1. Badhi ya namba unajibiwa namba unayopiga umekosea chunguza tena, inawezekana ya mumeo au mkeo.
2. Ukitaka kuunganisha YAS pesa unaabiwa bad connection or wrong MMI
3. Ukitaka kujiunga bando, mtandao unakatika.
Kweli huuu mtandao KIBOKO, siku 2 mambo yamekuwa moto moto