zaidi duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Azam wazindua Jersey bora zaidi Duniani

    Hapo jana team ya Azam Fc imezindua jersey bora zaidi duniani watakazo zitumia kwa msimu wa 2023/24 Jersey hizo zenye rangi ya Blue, Nyeupe na dhahabu zimevutia sana watu na wengi wakimiminika kkoo kwenda kuzipata ambapo zinauzwa kwa bei ya kizawa kabisa ya Tsh 25k tu kwa moja, Simba na Yanga...
  2. Baada ya Titanic, Meli nyingine kubwa zaidi duniani ipo tayari kuanza safari zake mwaka 2024

    Utengenezaji wa Meli inayotajwa kuwa kubwa zaidi duniani umekamilika nchini Finland na tayari imefanya majaribio ya kwanza ya safari ndogo kabla ya kukabidhiwa rasmi Oktoba mwaka huu ili mwaka January 2024 ianze safari zake. Meli hii yenye ukubwa wa mita 365 (wastani wa viwanja 3.5) itakuwa...
  3. Haya ndio Majina maarufu zaidi duniani

    Mohammed - 133,349,300 Maria - 61,134,526 Nushi - 55,898,624 Jose - 29,946,427 Wei - 17,145,807 Ahmed - 14,916,476 Yan - 14,793,356 Ali - 14,763,733 John - 14,323,797 David - 13,429,576 Li - 13,166,162 Abdul - 12,163,978 Ana - 12,091,132 Ying - 12,047,080 Michael - 11,471,765 Juan - 11,372,603...
  4. J

    Hii ndiyo sababu Dola ya Marekani bado itazidi kuwa hela inayoaminiwa zaidi duniani

    Pamoja na vita na kampeni ya Urusi na China dhidi ya dola ya Marekani tangia vita ya Ukraine ianze, dola ya Marekani imezidi kuonyesha ndio hela stable zaidi duniani. Dola imezidi kubaki imara kama chuma huku fedha za nataifa mengine tajiri zikiporomoka na kuifanya dola kuendelea kuwa hela...
  5. Matetemeko ya Ardhi yaliyoua watu wengi Zaidi Duniani ndani ya Miaka 10

    Taasisi ya National Earthquake Information Center (NEIC) inayochunguza Taarifa kuhusu Tetemeko la Ardhi, inakadiria kuwa Matetemeko 20,000 ya ukubwa tofauti yanatokea duniani kote kila mwaka sawa na wastani wa Matetemeko 55 kila siku. Mwaka 2021, Dunia ilipigwa na Matetemeko 2,200 yenye ukubwa...
  6. Watu 10 matajiri zaidi Duniani

    Kupitia jarida la World of Statistics limetoa orodha ya watu matajiri zaidi duniani au Mabilionea wa Wakati huu kulingana na Forbes, wameeleza kuwa Elon Musk ameondolewa namba moja kutokana na hasara aliyoipata mwaka 2022. Jukwaa hilo la kufuatilia utajiri linatoa masahihisho yanayoendelea...
  7. B

    Mtu anayeaminika kuwa na umri mkubwa zaidi duniani afariki Ufaransa

    Mtawa kutoka Ufaransa anayeaminika kuwa mtu mwenye umri mkubwa zaidi duniani ameaga dunia wiki chache kabla ya kusherehekea miaka 119 tangu kuzaliwa, kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na msemaji wa kituo cha afya Jumatano kusini mwa Ufaransa Lucile Randon ambaye pia anajulikana kama sister...
  8. Hii ndiyo Nyumba Dhaifu zaidi Duniani

    "Mfano wa walio wafanya walinzi badala ya Mwenyezi Mungu, ni mfano wa buibui alivyo jitandia nyumba. Na hakika nyumba dhaifu mno kuliko zote ni jumba la buibui, laiti kuwa wanajua." (Qurani 29:41)
  9. Uzi kwa ajili ya Merry Christmas, Sikukuu pendwa zaidi duniani

    Habari zenu wana JamiiForums.. Moja kwa moja naenda kwenye mada husika kama kichwa kinavyojieleza,kipindi nikiwa mdogo wa miaka 4 na kuendelea,nilikuwa na shangaa sana wazazi wanavyojianda kwa ajili ya christimass. Wazazi walitununulia nguo kwa ajili ya christimass,nakumbuka baadhi ya nguo...
  10. S

    KUMBUKIZI: Mtu aliyekuwa na raha zaidi Duniani huyu hapa!

