zama

Zama, also known as Xama, in what is now Tunisia is best known for its connection with what is called the Battle of Zama, in which, on 19 October 202 BC, Scipio Africanus defeated Hannibal, ending the Second Punic War with victory for the Roman Republic, and breaking the power of Ancient Carthage.

View More On Wikipedia.org
  1. Robert Heriel Mtibeli

    Hizi ndizo zama za kila mtu abebe msalaba wake, njia ya msalaba

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Shida zako zilikuwa za familia, ukoo na jamii nzima. Furaha yako, ilikuwa ya familia, ukoo na jamii nzima. Mtoto wako alikuwa wa familia, ukoo na jamii nzima. Maadili yako yalikuwa ya familia, ukoo na jamii nzima. Huko ndiko tulipotoka, tumefika hapa ndiko...
  2. S

    Zama zake zimepita. Jihadhari sana na kauli au maoni yako juu yake hapo kesho

    Tuko zama za anaupiga mwingi na maridhiano. Hivyo ewe kiongozi mteuliwa kuwa mwangalifu utakapokuwa unatoa maoni kuhusu bwana yule hapo kesho, maana Zama zake zimepita na kitabu chake kimefungwa. Maoni yako yakikolezwa Sana sifa itakula kwako. Kama ikiwezekana wakwepe Sana waamdishi wa habari...
  3. Kyambamasimbi

    Kwa wahenga tu, Zama zetu zileee, tujikumbushe enzi zetu, tuliokulia vijijini

    Jamani maisha ni safari ndefu, hasa tuliokulia vijijini tuliishi maisha ya kipekee saaana. 1. Kuoga ilikuwa ni mtoni hasa kwa maeneo ya Tukuyu Miaka hiyo ya tisini. 2. Kuvaa nguo mpya mashati ya Julian na suruali special za Tokyo huku chini na mokas 3. Kupaka mafuta ni mpaka unaenda mjini au...
  4. Kaka yake shetani

    Zama Zama kikundi kinacho sumbua africa ya kusini kuliko M23

    Zama Zama ni neno litokalo kabila la hausa kwa kngereza (To be).ila kwa kizuru(Try Try). South africa imebarikiwa kuwa na uchimbaji mkubwa wa dhahabu na migodi mikubwa inayozalisha madini ya dhahabu. kutokana na upatikanaji mkubwa wa dhahabu nchini south africa,ukilitimba wa wachimbaji wa dogo...
  5. Venus Star

    Kwanini Maporomoko ya Kalambo yanatajwa kuwa maajabu ya Afrika yaliyoficha zama za Binadamu?

    Tanzania nchi yangu. Maporomoko ya Kalambo.
  6. Four-Star General

    Hivi George Mkuchika ndio Kingunge Ngombare Mwiru wa zama hizi?

    Wakuu... Leo maombeni mnijuze, kwanini Captain Mstaafu George Huruma Mkuchika kila Baraza jipya la Mawaziri huwa hakosi. Ukiangalia umri wake ni kama umeshamtupa mkono, lakini bado anaaminiwa na kila Rais anayekuja madarakani hali ya kuwa vijana wapo na wanaweza kuchapa kazi vizuri tu. Je...
  7. S

    Zama hizi ni sahihi kwa mkaka kumuoa binti bila kumuonja?

    Kungwi mie leo niko katika mtanziko mkubwa. Nimepata mteja jana alikuja kupata ushauri wa masuala ya mahusiano na ndoa. Kuna mkaka ana mdada ambaye anamhudumia kwa mwaka wa pili sasa kwa lengo la kuoana. Lkn dada huyu mwenye miaka 24 tu amegoma katakata "kutoa mchezo" mpk ndoa. Hataki...
  8. Lycaon pictus

    Zama hizi hutakiwi kuwa 'mshabiki' wa chama cha siasa kushabikia wanasiasa

    Kama huna maslahi ya moja kwa moja, kama kupata uongozi au posho za uchawa acha mara moja ushabiki wa siasa na kushabikia wanasiasa zama hizi. Ushabiki wa siasa itakufanya usione mabaya ya chama chako wala mazuri ya chama kingine. Masuala ya siasa ni muhimu kuliko mpira, usiyaletee ushabiki...
  9. TheChoji

    Mgao wa umeme umeturudisha zama za mawe za kale

    Imagine leo hii kila mtu ana TV na king'amuzi nyumbani, lakini tunalazimika wote kwenda kurundikana bar za vichochoroni zenye jenereta ili kuangalia mechi ya ufunguzi..!! Kwenye mitandao ya kijamii watu wanaulizana ni bar gani kuna jenereta watu wawahi siti.
  10. Robert Heriel Mtibeli

    Putin ni shahidi, Mtume na Nabii wa Zama zetu. Namuunga Mkono

    PUTIN NI SHAHIDI, MTUME NA NABII WA ZAMA ZETU. NAMUUNGA MKONO. Na, Robert Heriel Shahidi. Tunaojua Dunia ilipotoka, ilipo na wapi inaenda, tutabaki kuwa Wafuasi watiifu wa falsafa za Ki-putin. Putin ni mtakatifu, Shahidi na shujaa ambaye anaitumia nafasi na Cheo chake vizuri kutekeleza utume...
  11. Zanzibar-ASP

