Uchaguzi wa mwenyekiti CHADEMA (T) safari hii na awamu ni very unique...
Ni wa kipekee kwa sababu awamu nne (2004, 2009, 2014 na 2019) ambazo mwenyekiti wa sasa Mh Freeman Mbowe alikuwa akishinda kwa ulaini kwa sababu ya udhaifu na prominent ya washindani...
Awamu hii, mwaka huu hali ni ngumu...
Habari zenu wanaJF wenzangu
Baada ya kutumika kumchafua Lisu hadharani kwa lengo la kutaka kumdidimiza kisiasa, au kumkatisha tamaa ya kugombea uenyekiti wa Chadema taifa, sasa ni wazi kuwa mbinu zake hizo za kumchafua, kumdidimiza na kumkatisha tamaa zimeshindwa. Hivyo inabidi yeye mwenyewe na...
Wanabodi,tangu Mhe.Tundu Lissu atangaze kubadili kusudio la kugombea makamu Mwenyekiti na kutangaza kusudio la kugombea Uenyekiti wa CHADEMA kumekuwa na maneno mengi mno.
Kinachofurahisha ni kusikia mapungufu ya Lissu ya kabla hajatangaza kusudio lake,siku ya mkutano wa kutangaza kusudio na...
Yericko Nyerere katika andiko lake refu juzi ambalo lililenga kumjenga zaidi Mbowe katika namna ya kumshusha thamani Lissu ili kumpigia kampeni Mbowe katika nafasi ya uenyekiti Chdema alisema kitu kimoja ambacho wasomaji wengi hawajakigusia.
Katika jaribio lake lake la kutaka Lissu asiaminike...
Kwema Wakuu!
Unaweza kuishi na mtu Miaka nenda Rudi lakini usiujue uwezo wake.
Kimichezo, huwezi kujua uwezo wa mshambuliaji wa timu yenu zaidi ya Beki anayemkaba Mshambuliaji wenu.
Yaani Mabeki wa Barcelona hawawezi uelewa uwezo wa Messi uwanjani kuliko Mabeki wa timu zingine kama Real...
Samia ni kama maji, usipoyanywa, utayaoga. Vijana hawa ambao usoni ni wapinzani lakini kwa macho ya rohoni ni CCM lialia wamemwaga pongezi kedekede zilizojaa mazezele (mafuta mafuta).
Mwandishi wa vitabu na mwanasiasa nchini, Yericko Nyerere usiku wa kuamkia leo ameshinda tuzo mbili, ikiwemo ya mwandishi bora wa vitabu Afrika.
Yericko ameshinda tuzo hizo zinazojulikana kama Zikomo Awards katika vipengele vya mwandishi bora wa vitabu Afrika na kiongozi bora wa kijamii.
Tuzo...
Ndugu wanajamvi,
Pokeeni salamu zangu kutoka huku kwetu ORKEJU LOONGISHU wilayani Longido mpaka ulio karibu kabisa na Kenya.
Leo usiku uliopia tumemshuhudia Mwaandishi wa Vitabu mashuhuru na mwenye kipaji cha kipekee nchini mwetu na Mwanasiasa maarufu na mwanachama wa chama.kikuu cha upinzani...
Mwambieni Yericko Nyerere Israeli siyo Tanzania eti wataendelea kumchekea anavyowachambua huku akionyesha dhahili anawatweza.
Mwambieni Yericko Nyerere alipo hata wa Israeli wapo, wakimwangalia tu.
Mwambieni Yericko Nyerere Israeli hawacheki na huwa si wavumilivu kwa yeyote wanayehisi ni...
Wakati Serikali ya Tanzania inapoteza pesa kusaidia mchezo wa soka ambao haujawahi kuleta Manufaa yoyote, Bwana Yerricko Nyerere anajipigania binafsi na kuiletea Heshima Nchi yake kila Mwaka.
Ametwaa tena Tuzo ya Mwandishi Bora wa Vitabu Barani Afrika, Tuzo ambayo akina Nyambari Nyangwine na...
