mambo yamekuwa moto moto
Back
Top Bottom