    HATARI: Zama za Wakatoliki kuendelea kutubu mbele ya Padri zimepitwa na wakati

    Zama za kiimani kwa Kanisa Katoliki zimebadilika, maisha ya waumini na Mapadri ndani ya Kanisa Katoliki yamebadilika, na mifumo ya kimaisha imebadilika. Sio siri tena, Kutubu mbele ya Padri kwa sasa kumekuwa sumu ya kuwaumiza waumini au kitendawili chenye kukosa majibu. Kiapo cha Upadri...
  12. M

    SoC02 Sayansi na teknolojia itumike ipasavyo kuleta manufaa na tija inayohitajika

    UTANGULIZI. Tupo katika zama za utandawazi; Sayansi na teknolojia imechukua nafasi kubwa Sana katika ulimwengu huu wa Sasa hususan katika shughuli mbalimbali za uzalishaji wa kiuchumi, mambo ya siasa, elimu, pamoja na masuala ya kijamii. Teknolojia NI ujuzi wa kutumia vyombo (mashine) Ili...
  13. B

    Dar Mpya Online Tv yawa Zamampya Tv

    Kwa wale wafuatiliaji wa mambo, siku kadhaa zilizopita chaneli ya DAR MPYA ilipata misukosuko kidgo na TCRA baada ya kuchapisha maudhui yaliyoonesha baadhi ya watu "waliodaiwa" kupangwa ili kufanya propaganda kuhusiana na suala zima la Ngorongoro. Pamoja na misukosuko hiyo, mapema mwezi wa...
  14. L

    SoC02 Zama zimebadilika...

    Ile pesa tuma kwa namba hii 07!!22!!21, jina litakuja ZAMA ZIMEBADILIKA, usitumie tena ile ya zamani,hii ni karne ya 21,Mama anashukuru sana kwa hela uliyomtumia mwezi jana ilimsaidia sana kwenye shughuli za kilimo pamoja na mdogo wako katika mahitaji yake ya shule. Zama zimebadilika sana...
  15. libeva

    Zama za Wallace Karia zimewadia

    Boss wa TFF zama zake zinaelekea ukingoni kwa kutumia madaraka yake vibaya kwa kuendesha TFF na kuichezesha segere atakavyo ni suala la muda tu atang'oka si ajabu akawa anatokea Segerea, ni suala la muda tu amegusa kwenye mfupa wenye nyama na kaingia king mwenyewe.
  16. Lidafo

    SoC02 Teknolojia na Jeshi katika zama za nyuki wasio na asali

    "Mwanajeshi wa kweli anapambana sio kwa sababu anachukia kilichopo mbele yake, Ila ni kwa sababu anapenda kilichopo nyuma yake". UTANGULIZI. Natumai tu wazima na wenye shida na matatizo Mwenyezimungu awape sahali. Nimeanza na msemo maarufu wa kijeshi unolenga kutoa maana ya ni nani mwanajeshi...
  17. kyagata

    Zama za Kilimanjaro Express zimeisha

    Juzi kati nikawa na kijisafari cha kuelekea mikoa ya huko kaskazini mwa Tanzania. Nikasema ngoja nipande Kilimanjaro express, duh kwa kweli nilijuta sana kupanda lile basi. Cha kwanza tulidanganywa kuwa basi ni luxury hivyo tukakatishwa nauli kubwa ila kiuhalisia hakuna luxury bus pale, bus...
  18. S

    Hivi kwa dunia ya leo mnafuata nini kwenye ndoa? Ndoa ni mambo ya zama za kale

    Naomba nisisitize hili kwa mara nyingine tena. Ndoa lengo lake kuu ni uroda. Zama hizo (mwaka 47) watu walikuwa na maadili ya kufa mtu kiasi kwamba ambaye hajaingia kwenye ndoa ilikuwa haliwezekani kupata uroda. Basi hapa ndipo watu wakakazana kuoana. Miaka hii tunatongozana kila mahali, kila...
  19. F

    Ndoa ya kimila ni ndoa nzuri sana kwa wanaume wa kikristo matajiri zama hizi

    Habari wadau. Wanaume wengi wa kikristo wanalalamika tabia za wake zao huwa wanabadilika baada tu ya kufunga ndoa kanisani ama uzeeni kwa kiburi cha ndoa haivunjiki na pia migogoro ya mali ni mingi sana. Sheria ya ndoa ya Tanzania inatambua ndoa 3. Ambazo ni ndoa za kidini, ambazo ni ndoa ya...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    Kutolelewa Na Baba na Mama humfanya mtoto asiwe na Upendo, hii ni sababu upendo wa ndani ya jamii Zama hizi kupungua

    Kwema Wakuu! Ni ngumu Sana kukuta upendo Kwa watoto ambao hawajalelewa na Baba na Mama, hiyo ndio sababu siku hizi kwenye jamii upendo wa wengi umepoa. Mtoto asipolelewa na wazazi wawili, Baba na Mama yake hisia na vyanzo vya upendo hufa POLEPOLE Kwa uhakika. Kuachana Kwa wenza, Baba na Mama...
Back
Top Bottom