Usiku wa Agosti 03.2024 katika mji wa Sandton, jijini Johannesberg Afrika Kusini, Mtanzania Yericko Nyerere ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya uandishi bora wa vitabu Barani Afrika, tuzo inayotolewa na 'Shining Stars Africa Awards'
Yericko ambaye pia ni Mjumbe wa mkutano mkuu CHADEMA Taifa...
Mdau wa Jamiiforums mwanasiasa na mwandishi bora wa Vitabu Barani Afrika 2023 ambae pia anawania tuzo ya Mwandishi Bora wa Vitabu Barani Afrika kwa 2024, bwana Yericko Nyerere ameibuka kidedea katika Uchaguzi wa Chadema Wilaya ya Kigamboni uliofanyika tarehe 27/7/2024,
Yericko ameshinda nafasi...
Taarifa yake hii hapa
Nimefika Ubalozi wa Tanzania Jijini Pretoria Afrika Kusini kuaga kabla ya kuondoka katika nchi hii na kupokelewa kwa heshima kubwa na Balozi wa Tanzani Mh James Bwana na maafisa wa Ubalozi huo. Nimefanya mazungumzo na Balozi Mbwana kwa mambo kadhaa wa kadhaa ikiwemo...
TANZANIA TUITATAKAYO
MABADILIKO KATIKA MFUMO WA ELIMU.
MUDA WA ELIMU. Kupunguza MUDA unaotumika kwenye mfumo wa elimu wa sasa wa Darasa la kwanza hadi Kidato cha Sita. Miaka saba (7) ya elimu ya msingi, minne (4) sekondari ya awali na miwili (2) sekondari ya juu ni mingi kulinganishwa na...
Kina Erythrocyte na Mdude wana jambo la kujifunza.
Yericko kaandika hivi huko Facebook;
Kuna juhudi flani za kiuchumi katika ukanda zinazofanywa na Tanzania zinanifanya nipongeze mfumo kwa kiasi chake, katika hili nasema hongera sana Tanzania!
Sasa tupambane miundombinu kama SGR ifike Kongo na...
Mshindi wa Tuzo ya Mwandishi bora wa vitabu barani Afrika na mdau wa JamiiForums ndugu Yericko Nyerere ametangaza leo kuachia kitabu kipya kinachoelezea vita vya Urusi kinachapishwa,
Katika utangulizi wa Kitabu hicho, Yericko Nyerere anasema, Kitabu cha MOSCOW: Operesheni ya Ukraine, ni mahsusi...
Kwa dhati kabisa nampongeza mfuasi wa Mbowe, ndugu Yeriko kwa kutambua juhudi zinazofanya na serikali ya CCM chini ya Mama Samia Hassan Suluhu. Kaandika hivi kwenye ukurasa wake wa Facebook;
===================
Huu ni ushindi mkubwa sana wa Idara ya Ujasusi nchini Tanzania, Binafsi nafurahi...
Very interesting, @simbasctanzania vs @alahly hii game ni 50/50 hata Simba akitoa sare Kwa Mkapa bado game itabaki 50/50 na uamuzi utafanywa Cairo kwa mikwaju ya penati. Katika hili naiona bahati kwa Simba japo kuna marekebisho makubwa ya haraka yanatakiwa kufanywa kwa kikosi hiki safu ya...
Tuzo hizo zilizoandaliwa na Taasisi ya Tuzo za Zikomo Africa Award ya yenye makao makuu nchini Zambia zimefanyika usiku wa kuamkia leo Jumapili, Novemba 19, 2023 nchini humo.
Mara baada ya kutangazwa mshindi kwa kuwashinda washindani wenzake nane kutoka Botswana, Uganda, Zambia na Zimbabwe...
Anaandika Yericko Nyerere katika Mitandao yake ya kijamii;
"Nashauri Serikali ianzishe kituo maalumu cha huduma kwa wateja (special customer care) mitandaoni ambacho kitapokea shida na matatizo yote ya watz. Wizara ya Habari na Mawasiliano kinadharia haina manufaa kwa umma, na haina tija ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.