zaidi duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wanawake warembo zaidi duniani kwa mwaka 2022 TOP 10!

    1- bella hadid 2- Adriana Lima 3- Beyonce 4-deepika Padukone 5- tuerny TZ 6- angelbaby 7- Aishwarya Rai 8- huddah Monroe 9- Priyanka Chopra 10- Margot Robbie Hao ndio wametajwa kuwa wanawake warembo, wenye mvuto, na maendeleo katika nyanja mbalimbali. Majarida mengi ulimwenguni yamewaorodhesha...
  2. Lonomia obliqua: Kiwavi mwenye Sumu kali zaidi Duniani. Sumu yake inaweza kumuua binadamu

    Kiwavi ni hatua ya ukuaji wa oda ya lepidoptera (wadudu kama vipepeo na nondo) ambao hutegemea majani kama chanzo kikuu cha chakula. Hii ni hatua ya pili kwa ukuaji baada ya yai ambayo kwa baadae hugeuka kuwa bundo kisha mdudu kamili (kipepeo) ambaye huanza tena kutaga mayai mengine ili...
  3. Sehemu zinazolindwa zaidi Duniani

    ZIFAHAMU SEHEMU SABA HATARI ZAIDI DUNIANI KATIKA MAISHA YAKO. Kwa fikra za kawaida tunadhani ya kwamba sehemu zinalindwa zaidi duniani ni Benki,Ikulu,kambi za jeshi na Bungeni labda kwa sababu ya kuwepo viongozi wakubwa wa taifa au hela zinazopatikana Benki hizo. Leo nakuletea sehemu saba...
  4. P

    Lary Fink: Mtu mwenye nguvu zaidi Duniani kwenye ulimwengu wa fedha

    Kampuni yenye nguvu zaidi Duniani na kwa bahati mbaya unaweza usiwe unaijua, kwa jina ni BlackRock. Hadi sasa Kampuni hii ina manage Mali zenye thamani ya Dola Trilioni nane( USD 8 Trillion) (hii ni kwa makadirio sawa na pesa za kitanzaninia Trilioni 18,400/-) moja kwa moja(Directly) na...
  5. L

    Tembelea moja ya barabara hatari zaidi duniani: Ajali nyingi za magari hutokea kwenye 'Death trampoline' nchini Colombia

    Mei 25, 2022, huko Putumayo, Colombia, trampoline ya kifo ni moja ya barabara hatari zaidi duniani, inaanzia kutoka Mocoa hadi San Francisco na ilijengwa mwaka 1930. Watu wengi walikufa wakiwa wanaendesha magari kwenye barabara hiyo.
  6. Uwanja ghali zaidi duniani (SoFi Stadium)

  7. WHO: Ugonjwa wa Monkeypox unatarajiwa kusambaa zaidi

    Shirika la Afya Duniani - World Health Organization limesema kuwa linategemea kuwepo visa vingi zaidi vya mlipuko wa ugonjwa wa MONKEY POX na kupata visa vingi zaidi. Amesema pia kuwa kusambaa kwa ugonjwa huu kulipungua katika kipindi cha mlipuko wa UVIKO na kusema kuwa visa vya ugonjwa huu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…