Watu wa Bukinabe walimuua Thomas Sankara wakarudi nyuma na leo ni masikini wa kutupa.
Thomas Sankara alitoa uhai wake kutetea masikini na raia wanyonge kama hayati JPM wa Rubambangwe Chato.
Vipi kuhusu Patrice Lumumba? Alisalitiwa na wenzake. Kama leo hii watanzania wanavyosalitiwa na wenzao...
Kwa wale wahenga na wajuvi wa hizi mambo huyu mwamba aliyeitawala Zaire kwa mkono wa chuma alipitishia bandari gani zana zake za kijeshi?
Nakumbuka huyu mwamba zilikuwa haziivi kabisa na mzee Nyerere pamoja na mzee Museven sasa aliwezaje kupitishia siraha zake hapo bandari ya Dar
honore ngbanda nzambo ko atumba ni jina alilojipa wakati wa aunthetication policy miaka ya 70 lakini jina walilompa wandishi wa habari wa marekani ni the terminator
huyu alikuwa mkuu wa usalama wa taifa wa zaire na baadaye aliteuliwa na mobutu kuwa mshauri wake wa maswala ya usalama
akiwa...
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu JamiiForums.
Ndugu zangu watanzania;
Muziki kutoka nchini Zaire (sasa ni D.R.C) uliwezaje kutamalaki na kupendwa sana hapa Tanzania ilhali tumepakana na jirani wengine takribani 6?
Mbali na D.R.C nchi yetu ya Tanzania pia imepakana na...
Inaelezwa kuwa huu ni moja ya wimbo mkubwa zaidi wa kueneza propaganda iliyowahi kutengenezwa Afrika na Duniani kwa ujumla. Wimbo huu uliimbwa na Mwanamuziki Nguli wa Muziki wa Rhumba kutoka nchini Zaire(DR Congo kwa sasa), Franco Luambo Luanzo Makiadi mnamo 1984 wakati wa vuguvugu la uchaguzi...
Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu Wa Za Banga alikuwa kiongozi wa kijeshi dikteta huko Zaire. Mke wake wa kwanza Marie-Antoinette Mobutu, alifariki kwa ugonjwa wa moyo mwaka 22 October 1977 Genolier, Switzerland akiwa na umri wa miaka 36.
1 May 1980 alimuoa Bobi Ladawa pamoja na pacha mwenzake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.