za kiume

  1. Je, inawezekana kwa mwanamke kudumu na mwanaume mwenye matatizo ya nguvu za kiume kwa sababu anampenda?

    Umempenda mtu fulani kwa sababu kupenda huwa ni kabla ya kukutana kimwili. Sasa baada ya mahusiano ya muda mmekutana kimwili unakuja kugundua kuwa jamaa hawezi, je, unaweza kudumu nae kwa sababu ya kumpenda?
  2. Nguvu za kiume na nguvu za kike, wanaume hatulalamiki

    Tendo la ngono lina mambo mengi aisee na sababu nyingi sana. Kiukweli nimekua na tabia ya kumuuliza hili swali mwanamke ambaye nimehisi katokea kuvutiwa na mimi ama hela zangu. Lazima niulize unahisia na mimi kweli tusije kwenda kusumbuana tu, au hisia zako zipo kwenye pesa yangu tu? Iko hivi...
  3. Gym inamaliza nguvu za kiume?

    Habari wakuu? Msaada wenu, kwa wale mnaobeba vyuma/gym, je! Nikweli inamaliza nguvu za kiume? Ama kuleta madhara yoyote sehemu husika?? Natumaini mtanipa jibu zuri wakuu, mubarikiwe sana. Weekend njema bandugu!
  4. Kati ya Nguvu za kiume, Six Packs, Hela, Elimu, kazi au Mali, unachagua kipi?

    Hili swali ni kwa ajili ya vijana waliomo Humu JF. Kati ya kuwa na Nguvu za Kiume, kuwa na mwili uliojengeka misuli (Six Packs), Kuwa na Hela, kuwa na Elimu, Kufanya kazi, au kumiliki mali, kipi unaona ni muhimu kwako? Kama ukiambiwa uvipange kwa kufuata mtiririko kipi kingekuwa Namba...
  5. Matatizo ya nguvu za kiume yaliyofichika miaka 2000 iliyopita. Siri iliyogunduliwa na wanasayansi wa Misri

    Kila siku mfalme wa China Kang Xi Alitakiwa kulala na wanawake 9 kutoka katika Harem yake. Alitakiwa kumridhisha kila mmoja.. Hizi ni njia alizotumia …. Ugunduzi huu unaonesha Dawa na njia walizotumia kuongeza hamu ya tendo la ndoa Kusimamisha kwa muda mrefu sana ( wanawake 9 usiku mmoja)...
  6. Hivi ni nguvu za uume au za kiume?

    Wasalaam wana JF Hii habari ya nguvu za kiume naona kama iko general sana. Mwanamke akiwa na nguvu nyingi, hizo nguvu zake zinaweza kufananishwa na nguvu za kiume. Bali nguvu za uume ni mahususi kwa ajili yetu akina baba. Ruksa kupovuka kidigitali
  7. UTAFITI: Kutolia kunadhoofisha Nguvu za Kiume

    Wakati jamii ikitafsiri mwanaume kulia anapopatwa na matatizo ni udhaifu, wataalamu wa saikolojia na viongozi wa dini wanasema ni afya na humpa mhusika faraja ya maumivu anayopitia. Wameonya kuwa kukaa muda mrefu bila kuonyesha maumivu uliyoyapata kunasababisha kupoteza hamu ya vitu muhimu...
  8. UTAFITI: Mvurugiko wa homoni chanzo cha kukosa nguvu za kiume, hamu ya tendo

    Wataalamu wa afya wamesema tatizo la mvurugiko wa homoni ‘hormone imbalance’ ni chanzo kikubwa kwa mwanaume kukosa nguvu za kiume na mwanamke kutokuwa na hamu ya tendo la ndoa. Hata hivyo, wengi wamekuwa wakikimbilia kutumia dawa badala ya kuwaona wataalamu hali inayochangia kukuza tatizo na...
  9. Amenikata hamu kabisa na nguvu za kiume zimeisha. Kumbe haya matatizo ya nguvu za kiume sababu ni Wanawake

    Huyu dada siku ya kwanza nimemtoa out nlimwona tu alivyokuwa na ushamba. Dada mzuri wa sura na umbo. Lakini kichwani ana ushamba flani. Mtu mmeonana jana leo anakutumia msg ana njaa na anafanya kazi. Huu ni upumbavu wala si ujanja. Wanawake wengi hawajielewi. Binafsi sipendi mtu anayetangaza...
  10. Mwana mama amejifungua baada ya kununua mbegu za kiume kutoka kwenye Internet

