Umoja wa Mataifa (UN) kupitia kitengo cha Haki za Binadamu imetolewa taarifa kuwa idadi ya vifo vya raia wa kawaida wanaofariki katika vita Nchini Ukraine imezidi 3,153 tangu kuvamiwa kijeshi na Urusi, Februari, 2022
Imeelezwa kuwa vifo vingi vimetokana na mashambulizi ya makombora ya ardhini...