Ikulu ya Kinshasa DRC, Rais Felix Tsheked baada ya kushika kiti aliwahi kuwaalika Wachawi maarifu wote Nchini DRC kufika Ikulu na kusaidia kuongeza nguvu kuwakabili M23 muhula wake wa pili!
Wachawi hawa kwa pamoja waliahidi kushinda Vita na walisema wako pamoja na Rais Tsheked.
Usilolijua...
Huo ndio utabiri wa Kada wa CHADEMA na mfuasi wa Mbowe akiwataka wajumbe kutomchagua Tundu Lissu kwani hana hata pesa ya kujiongoza mwenyewe hivyo atawezaje kukiongoza chama chenye mamilioni ya wafuasi!
Yericko anasema kuwa endapo Tundu Lissu atachaguliwa basi CHADEMA kitakufa ndani ya miezi...
Ajali ya kisiasa ni tukio ambalo linamtokea mtu kwa yeye mwenyewe kulitengeneza au kutengenezewa, na ambalo linamuondoa moja kwa moja kwenye ulingo na ramani ya kisiasa.
Zitto Kabwe ni mfano hai wa mwanasiasa Tanzania aliyepigwa na ajali ya kisiasa ambayo imempoteza kabisa kwenye ramani ya...
Ntobi na jamaa yake Yericko Nyerere hatimaye wamebaki hadithi na maujinga yao ya kumtweza Lissu kabla ya Uchaguzi Mkuu wa CHADEMA kumalizika.
Ninao uhakika kwa sasa nafsi zao zinapitia wakati mugumu mno huku wakiwaza na kuwazua isivyo kawaida.
Tujifunze kuwa na kiasi hasa lijapo suala lihusulo...
Katika kuweka chama katika heshima na ubora hatuezi kupuuzia busara za wajumbe.
Wajumbe ni jicho la wanachama!
Wanachama hatuwezi kuendelea kuwakilishwa na walemavu wa ubongo mkutano mkuu wa maamuzi!
Sipo hapa kuhoji Yericko Nyerere aliupataje ujumbe wa mkutano mkuu lakini nashauri huyo...
Ukiachilia mbali yule mpuuzi Ntobi, Chuki yao dhiki ya Tundu Lissu ilikuwa bayana na haikuwa fiche. Lakini kama ilivyo ada, muda huwa Mwalimu na kwalo hawakujipa kiasi ya kuhifadhi.
Ni ipi kesho yao ndani ya Chadema washindwa hao?!
Lissu ndio kiongozi pekee asiye na kisasi ndani ya CHADEMA,
Pamoja na matusi ya kila namna aliyemtukana Lissu Leo wako pamoja wanacheka na kufurahi,
Yakiwa yamesalia masaa machache kwenda kwenye Uchaguzi Mkuu wa CHADEMA Yericko Nyerere amwangukia Mwenyekiti mpya ajae.
Huu uchaguzi wa chadema umetuonesha jinsi gani hawa wanaojinasibisha watetezi wa wananchi wapo kwa ajili ya matumbo yao na si kwa ajili ya wananchi! Soka,mawazo,saa nane,mzee kibao, azory,mwangosi na wengine I feel sorry to you kumbe mlikuwa mnatumika as punching bag na hawa top layer wa chadema 🥺🥺🥺
Makamu Mwenyekiti CHADEMA, Tundu Lissu akizungumza kwenye Kikao amehoji;
"Wananisema kuwa sina Pesa, siwezi kuendesha Chama, hebu watueleze pesa za Jana usiku zilitoka kwa nani? Tumeshuhudia vitendo vya rushwa kwenye Uchaguzi wa BAVICHA"
Soma, Pia:
• Kimeumana! mjumbe adakwa akidaiwa kugawa...
WHY?
1. Matumizi ya nicknames ili kuficha identities zao while wa akina Maria Sarungi wakitumia taarifa zao halisi Katika account za mitandao yao katika kutema nyongo na kusema ukweli dhidi ya akina Serikali, keybody warriors wanaibuka na kuponda wengne kudharau. sasa tutachange utaratibu...
Akizungumza kupitia Clouds TV, Yericko Nyerere amesema:
"Kwa mujibu wa muongozo wa CHADEMA toleo la 2012 mgombea Lissu si hilo la rushwa ambalo linatafsirika amevunja muongozo, yako mengi zaidi bahati nzuri kipindi kipo tutajaribu kupitia moja baada ya nyingine."
"Kwa mujibu wa miongozo yetu...
Yericko Nyerere ameonyesha kukerwa na kauli za Lissu na kusema kuwa akipewa chama basi kitakufa ndani ya miezi sita na kuwa historia.
Kwenye heading naomba isomeke kuiua sio kuiia
Jana katika kipindi cha medani za siasa kinachorushwa Star TV chini ya matayarishaji Chief Odemba, bw. Yericko Nyerere ambaye ni Kada wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) akiweka wazi kuwa, nyumba aliyoshambuliwa Mh. TUNDU LISSU haikuwa yake Bali ilikuwa ya Mh. FREEMAN MBOWE ambaye ni...
Fuatilia kwa umakini minyukano ya siasa za uchaguzi wa Mwenyekiti CHADEMA Taifa utakaofanyika tarehe 21/01/2025 inayoendelea ndani ya chama hiki kisha husianisha na matukio haya👇..
TUKIO #1: Tundu Lissu atangaza nia ya kugombea u - Rais wa JMT 2025 iwapo chama chake kitampa ridhaa. Asema...
Kumbe Yericko Nyerere na makaratasi yake yale anayoyaita vitabu kama alivyosema Dkt Lwaitama anaibaiba huku na kule kazi za watu na kujifanya msomi wa mambo ya Ujasusi na mshauari wa Mbowe wa kumtukana ovyo Tundu Lissu.
Genge linalomuunga mkono Mbowe ni la watu wa ajabu ajabu sana ndio...
Hongera Sana Yericko Nyerere.
Mpaka sasa umeua Biashara yako ya vitabu , maana watu wameshaanika Elimu yako na Kuonekana hauna Elimu inayoeleweka hivyo wamesema wanaenda kuchoma vitabu vyako vilivyojaa uongo .
Pili umeaua Credibility yako na watu waliokuwa wanakupa Kazi za Urundi umeme .
Huu...
Yericko alizaliwa huko Iringa miaka ya 1984 akiwa ni mtoto pacha na mwenzake.
Yericko ni miongoni mwa watoto 7 wa mzee MKANA kutoka huko kwao.Kijijini Maduma Iringa!
Baada ya kumaliza shule ya msingi huko maduma alijiunga na secondary (jina kapuni) huko mtwara!
Baada ya kumaliza secondary na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.