Bado naendelea kutafakari Kiwango cha Hafiz Konkoni. Sina baya naye lakini naendelea kumsubiri yule Konkoni aliyebamba kwenye Media zetu, yule ambaye ALLY KAMWE alituaminisha , yule ambaye tulisema TUISILA KISINDA KITU GANI BWANA, yule tuliyeamini kuwa ni mbadala wa FISTON KALALA MAYELE...