Pato la Taifa hutumika kama kipimo muhimu cha kutathmini ukubwa wa uchumi wa taifa. Mbinu ya kawaida ya kupima Pato la Taifa la nchi inahusisha mbinu ya matumizi, ambapo jumla yake hutolewa kwa kujumlisha matumizi ya bidhaa mpya za walaji, uwekezaji mpya, gharama za serikali, na thamani halisi...
541: Kulitokea janga la ugonjwa maarufu kama Justinian's plague huko maeneo ya mediterranean. Watu zaidi ya milioni 15 walifariki dunia.
1348: Kulitokea janga la ugonjwa maarufu kama bubonic plague huko ulaya watu milioni 25 walifariki.
1520: Kulitokea janga la smallpox maeneo ya Marekani...
Kwenye riadha huko Duniani miaka ilee palipata kutokea Mwamba alieitwa Tim Montigomery raia wa Marekani.
Siku Moja Tim alikimbiza upepo huku akisindikizwa na makelele ya wapenzi watazamaji wa Mchezo huo wengi wao wakiwa wamarekani wenzie na kufanikiwa kuwa bingwa wa mita 100.
Wakati hayo...
Hawa jamaa historia inawahukumu sana, 60% ya wazungu wote wana depression ambayo imekuwa affected na historia ya hio race.
History ya slave trade imeeathiri sana akili za current generation ya wazungu.
Uzuri wazungu sio wanafiki ulaya yote mashuleni wanasoma history yenye slave trade ndani...
Tumekuwa tukisikia mashirika kadhaa yakifanya tafiti kubaini mambo kama vile
1. Nchi yenye furaha zaidi.
2. Nchi yenye watu wenye IQ kubwa zaidi.
3. Nchi yenye uhuru wa kutoa maoni nk.
Je, hakuna shirika linalofanya utafiti kubaini nchi yenye wanafiki wengi zaidi duniani?
Hii record huenda...
Utamaduni wa kiafrika ndio utamaduni bora zaidi duniani na unaoendana na matakwa kamili ya Mwenyezi Mungu kwani unazingatia maadili mema na upendo miongoni mwa jamii. Ni muda sasa tuubadili utamaduni wetu kuwa dini kama waarabu walivyofanya utamaduni wao kuwa dini...
Mumbai (Maharashtra) [India], Mei 22 (ANI):
Wakati uchaguzi wa Lok Sabha unafanyika nchini India katika awamu ya saba, Balozi wa Marekani nchini India, Eric Garcetti amesema kuwa Dunia imeshangazwa na inashuhudia demokrasia kubwa zaidi ikitendeka kupitia Uchaguzi huo.
Akiwa mwangalizi kwa...
Licha ya Cristiano Ronaldo (39) kuelekea mwishoni mwa maisha yake ya kucheza soka lakini bado katika suala la malipo yupo juu, anaongoza kwa kulipwa kuliko wanamichezo wengine wote ndani ya miezi 12 iliyopita akiwa anaichezea Al-Nassr ya Saudi Arabia aliyojiunga nayo Januari 2023
Analipwa Dola...
Mwaka 1994, Mwamba wa kuitwa Gabriel alikutana na mrembo Christina katika party moja huko jijini New York, Marekani.
Walipendana na wakaamua kuoana, ingawa Gabriel alimzidi umri christina kwa miaka 30. Hata hivyo waliishi kwenye ndoa yenye furaha na upendo wa kila aina.
Miaka 20 baadae...
Panafahamika kama peace valley huko Iraq.. Unaweza ukadhani ni mji kumbe hapo kuna kabauri zaidi ya million 5.
======
The world's largest cemetery, in Iraq's Shi'ite holy city of Najaf, is expanding at double its usual rate as Shi'ite militias bury their dead from the war against Islamic...
1. JERICHO -PALESTINE
Baadhi ya wataalamu hudai kuwa huu ndio mji mkongwe zaid duniani...mji huu ulikuwepo zaidi ya miaka 6800 kabla ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo. Wataalamu wanasema kuwa hapo awali watu waliishi kwa kuhamahama kwahyo mji wa Jericho ndio ulikuwa wa kwanza duniani kwa watu...
• Equity imeorodhesha kuwa chapa ya 2 ya benki imara zaidi duniani.
• Equity yaibuka kama benki imara zaidi barani Afrika.
• Thamani ya chapa ya Equity ilipanda kwa Dola Milioni 22 kutoka thamani ya mwaka jana ya Dola Milioni 428 hadi Dola Milioni 450 (Tzs. 114 bilioni).
• Equity inakuwa...
Ni vitu vichache ambavyo vinasisimua zaidi kuliko kuwa na uelewa wa mambo fiche ya ulimwengu kama ulivyo na umbo lake. Na vitu hivyo sio vya watu werevu tu, bali pia ni vya kila mtu kuviwaza na kuvifikia.
Hebu tafakari pale ambapo kwa mara ya kwanza unafaulu kulifumbua fumbo, sana sana kwa...
Wataalam, Hivi hapa duniani kuna somo linafikia kwa ugumu au kupita kabisa sayansi ya anga ?
Maana hii fani mimi binafsi naona ngumu hatari na gharama sana.
Tunapofikiria jangwa, kwa kawaida huwa tunapiga picha maeneo yenye joto na mchanga kama Sahara. Na ni mara nyingi watu huhusisha jangwa na mazingira ya joto, yenye mchanga na Jua kali lakini kiuhalisia jangwa hufafanuliwa na viwango vyao vya chini vya mvua. Kwa hivyo, jangwa ni sehemu ambayo...
Ni Gereza linalochukua Wafungwa Elfu Tatu tu ila lina Wafungwa zaidi ya Elfu Ishirini
Ni Gereza la Kijeshi ila linalochukua Raia wa Makosa mbalimbali
Ni Gereza ambalo Wafungwa wakiingia Siku ya Kwanza hufanyiwa Sherehe ya Mateso na Vipigo vikali ambavyo huwafanya Wafungwa hao washindwe Kuona...
Kitabu cha kwanza kutafsiriwa kwenda kwenye lugha nyingi ni Biblia, Ambayo ilitafsiriwa kwenda kwenye lugha takribani 3589.
Kitabu cha pili kutafsiriwa kwa lugha nyingi ni Don Quixote, riwaya iliyoandikwa na Miguel de Cervantes (Pichani), Riwaya hii huhesabiwa kuwa ni riwaya bora ulaya nzima...
Siku hii ilianzishwa kumuenzi St. Jerome. Huyu alikuwa mtu wa mwanzo mwanzo kutafsiri biblia. Tarehe 30/9 ni siku yake ya kufa. Utafsiri umechangia sana katika kusambaza maarifa duniani. Hata vitabu maarufu na vilivyopendwa na wengi Tanzania kama Alfu Lela Ulela, Hekaya za Abunuwasi, Mashimo ya...
Chapisho la hapa chini limeelezea bandari bora kabisa duniani zinazo fanya vizuri.
Top 50 seaports 2022
Every year, a new ranking of top seaports is issued. Port throughput can be measured by cargo tonnage, container TEU, and the number of vessel calls categorized by commodities carried. TEU...
Je, Afrika yenye utajiri mwingi, inakuwaje bara maskini zaidi duniani, anauliza Captain Ibrahim Traore Raisi wa mpito wa Burkina faso.
Captain Ibrahim Traore ni Raisi wa mpito wa Burkina Faso baada ya kufanya mapinduzi ya kijeshi akiwa na umri wa miaka 35 tu.
Rais huyu wa mpito wa Burkina Faso...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.