Karibuni sana wadau tuweze kujuzana na kufahamishana waliko watu hawa. Pengine waliwahi kuvuma na kuwa watu maarufu katika jamii yetu, ila Kwa sasa hawasikiki tena, na hata kutofahamika wako wapi. Kwa mwenye kujua taarifa zao tuje hapa tujuzane. Mimi naanza na mwanadada wa enzi hizo Stara...