zanzibar

  1. R

    Khanga Kubwa kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya Jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3. Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Contact/Mawasiliano: 0784...
  2. Wakuu mwenye connection ya kampuni za ulinzi Zanzibar tafadhali

    Habari gani wakuu bila kupoteza muda niingie kwenye mada Jamani kwa yoyote mwenye connection na kampuni za ulinzi zinazolipa kwa wakati Zanzibar msaada wako unahitajika hapa tujuze tafadhali na Mungu atakubariki.
  3. Kwanini Zanzibar hakuna comedians?

    Tangu kumeibuka wimbi la wachekeshaji kibiashara nchini sijawahi kusikia comedian Mzanzibar aliye maarufu. Huko Zanzibar wao hawafanyi comedy au wapo ila hawajawa maarufu tu?!
  4. Pre GE2025 Katibu Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Zanzibar, Khamis Mbeto, azindua rasmi Kituo cha mafunzo ya Amali kilichopo Mbuzini, Bububu

    Katibu wa Idara ya Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Zanzibar, Khamis Mbeto Khamis, amezindua rasmi Kituo cha Mafunzo ya Amali kilichopo Mbuzini, ndani ya Jimbo la Bububu. Kituo hiki kimejengwa kwa juhudi za Mwakilishi wa Jimbo hilo, Mudrik Ramadhan Soraga, kwa lengo la kuwawezesha vijana...
  5. Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, na uongozi wa VETA watakiwa kuendesha program zitakazowasaidia Vijana wa Zanzibar kujiajiri na kuajiriwa

    Naibu katibu Mkuu wa Chama Cha cha Mapinduzi Zanzibar Dkt. Muhammed Said Dimwa amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Fatma Hamad Rajab kukaa pamoja na Uongozi huo wa Veta ili kuweza kuendesha program zitakazowasaidia Vijana wa Zanzibar na kuweza kujiajiri...
  6. S

    Tabia ya kubambikiwa kesi

    Baadhi ya maeneo Zanzibar wanatabia ya kishenzi wanategesha mabinti ana miaka 30 unaambiwa umembaka aidha utoe million 8 au umuoe.
  7. L

    Wataalamu wa China watoa maarifa ya kujikinga na magonjwa kwa wanafunzi wa Zanzibar

    Kengele ilipolia katika Skuli ya Sekondari ya Simai iliyopo Pemba visiwani Zanzibar, wanafunzi darasani walichangamka wakiwa na hamu kubwa. Wataalamu wa China kutoka timu ya mradi wa kuzuia kichocho walikuwa wamefika kutoa mafunzo maalumu ya afya kuhusu kuzuia kichocho, ugonjwa unaodhoofisha wa...
  8. L

    Timu ya madaktari wa China nchini visiwani Zanzibar yaleta mwanga wa matumaini kwa mama wa miaka 70

    Akiwa na umri wa miaka 70, Tuma Saidi Hamadi kutoka kisiwa cha Pemba, Zanzibar alikuwa katika hatihati ya kupata upofu, lakini maisha yake yalibadilika ghafla baada ya kikundi cha 34 cha timu ya madaktari wa China kumfanyia upasuaji wa mtoto wa jicho na kurejesha uwezo wake wa kuona. Safari ya...
  9. TANESCO watoa ufafanuzi kuhusu maboresho ya miundombinu kituo cha Ubungo kuanzia Feb 22-28 na kuathiri maneno ya Dar, Zanzibar na Pwani

    Tutakuwa na maboresho ya miundombinu yatakayofanyika katika Kituo cha Kupokea, Kupoza na Kusafirisha umeme cha Ubungo ambayo yanaweza kuathiri upatikanaji wa huduma ya umeme kwa nyakati tofauti kwenye baadhi ya maeneo ya Zanzibar, Dar na Pwani. Tunapenda kuwatia hofu wananchi kuwa maboresho...
  10. TANESCO yatangaza baadhi ya maeneo ya Zanzibar, Dar na Pwani kukosa umeme kwa nyakati tofauti

