young d

  1. Beira Boy

    Kumbe mzee wa bongo bahati mbaya mwanetu Young D alihamia USA!

    Amani kwenu watumishi wa MUNGU katika kristo YESU Katika kitu ambacho nilikuwa sijui ni kuwa kama mwanetu Young D mzee wa bongo bahati mbaya kuwa alihamia Marekani Leo ndo nimejua MWENYEZI MUNGU aendelee kuwabariki hawa vijana katika ridhiki zao na mapambano yao ya kila siku AMINA tuendelee...
  2. M

    Ule wimbo wa 'siyo mchoyo', Young D alimuimbia nani?

    Habari! Wajuzi, aisee nimeumiza kichwa mno ili niifahamu code hasa ya wimbo ule wa mtabe Young D. Miongoni mwa maneno ya wimbo huo ni, '...she is beautiful, siyo mchoyo...' Nani ameimbiwa? Ni Diva the boss lady? Ni Tanasha Dona? Huyu queen ambaye anagawa kwa kila mtu ni nani? Naomba...
Back
Top Bottom