yemen

  1. BARD AI

    Mwaka 2012, Yemen ilitangaza kuwa inavunja Mkataba na DP World kuendesha Bandari ya Aden

    Agosti 26, 2012, Mtandao wa Reuters uliripoti kuwa Wizara ya Uchukuzi kupitia Serikali ya Yemen ilianza mawasiliano na Wakala Mwendeshaji wa Bandari anayemilikiwa na Serikali ya Dubai (DP World) ili kuvunja mkataba wa kuendesha Bandari ya Aden. "Bodi ya Ghuba ya Aden Ports Corp imeamua kufuta...
  2. Chizi Maarifa

    Zaidi ya watu 80 wafa wakikanyagana kugombea msaada wa Eid nchini Yemen

    Hatari sana habari imesomwa kutoka UHAI Tv. Inasikitisha hawa ndugu zetu 80 kutolewa kafara baada ya mfungo. Wamekufa wakikanyagana kugombea misaada ya Eid.
  3. Dalton elijah

    Yemen stampede during charity distribution kills 85

    More than 80 people were killed and hundreds injured in a crush at a charity distribution event in war-torn Yemen on Thursday, Huthi officials said after one of the deadliest stampedes in a decade. The latest tragedy to strike the Arabian Peninsula's poorest country came days ahead of Eid...
  4. Execute

    Kwanini Iran na Yemen wamekuwa na mipango ya miaka mingi kulipua Mecca na Medina?

    Nimewahi kufanya kazi na watu wa jamii hizo mbili na wanaichukia sana hiyo miji iliyopo Saudi Arabia? Wanasema kwamba Marekani na Israel ndio zilianzisha utaratibu wa kutembelea hiyo miji ili kukuza kipato cha Saudi Arabia na kuunganisha jamii za mashariki ya kati. Pia wanaeleza utaratibu huo...
  5. and 300

    Kwanini Arab League hawasulihishi Yemen, Syria

    Umoja huu wa nchi za kiarabu hawasulihishi mgogoro Syria na Syria?
  6. Miss Zomboko

    Watu 160,000 hatarini kukabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula Yemen

    Mashirika ya misaada kadhaa ya Umoja wa Mataifa yamesema watu wapatao 160,000 wamo hatarini kukabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula nchini Yemen. Ripoti ya mashirika hayo juu ya hali hiyo ya kutisha imetolewa kabla ya mkutano wa wafadhili utakaofanyika hapo kesho. Umoja wa Mataifa umetayarisha...
  7. Miss Zomboko

    UN: Watoto 2,000 waliotumikishwa kijeshi Yemen waliuawa vitani

    Ripoti mpya ya wataalam wa Umoja wa Mataifa imeeleza kwamba takriban watoto 2,000 waliosajiliwa na waasi wa Kihouthi wa Yemen kuwa wapiganaji, walifariki vitani, kati ya Januari mwaka 2020 na Mei mwaka 2021. Ripoti imeeleza zaidi kwamba waasi hao wanaoungwa mkono na Iran, wanaendeleza kambi za...
  8. BAKIIF Islamic

    Jamhuri ya watu wa Yemen

    Jamhuri ya Yemen iko Kusini na Kusini Magharibi ya peninsula ya Arabia Ina idadi ya watu ya milioni kumi na moja na eneo la maili mraba 190,000. Ndio eneo pekee la peninsula hii linalopata mvua za monsuni, na kuifanya sehemu yenye rutba sana na yenye watu wengi. Mlima mrefu sana wa Arabia...
  9. Miss Zomboko

    UN: Watoto 10,000 wameuawa katika vita ya muda mrefu ya Yemen

    Zaidi ya watoto 10,000 wameuawa au kujeruhiwa nchini Yemen katika vurugu zinazohusiana na vita vya muda mrefu katika taifa hilo masikini. Msemaji wa shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na watoto, UNICEF, James Elder, amewaeleza waandishi wa habari kwamba takwimu zilizothibitishwa na Umoja...
  10. jollyman91

    Yemeni army target arms depots of Saudi mercenaries in Ma’rib

    Yemeni army soldiers, backed by fighters from allied Popular Committees, have launched a missile strike, targeting arms depots belonging to Saudi-sponsored militants loyal to Yemen's former president Abd Rabbuh Mansur Hadi south of the country’s central province of Ma’rib. Local sources...
  11. beth

    UN: Watu milioni 16 kukabiliwa na njaa Yemen

    Mkuu wa Shirika la Chakula Duniani, WFP, ametahadharisha kwamba watu milioni 16 nchini Yemen wanaelekea kukabiliwa na ukosefu wa chakula. Mkuu huyo David Beasley ameongeza kuwa, mgao wa chakula kwa mamilioni ya watu katika nchi hiyo inayokabiliwa na vita utasitishwa mwezi ujao wa Oktoba...
  12. C

    Wakenya wazuiwa kuingia Falme za Kiarabu (UAE)

    Wakuu nimekutana na hii kitu, majirani zenu na watani wa jadi wamezuiwa kuingia Dubai (UAE) Africa pia zimo Libya, Tunisia na Somalia. ===== The United Arab Emirates has stopped issuing new visas to citizens of 13 mostly Muslim-majority countries, including Iran, Syria and Somalia...
  13. Analogia Malenga

    Yemen: Watu 31 wauawa kwenye mashambulio ya anga

    Mratibu wa misaada ya kiutu wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia Yemen, Lise Grande, amesema watu wengi wanauawa kwenye mashambulizi yasiyo na msingi nchini Yemen. Kwa mujibu wa sheria za kimataifa pande hasimu zilizo kwenye mizozo zinatakiwa kutoa kipaumbele katika kuwalinda raia. Grande...
  14. FRANC THE GREAT

    Kiongozi wa juu wa Al-Qaeda huko Yemen, Qassim al-Raymi auawa na Marekani

    Kiongozi wa Al-Qaeda katika Rasi ya Uarabuni AQAP ameuawa na vikosi vya Jeshi la Marekani. Rais wa Marekani Donald Trump amethibitisha. Qasim al-Raymi, ambaye ameongoza kundi hilo tangu mwaka 2015, ameuawa katika operesheni ya kijeshi ya Marekani huko Yemen, Ikulu ya White House imeeleza...
  15. Analogia Malenga

    Zaidi ya wanajeshi 80 wauwawa Yemen

    Waasi wa Houthi wawashambulia wanajeshi wa serikali wanaosaidiwa na kikosi cha muungano, kwenye mkoa wa Marib na kuwauwa zaidi ya 80 na kuwajeruhi wengine wengi Zaidi ya wanajeshi 80 wa Yemen wameuwawa na wengine wengi walijeruhiwa kwenye shambulizi la kombora na ndege zisizokuwa na rubani...
  16. FRANC THE GREAT

    Yemen: Shambulizi la kombora laua wanajeshi wasiopungua 70

    Takribani wanajeshi 75 wameuawa kwenye shambulizi la kombora lililorushwa na wanamgambo wa Houthi kwenye msikiti katika jimbo la Marib nchini Yemen. Vyanzo vimeliambia shirika la habari la AFP kwamba wanamgambo hao waliushambulia msikiti uliopo kwenye kambi ya kijeshi, takriban kilomita 170...
Back
Top Bottom