    TAARIFA KWA UMMA MABORESHO KATIKA KITUO CHA KUPOKEA KUPOZA NA KUSAFIRISHA UMEME WA MSONGO WA KILOVOTI 220 CHA UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM Jumatano, 19 Februari 2025 Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuwa kutakuwa na maboresho katika Kituo cha Kupokea, Kupoza na...
  11. Pre GE2025 Zanzibar: Serikali kufikisha huduma za afya kwenye visiwa vidogo

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali imedhamiria kumaliza matatizo ya kiafya wanayokabiliana nayo Wananchi wanaoishi katika Visiwa Vidogovidogo kwa kufikishwa katika matibabu kwa wakati ili kupunguza vifo vinavyoweza kuepukika ikiwemo vya...
  12. H

    Kwanini wanafunzi kutoka bara wanalazimika kulipia mafunzo kwa vitendo Zanzibar?

    Mimi kama mdau nahoji kwa nini vijana kutoka Tanzania bara wanapokuja kufanya mafunzo kwa njia ya vitendo ZANZIBAR wanalazimika kulipia kiasi kisichopungua shilingi laki moja na nusu kama gharama ya mafunzo kwa njia ya vitendo? Je ikitokea wakutoka zanzibar nao wameenda bara kufanya mafunzo je...
  13. J

    Pre GE2025 Rais Mwinyi: UVCCM endeleeni kuhamasisha vijana CCM ishinde na kushika dola

    RAIS MWINYI:UVCCM ENDELEENI KUHAMASISHA VIJANA CCM ISHINDE NA KUSHIKA DOLA. Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi amesema Chama cha Mapinduzi (CCM) ameisisitiza UVCCM kuendeleza kasi ya uhamasishaji uandikishaji wa...
  14. R

    Khanga Kubwa za Zanzibar zipo

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya Jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3. Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Contact/Mawasiliano: 0784...
  15. Pre GE2025 Aliyehamia CCM Zanzibar: Niligombea umakamu mwenyekiti ACT kumpinga Jussa akaniambia utakoma na hautakuwa

    Wanachama 2370 waliokua ACT Wazalendo wakiongozwa na aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kiwani kwa miaka 20, Hija Hassan Hija, wamekabidhi kadi za ACT na kuhamia Chama cha Mapinduzi (CCM) huku akiweka bayana kuwa aligombea makamu uenyekiti kwenye chama chake cha awali kumpinga Ismail Jussa ambapo...
  16. Plot4Sale Makunduchi: 2.8 Acres Beach Plot For Sale - South Unguja, Zanzibar

    • Direction: • Facilities: • Plot Area: • Beach Strip: • Document: • Ideal: • Price: • Site visiting: . #InRealEstateWeConnect ☎💬: Mitandao ya Kijamii:
  17. Uteuzi: Said Kiondo Athumani ateuliwa kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA)

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amemteua Said Kiondo Athumani kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA). Kabla ya uteuzi Said alikuwa ni Mkufunzi Mkuu Chuo cha Kodi cha Mamlaka ya Mapato Tanzania.
  18. A

    Msaada: Namna gani naweza kusafirisha vitu vya ndani kutoka Zanzibar kwenda Dar?

    Habari Wadau Naomba anayejua taratibu za kusafirisha vitu kama vitanda, makochi, Jokofu anipe maelekezo nataka kuhama Zanzibar niende Dar na vitu vyangu
  19. C

    Fursa Trainee Zanzibar

    Habari ndugu zangu, naomba kujua kama humu ndani Kuna mtu anafanya kazi au unajuana na mfanyakazi wa MICHAMVI SUNSET BAY HOTEL. Kama yupo namba tuwasiliane DM maana nahitaji kupata fursa ya trainee pale, maana nilienda mwenyewe, walinzi wakanirudisha wananiambia hamna nafasi, wakati watu...
  20. T

    Pre GE2025 Mbunge wa viti maalum Zanzibar, Tauhida Gallos amesema kuwa hakuna kiongozi atakayeihama CCM na kuifanya itetereke hata awe anapendwa vipi

    Mbunge wa viti maalum Zanzibar, Tauhida Gallos ameeleza kuwa hata aondoke nani bado chama cha mapinduzi kitaendelea kuwa imara. "Hakuna kiongozi anayeweza kukiteteresha hiki chama hata uone anapendwa vipi" Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…