yasser arafat

  1. econonist

    Yasser Arafat alikufa kwa ugonjwa gani?

    Tangu kifo chake mwaka 2004, kuna sintofahamu ni kipi hasa kilimuua Kiongozi wa zamani wa Palestina Yasser Arafat. Kuna nadharia nyingi juu ya kifo chake, wengine wanadai aliuaawa na wengine wanadai alikufa kifo Cha kawaida. 1. Nadharia ya kwanza: Aliuawa. Wengi kwenye nadharia ya kwanza...
  2. J

    Tarehe 6 Sept 1970 Jordan ilianza kilichojulikana kama "Black September". Arafat na wenzie walipotaka kupindua Serikali ya Mfalme

    Kichapo walichochezea hakikuwa cha Kawaida; mnamkumbuka Muhammad Zia-Ul-Haq wa Pakistan, wakati huo alikuwa Brigadier akiwa huko jordan kuanzia 1967 na mwaka huo 1970 aliisaidia serikali ya jordan kuangamiza panya wa kipalestina wapatao karibu 25,000. Jordan pia iwashukuru Israel kwa msaada...
  3. mcshonde

    Nani alimuua Yasser Arrafat?

    Nani alimuua Yasser Arrafat? Novemba 11, 2004 wapalestina walijikusanya vikundi vikundi kuomboleza kifo cha Mohammed Abdel Rahman Abdel Raouf al-Qudwa al-Husseini, al maarufu Yasser Arafat au kunya Abu Ammar. Huyu mwamba alililiwa machozi ya kweli kutokana na kuwaacha wapalestina katika kipindi...
Back
Top Bottom