Itakumbukwa kuwa Houthis walisimamisha kuishambulia Israel baada ya makubaliano ya kusitisha vita ili kubadilishana mateka wa kivita.
Israel amekiuka makubaliano ya round ya kwanza na Hamas . Israel wamezuia misaada misaada yote ya I binadamu kuingia Gaza, wanavamia makaazi ya wapalestina west...
Wanaukumbi.
⚡️🇾🇪BREAKING: Yemen itaachia meli ya Israel Galaxy Leader.
Katika taarifa ya Ansarallah "Houthis" VP ya vyombo vya habari:
“Kwa ombi la ndugu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hamas na kupitia kwa ndugu zetu katika Usultani wa Oman, wafanyakazi wa meli ya Israel, ambao...
Serikali ya Yemen almaarfu Houthi imetangaza kusitisha operesheni zao za kijeshi dhidi ya Israel baada ya Israel kuingia makubaliano ya kusitisha vita na HAMAS.
Wahouthi ambao waliiwekea Israel kizingiti (blockade) ili meli zake au zinazokwenda kwake zisipite, hivi karibuni imekuwa ikiipiga...
Wanaukimbi.
Video inaonyesha ving'ora viliposikika Tel Aviv na uwanja wa ndege wa Ben Gurion huku Wahouthi wakirusha makombora dhidi ya Israel kutoka Yemen. Kundi linalojihami na Iran linasema mashambulizi yao yanapinga mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza.
===============
Video shows the...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) amesema yeye na wenzake "wameponea kifo chupuchupu" katika shambulio la anga la Israel kwenye uwanja wa ndege nchini Yemen.
Tedros Adhanom Ghebreyesus alisimulia kuhisi "amefichuliwa kabisa" wakati wa shambulio hilo, ambalo liliua takriban watu...
Kufuatia kuidhinishwa kwa mipango ya utendaji kazi na Mkuu wa Majeshi Mkuu, Waziri wa Ulinzi na Waziri Mkuu, ndege za kivita za IAF zilifanya mashambulizi ya kiintelejensia dhidi ya malengo ya kijeshi ya utawala wa kigaidi wa Houthi kwenye pwani ya magharibi na ndani ya Yemen kwa muda mfupi...
Ripoti za awali zinaonyesha mashambulizi makali ya mizinga ya Saudia yakilenga Saada, eneo linalodhibitiwa na Ansar Allah kaskazini magharibi mwa Yemen.
Sambamba na hilo, ripoti zinaonyesha Baraza la Mpito la Kusini mwa UAE (STC) linaloungwa mkono na UAE limeanzisha mashambulizi ya kushtukiza...
Wanaukumbi.
Yemen warned the settlers that Tel Aviv has been designated as an unsafe area and will be targeted by the Yemeni Armed Forces, they didn’t listen🤷🏻♂️
=========================
Yemen iliwaonya walowezi hao kwamba Tel Aviv imeteuliwa kama eneo lisilo salama na lingelengwa na...
Chezea mtu aliefunzwa kwa kuchochewa chuki na vurugu tangu utoto.
Kwamba solution ya jambo lolote ni kuwa a rebel na haki ya kweli ni ile ya itikadi yao mahasusi.
Basi tambua kuwa hawa watu hata waamie kwenda sayari venus, wataanza kupigana tena wao kwa wao kwa maana asili yao ni resistance...
Jeshi la Anga la Israel(IAF) limefanya mashambulizi makali nchini YEMEN katika mji mkuu wa SANAA.
Mashambulizi hayo yameharibu kabisa Vituo vya kuhifadhi mafuta,Maghala ya Silaha,Vituo vya kufua umeme na Makao makuu ya jeshi la wanamgambo wa HOUTHI.
Msemaji wa waasi wa HOUTHI emetoa taarifa...
Something big is cooking.
The judges canceled Netanyahu’s testimony tomorrow because of a special security event.
The Houthis in Yemen are about to find out that they messed with the wrong people. They launched a ballistic missile today at Tel Aviv. It was intercepted but something tells me...
Uongozi wa Yemeni wa Houthi umeishambulia ndege meli vita ya Abraham Lincoln yenye urefu wa zaidi ya viwanja vitatu vya mpira na upana wa mita 70+
Length
1,092 ft (332.8 m) overall, 1,040 ft (317.0 m) at the waterline
Beam
252 ft (77 m)
Draught
41 ft
Displacement
104,112 long tons...
Habari ndio hio Al Hourh wa Yemen wamepeleka majeshi yao Al Hudaida bada ya kusikia fununu Saud Arabia. UAE. USA na Israel wamejipanga kuishambulia Al Hudaida. Saud Arabia kisha jiandaa na ground forcei na Air force wao ndio watanza kushambulia pamoja na UAE, na kuna fununu pia USA na Israel...
Mi’ huwa nikisikiaga watu wanatwangana huko ulaya, Asia na kwingineko huwa nafurahi tu, acha watwangane tu na hata wamalizane, kwangu haina shida.
Kwa nini?
Wao wanatusababishia vita huku, wanachukua madini na vinginevyo na kusepa, so how come leo nikisikia watu wanatwangana nihuzunike? Je...
Wanamgambo wa Israel wanaendelea kuonesha chuki zao kwa kuvamia makanisa ya kuyabomoa huko Lebanon
🚨🇮🇱🇱🇧 BREAKING: ISRAEL just BOMBED another Christian Church in Lebanon.
How could any Christian support these satanic terrorists?
Mimi kila siku nawaambia kuwa harakati yenu sio kuhusu haki wala ukombozi wowote. Harakati yenu ni ya itikadi na chuki. Full stop.
Hamkuandamana kabisaa wala kuanzisha nyuzi nyingi kumshutumu houthi kama vile mnavyo mshutumu israel.
Kwa nini? Eti kisa ni Muyahudi. Hio inaprove unafiki na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.