Dr Wilbroad P. Slaa: Afichua mpango wa siri CCM kuitaka CHADEMA iandae wagombea uchaguzi mkuu 2025

The Palm Beach

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
4,249
Reaction score
11,592

View: https://youtu.be/DzhhwThYJOY?si=IRsW6tOKSbFXAH_f
Very unfortunately kuwa, wanasema haya wakati kwa mlango wa nyuma wanawatesa CHADEMA walio kinyume na mawazo yao maovu....

Mfano; CCM wanawezaje kuwa na hoja ya namna hii wakati Mwenyekiti wa chama kikubwa CHADEMA, mshindani mkuu wa chama kilicho madarakani Mh Tundu Lissu wamemshika na kumweka gerezani kwa ubabe wa sababu za uongo tu wakiwa na mawazo ya kumtafutia sababu za kumuua....?

Mtu makini na timamu kichwani atajiuliza, hawa watu wana akili sawasawa kweli za kuwawezesha kufikiri vyema na kimantiki ili kushawishi na kueleweka kirahisi kwa watu makini na hata mwananchi wa kawaida ktk haya wanayowaza....?

By the way, kama hiki anachokisema Dr Slaa hapa ni cha kweli, basi here 👇below is my personal reservations:

=====================
​
1. Kwamba, kwa trend hii, basi CCM na serikali yao haina shaka yoyote kuwa, mgandamizo (pressure) ya madai ya mabadiliko ya mfumo wa sheria za uchaguzi Tanzania kupitia kaulimbiu ya wananchi inayoongozwa na CHADEMA ya NO REFORMS NO ELECTION imewaingia, wameelewa na sasa imewaelemea na kukaba shingo zao...

2. Deep inside, wanajua fika kuwa liko tatizo ktk sheria na mfumo mzima unaongoza na kusimamia chaguzi zetu....

3. Lakini kwa kuwa, tatizo hilo la kimfumo linawanufaisha wao, kwa kiburi tu kilichochanyikana na woga, wamekuwa wazito kuchukua maamuzi sahihi ya kijasiri kuubali ukweli na kuitisha national dialogue ili kufanya reconciliation ya namna njema ya kuendesha chaguzi zetu Ili kwa kuanzia na uchaguzi wa mwaka huu 2025 tuingie tukiwa wamoja kama taifa badala ya tendo hili muhimu na takatifu la uchaguzi kufanyika tukiwa ktk mgawanyiko wa makundi hasimu na chuki...

4. Inashangaza sana kuwa, badala ya CCM kuchukua ujasiri wa kiuongozi kusimamia hili, wanaendelea kutumia mbinu za kilaghai na propaganda kuficha vichwa vyao mchangani kama mbuni huku viwiliwili vyao vikionekana, lengo na nia ikiwa ni kujifanya hawalioni tatizo....

5. Wanaandaa vijikongamano visivyo na tija wala hoja kama kile cha juzi ili kufanya utani wakiwatumia wasanii uchwara huku Rais mstaafu wa awamu ya nne Mzee Jakaya Mrisho Kikwete naye eti akitumika kuendesha propaganda za kujaribu kuukwepa ukweli na kuzidi kulifunika tatizo badala ya kulitatua....

6. Hii haimtasaidia Rais wa JMT Bi Samia Suluhu Hassan, haitaisadia CCM na wala haitasaidia nchi na taifa hili, badala yake inaongeza ukubwa wa tatizo linaloweza kuingiza nchi ktk giza nene...

Hoja za wananchi zikisimamiwa na uongozi wa CHADEMA kupitia kaulimbiu ya NO REFORMS NO ELECTION ziko very clear ambazo kusema ukweli haziwezi kupigwa rungu wala bunduki bali kujibiwa kwa kufanya vitendo na sio maneno ya kupotezea....

👉Kila mtu mwenye akili zilizo sawa anajiuliza, hivi hawa watu ni kweli kabisa hawaoni tatizo? Je, ni kweli hawazioni hoja nzito za wananchi ambazo ndizo hoja za CHADEMA kuhusu upogo na matatizo ya chaguzi zetu....?

👉Kama wanaona, kuna ugumu gani CCM kuacha sehemu ya ubinafsi (selfishness) wao wa kutaka yote wao tu ili wawezeshe taifa kukaa chini tukaanza ingalau na mambo mawili au matatu kuyashughulikia ili tuingie kwenye uchaguzi tukiwa wamoja...?

👉Hivi kuna ugumu gani wa sisi sote kama taifa kukaa chini na kukubaliana kuwa tuwe na utaratibu "huu" neutral, mzuri na wa kuaminika na kila chama, wagombea na wapiga kura kupitia taasisi iitwayo "Tume ya Uchaguzi ya Taifa" ili kusimamia chaguzi zetu...?

👉Kuna ugumu gani kukaa chini wote na kuweka utaratibu mzuri, wa wazi unaohakikisha kila mtu mwenye haki ya kugombea nafasi yoyote ya uongozi anapata nafasi hiyo bila kuwepo na kuenguana bila sababu zozote za msingi...?

👉Kama CCM hii inayoongoza serikali sasa inakataa mabadiliko haya ambayo ni very genuine kabisa, tafsiri ya moja kwa moja ni kuwa, hawakubaliki na huwa hawashindi kihalali hata ktk chaguzi zilizopita huko nyuma na wanataka hali hii iendelee hivi. Kama ukweli ni the opposit, wasingekuwa na hofu waliyonayo sasa...!!

Kama wana fikra hizi, nachelea kusema kuwa, THINGS ARE NO LONGER AT EASY to them this time around....!

Mungu wa mbinguni anawaambia hivi CCM na serikali yenu kuwa:

Mithali 27:12 SUV
"......Mwenye busara huyaona mabaya na kujificha; Bali wajinga huendelea mbele wakaumia...."
​

Sisi wananchi sio wajinga hatutaumia na ninyi. CCM na watu wake "wajinga", wao ndo waendelee mbele na waumie wao peke yao nchi na taifa libaki salama. Amina🙏🙏🙏
 
Duuh
 
WAPIGA DILI WA MALI ZA UMMA
Screenshot (133).png
 
Sasa kama wahusika chadema watahusika, hapo kosa liko wapi?
 
Back
Top Bottom