    Maisha bwana! Acha tu.
  11. N

    Rais Samia ni kati ya Wanawake wenye ushawishi zaidi duniani

    Jarida la Forbes la nchini Marekani limemtaja kwa mara ya pili Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa miongoni mwa wanawake 100 duniani wenye nguvu na ushawishi zaidi akishika nafasi ya 95. Uchapakazi na uongozi wenye kuleta maendeleo endelevu vimempa heshima hiyo. Rais Samia Suluhu anaendelea...
  12. Mlima mkubwa zaidi duniani wa Volcano walipuka huko Hawaii

    Mlima wa volcano mkubwa zaidi duniani, Mauna Loa wa Hawaii, umelipuka kwa mara ya kwanza baada ya takriban miaka 40. Huduma ya Jiolojia ya Marekani (USGS) imeonya hali ya mazingira na hewa inaweza kubadilika haraka kuwa ya hatari kwa haraka sana. =================== Mauna Loa, the largest...
  13. Rais aliyetawala muda mrefu zaidi duniani anapigiwa kura tena leo

    Anaitwa Teodoro Obiang Nguema Mbasogo, Afisa Mstaafu wa Jeshi anayehudumu kama Rais wa 2 wa Equatorial Guinea tangu Agosti 1979 baada ya kumpindua na kumhukumu kifo Mjomba wake Macías Nguema. Raia 425,000 wanapiga Kura katika Taifa hilo lenye watu 1,512,450. Obiang anachuana na Buenaventura...
  14. Mjue Paul Biya, Rais mzee zaidi Barani Afrika

    PAUL BIYA: RAIS MZEE ZAIDI BARANI AFRIKA Jina kamili: Paul Barthélemy Biya'a bi Mvondo Ana miaka 89 Ni Rais wa Cameroon tangu Novemba 6, 1982 Amewahi kuwa Waziri Mkuu kwa miaka 7 2008 Aliondoa Ukomo wa kukaa Madarakani ili atawale kwa muda anaotaka 2018 alishinda Urais kwa 80% dhidi ya...
  15. TOP 10: Wanasoka matajiri zaidi Duniani 2022

    Messi, Ronaldo na Neymar wanaweza kuwa wachezaji wanaolipwa pesa nyingi zaidi lakini thamani yao ya jumla iko chini kwa mwanasoka tajiri zaidi Duniani. Faiq Bolkiah - mtoto wa Mwana wa Mfalme wa Brunei - mwenye utajiri wenye thamani inayokadiriwa kuwa $20 bilioni (zaidi ya Tsh. Trilioni 46)...
  16. Mbwa 20 wenye gharama zaidi duniani

    1. Tibetan Mastiff - $3,000–$5,000 2. Black Russian Terrier - $3,000–$5,000 3. Samoyed - $2,500–$5,000 4. French Bulldog - $2,500–$4,000 5. Löwchen - $2,500–$4,000 6. Cavalier King Charles Spaniel - $2,500–$3,500 7. Bernese Mountain Dog - $2,500–$3,500 8. Biewer Terrier -...
  17. Vyuo vikuu 15 bora zaidi duniani na ada zake

    1. Harvard University (US) Chuo Kikuu cha Harvard ni chuo kikuu cha utafiti cha Ivy League cha kibinafsi huko Cambridge, Massachusetts. kilianzishwa mwaka wa 1636 kama Chuo cha Harvard na kutajwa kwa mfadhili wake wa kwanza, kasisi wa Puritan John Harvard 2. Stanford University (US) 3...
  18. Gloomy Sunday: Wimbo uliosababisha watu zaidi ya 100 kujiua

    Gloomy Sunday (Jumapili ya Huzuni) ni wimbo uliotungwa na Rezso Seress (Rudi Spitzer), msanii kutoka nchini Hungary mwaka 1933. Reszo alitunga maneno ya wimbo huo na kupiga mwenyewe ala ya huzuni ya wimbo huo, baada ya kuachwa na mpenzi wake. Inaelezwa kwamba kitendo cha kuachwa na mwanamke...
  19. William Saliba ni moja kati ya mabeki wa kati bora zaidi duniani

    Mwaka 2019, aliponunuliwa na Arsenal kwa paundi milioni 27 akiwa na miaka 18 niliona kama ni hasara. Alikaa kwa mkopo Saint Etienne, Nice na Marseille. Kazi anayoifanya sasa hivi baada ya kurudi kutoka kwenye mkopo ameonesha waliomsajili waliona mbali. Kila la heri kwake katika miaka ijayo.
  20. Mama mwenye umri mkubwa zaidi duniani amefariki akiwaacha mapacha wake wa miaka 3 wakiwa yatima

    Maria alifanya utaratibu wa kupandikiza mbegu ili apate watoto (IVF) akiwa na umri wa miaka 67. Aliingia kwenye kitabu cha Guineas Book of Records kwa kuwa mama aliyepata watoto akiwa na umri mkubwa zaidi. Maria alipunguza umri wake kwa miaka 12 wakati akipata matibabu yake. Madaktari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…