    Bailey Ennis mwenye umri wa miaka 24 alitamani kupata mtoto lakini hakuwa kwenye mahusiano. Alitafuta kwenye interest na kupata sperm donor anaeuza kit ya sperm. Pamoja na gharama za post kit moja ni £25. Bailey alifanikiwa kutunga ujauzito October 2021 na sasa ni mama mpya baada ya...
  11. SoC02 Upungufu wa nguvu za kiume na kuwahi kumaliza kwa mwanaume wakati wa tendo la ndoa

    Upungufu wa nguvu za kiume ni tatizo gani? Upungufu wa nguvu za kiume ni tatizo ambalo linahusisha kukosa uwezo wa kusimamisha uume au kushindwa kudumisha uume ukiwa umesimama wakati wa kushiriki tendo la ndoa. Hili ni tatizo la kihisia na kimwili ambalo linaweza kuhusisha matatizo ya...
  12. F

    SoC02 Madhara yatokanayo na matumizi holela ya dawa za kuongeza nguvu za kiume

    MADHARA YATOKANAYO NA MATUMIZI HOLELA YA DAWA ZA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME UTANGULIZI Upungufu wa nguvu za kiume ni hali ya sehemu za siri za mwanaume kuwa na uwezo mdogo au kutokuwa na uwezo kabisa wa kuhimili tendo la ndoa kwa muda mrefu. Tatizo hili limekuwa kubwa katika jamii na kwa kufuata...
  13. SoC02 Afya ya uzazi: Upungufu wa nguvu za kiume

    UKOSEFU AMA UPUNGUFU W NGUVU ZA KIUME Mwandishi: DR. Yassayah M, 0752591744/0682080069 wa -Tegeta DSM UTANGULIZI Ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume kitaalam – Erectile Dysfunction ni hali ya uume kushindwa kuamka/kusimama au kuamka kwa muda mfupi kisha kushindwa kuendelea kusimama wakati...
  14. Nahitaji dawa ya kupunguza nguvu za kiume

    Natafuta dawa ya kupunguza nguvu za kiume, ni hali ambayo inanisababishia changamoto kadhaa katika mahusiano yangu yote. Naweza kupiga pump non-stop mpaka masaa manne mfululizo na mashine bado inakua na hasira kama nyati aliejeluiwa ila sasa mwenzangu anakua tayari ashachoka sana sometimes...
  15. M

    SI KWELI Maziwa ya unga yanasababisha kupungukiwa nguvu za kiume

    Baadhi ya watu wamekuwa na nadharia kuwa utumiaji wa maziwa ya unga unasababisha upungufu wa nguvu za kiume
  16. Tunatokaje kwenye hili la nguvu za kiume?

    Tatizo la nguvu za kiume linaelekea kutugeuza Kuku. Sasa tupo kwenye stage ya Kula mashudu na hatimaye tutakula pumba mwishoni.
  17. Nilivyoteseka na tatizo la nguvu za kiume

    Katika maisha yangu niliishi nje ya ulimwengu wa zinaa. Hakika sikuwa mzinifu hata pale nilivyopata vishawishi vikali vya uzinifu nilivikwepa kwa jitihada kubwa sana. Sikuwa na rekodi yoyote kuhusu kuwa na msichana na wala kufanya zinaa. NDUGU WAINGIA WASIWASI NA MIMI. Baadhi ua ndugu, jamaa...
  18. Ni kweli chipsi mayai inaua nguvu za kiume?

    Habari wanajamii na kheri ya Eid El fitr! Naona kumekuwa na propaganda ati kwamba kwa wanaume kula kiepe kunaua nguvu za kiume ila wataalamu yaani madaktari wanakataa! Vp wadau wa kiepe mumewahi experience erectile dysfunction kwa kula zege! N.B walianza kutuambia Chinese mboga inaua nguvu za...
  19. TMDA: Wanaotumia dawa za kuongeza nguvu za kiume watakufa

    Mkurugenzi Mkuu wa TMDA, Dk. Adam Fimbo amesema dawa za kuongeza nguvu za kiume zinaongoza kwa sasa kwa kununuliwa zaidi kwenye maduka makubwa ya dawa nchini. Watumiaji wa dawa hizi watakufa kwa sababu zinapanua mishipa ya damu. Mishipa ya kichwani ikishapanuka, itapasuka na hivyo mtumiaji wa...
  20. Wenye tatizo la nguvu za kiume, tiba imefika Aga Khan

    Wanaume wanaokabiliwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume, sasa watapata ahueni baada ya Hospitali ya Chuo Kikuu cha Aga Khan (AKUH) kufanikisha upasuaji wa kupandikiza uume kutibu tatizo hilo. Upasuaji huo ambao ni wa kwanza kufanyika katika ukanda wa Afrika Mashariki, umekuja wakati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…