zanzibar

  1. Emanueli misalaba

    Emerald hotel Zanzibari, kwa sasa ni The Mora Zanzibar hotel

    Wana Jf habari za kutwa nzima ya leo wakuu! Wadau kuna kitu hapa sielewi natamani wajuzi wanisaidie huenda hofu na mashaka vikaniondoka. Wiki hii tangu ianze 04/03/2024, hadi siku ya leo 08/03/2024, imekuwa ni wiki ya u busy sana wa misafara ya kila mara ikitoka na kuingia si asubuhi, si...
  2. Suley2019

    Zuchu afungiwa kujihusisha na shughuli za sanaa Zanzibar

    Baraza la Sanaa, Sensa, Filamu na Utamaduni la Zanzibar, limemfungia msaanii wa kizazi kipya Zuhura Othman Masoud maarufu Zuchu kuendesha shughuli zote za sanaa visiwani Zanzibar. Mbali na kumfungia kuendesha shughuli za sanaa, pia imepiga marufuku redio na televisheni za Zanzibar kupiga nyimbo...
  3. M

    Mzee Mwinyi ndiye kiongozi pekee aliyewahi kuongoza Tanzania nzima, sio upande mmoja kwa Koti la Muungano

    Katika dunia hii kuna watu wamebarikiwa sana. Na mamlaka hutoka kwa Mwenyezi Mungu. Mwenyezi Mungu akiamua kukupa mamlaka, kipaji, riziki anakupa tu kwa kupenda yeye mwenyewe bila kujali wewe una nini. Mzee Mwinyi hakuwa msomi sana kwa viwango vya kisasa (kuwa na digrii), lakini ni dhahiri kwa...
  4. D

    Mageuzi ya kiuchumi ya Zanzibar yalisaidia sana Watanzania kutamania Alhaj Ali Hassan Mwinyi aongoze Tanzania

    kiukweli Mzee Alhaji Ali Hassan Mwinyi aliongoza vizuri sana Zanzibar na baadaye Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kilichochangia Watanzania wawe na imani naye sana ni mageuzi ya kiuchumi na kijamii aliyoyafanya Zanzibar kwa kipindi kifupi wakati wa awamu yake na hivyo wananchi wengi hususani...
  5. Mama Edina

    Kwa kweli mzee mwinyi allah akupe tahafif. Ulifanya waalimu kwa upande kwa zanzibar wanakipwa transport allowance

    Ni rais pekee aliyehakikisha mwalimu analipwa stahiki hii ambayo imepuuzwa upande wa bara. Katika kada ambayo itaendelea kuwafanya viongozi wa bara waende na mzigo wa dhambi ni kuidharau kada ya ualimu. Ni kikwete pekee aliyebaki amwambie Mama kizimkazi asifanye kosa la kudharau waalimu...
  6. P

    Kulikoni? Uwanja wa Amaan Mtupu Kumuga Mzee Mwinyi Zanzibar

    Niko hapa uwanja wa Amaan Zanzibar kwenye shughuli ya kumuaga mpendwa wetu mzee Ali Hassan Mwinyi …inaacha Maswali kwanini majukwaaa ni Matupu hakuna watu kabisa labda kama huko nje kuna watu wataingia kwa maandaamano kama sherehe za mapinduzi , hii inaacha maswali sana ………..Wazanzibar watu wa...
  7. 6 Pack

    Suala la mzee Mwinyi kuzikiwa Zanzibar wala lisifanywe la kisiasa, pitieni hapa msome muelewe sababu

    Watanzania tupeane pole kwa msiba huu mzito katika taifa letu. Kuna watu wanashangazwa na hili swala la kuamua kuhamisishia msiba wa mzee Mwinyi Zanzibar, wakidai kuwa mzee huyo alikuwa asha usia kuwa akifariki akazikiwe kwao Mkuranga walipozikiwa na kulazwa wazazi wake na babu zake. Wengi...
  8. Erythrocyte

    Peter Msechu kupewa nafasi ya kutumbuiza Zanzibar?

    Inasemekana baada ya John Komba, Msechu ndio kama karithishwa mikoba . Je Atapewa nafasi ya kutoa wimbo kwa ajili ya Mzee Mwinyi? Ngoja tusubiri .
  9. Roving Journalist

    TANZIA Rais wa awamu ya pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amelitangazia taifa msiba wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Mhe. Ali Hassan Mwinyi leo Februari 29, 2024. Rais amesema "Ndugu wananchi, kwa majonzi makubwa nasikitika kutangaza kifo cha Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa...
  10. domokaya

    Zitto Kabwe amekiuza ACT Wazalendo, ameuza upinzani, ameiuza Zanzibar

    Hatua ya Zitto Kabwe kufanikiwa kuwapokea wanachama wa CUF karibu wote walioshusha tanga, ilikuwa turufu kubwa ya kisiasa kwa upande wake! Hatua ya pili ilikuwa ya kumuweka Othman Masoud Othman katika nafasi ya Makamu wa Kwanza wa Rais baada ya kifo cha Maalim Seif Shariff Hamad. Hapa Zitto...
  11. K

    Zanzibar Business and Property Registration Agency( BPRA) nahitaji majibu kutoka kwenu

    Leo nimejaribu kufungua account ya kimtandao ya Online Registration System (ORS) katika taasisi ya Business and Property Registration Agency(BPRA).Taasisi hii iko Zanzibar na inafanya shughuli zinazofanana na zile za BRELA. Katika utambulisho wa mfunguaji akaunti kwa maana ya...
  12. Mjanja M1

    Dkt. Mwinyi aondoa kodi ya sukari Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameondoa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kwenye sukari ili kuwasaidia wananchi kuelekea mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa kutopanda bei ya bidhaa hiyo. Dkt. Mwinyi amesema hayo wakati akizungumza na wafanyabiashara wa...
Back
Top Bottom