uzi maalum kwa ajili ya connection za kazi; Bara, Zanzibar & Uarabuni, wenye Elimu na wenye ujuzi.

MFALME WETU

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2021
Posts
5,824
Reaction score
14,757
Ugonile,

Kuanzia leo ntakua napost nafasi za kazi au nafasi zinazoelekea na kazi humu.

Msinipigie simu tafadhali, Tangazo litakua linajitosheleza.

NB. Hizi nafasi zipo chini ya madalali hivo hakuna mlolongo wa interview ila hakikisha unafanikisha lengo lako ndo unalipa.

AVAILABLE POSITIONS
NAFASI ZOTE NI DIRECT ZIPO KWA AGENTS , No mode of Application.

📍Mkuu wa Shule
Eneo la kazi Gongo la Mboto Dar es salaam
QUALIFICATIONS:
Awe na Degree ya Education
Jinsia ya Kiume
Aweze kufundisha Kiswahili, Historia ya Lugha na masomo yote ya ARTS
Awe anajua vizuri majukumu yote katika nafasi yake
Awe na experience ya kuwa academic au Second master, Au cheo chochote katika sekta ya Elimu.
Shule changa, ni primary level
Salary utaanza na 300,000, baadae utalipwa 600,000
Chakula na malazi Ni juu ya Director

📍Mpishi mmoja wa Kiume shule ipo mbezi Dsm mshahara maelewano

📍Mwalimu wa chekechea mmoja shule ipo mbezi beach Dsm salary 500k awe na experience kufundisha vizuri

📍Anahitajika Muhasibu Wa Kike
Mwenye Degree au Diploma ya Accounts
Eneo la kazi ni Tegeta Dar es salaam
In a Primary school
Sifa:
Awe Mkristo, smart
Aweze kuandaa Payroll, etc
Uwezo wa kutumia Computer( Microsoft Excel na Microsoft office)
Nidhamu ya kazi pamoja na uzoefu
Basic Salary 600,000 per month

📍Mwalimu wa Kiume kufundisha English shule ipo kibaha salary 500k sehemu ya kuishi ipo Full Accomodation

📍Mwalimu wa Kiume kufundisha Mathematics na science shule ipo Kibaha sehemu ya kuishi ipo Full Accomodation salary 600k

📍Mwalimu wa kufundisha Mathematics na science kwa primary level shule ipo kibaha Full Accomodation salary 500k

📍Mwalimu wa Nursery Eneo la kazi Goba mshahara 500,000

📍Mwalimu wa Nursery Location Mbweni Salary 600k

📍Mwalimu wa Grade 3 na Grade 5 shule ipo Mbweni Dsm Salary 700k

📍Nafasi ya Mkuu wa Shule
Shule ya msingi ipo Mbezi Msumi Dar es salaam
Uwe na elimu ya Degree of EDUCATION
JINSIA ya Kiume
Umri usizidi 40
Uwe unajua vizuri majukumu yote katika nafasi yako
Ujue mfumo wa mitihani ya Necta
Shule ni primary level
Salary 500,000
Uwe tayari kuijenga shule ifikishe Wanafunzi 200 ili kupandishiwa mshahara wa Million Moja pamoja na gari la kwenda kazini
Itapendeza ukitokea maeneo Jirani ya Mbezi Msumi
Uzoefu wa uongozi ni kipaumbele lakini Si Sharti

📍Mwalimu wa Bookeeping na commerce shule ya Secondary Eneo la kazi Morocco Dsm salary 1M

📍Mhasibu mwenye experience ya miaka 4 or 5,mwenye CPA salary 1M, work station Kimara Dar es Salaam

📍Matron mmoja shule ipo Kigamboni Dsm mshahara 200k, awe na cheti cha form 4 na namba ya NIDA

📍Mkuu wa Shule
Jinsia:Kike
Lazima Awe na Degree ya Early childhood Education
Awe na uzoefu wa kutosha kufundisha ECDE pamoja na experience ya ufundishaji pamoja na experience ya Uongozi
Awe mwenye Upendo kwa Watoto
Awe tayari kusimamia shule vizuri kwa ubora wa Viwango Vikubwa
Shule ya primary level, location Ubungo Dsm
Salary 900,000

📍Walimu wa kufundisha DAYCARE CENTRE shule zipo ubungo, kimara, mbezi, Goba, Kigamboni , Gongolamboto,mbezi beach, kibaha.
Mishahara range 200k-500k basic salary

📍Wahudumu wa Guest House Gongo la mboto mshahara 100,000. Chakula na malazi juu ya Ofisi.

NB: ALL POSITIONS ARE MANAGED BY AGENTS, THEREFORE NOT FREE.

Copy za CV, viambatanisho vyovyote na service charge fika navyo ofisini Kimara. . Usitume kwa njia ya WhatsApp

Mawasiliano WhatsApp/SMS/ +255 693 162 712
 
NAFASI ZOTE NI DIRECT CONNECTION ZIPO KWA AGENTS . No mode of Application.

📍Dereva mwenye class C
shule ipo Mbezi Luguruni Dsm mshahara 300,000

📍Mpishi mmoja wa Kiume shule ipo mbezi Luguruni Dsm mshahara 300,000

📍Dereva mwenye Class C kuendesha school bus shule ipo mbezi msakuzi Dsm mshahara 250,000

📍Mwalimu wa Mathematics na science shule ipo Mbezi Dsm salary 900,000

📍Mwenye Degree ya IT au Engineering mwenye uwezo wa kufundisha shule ya Sekondary somo la PHYSICS au MATHEMATICS au masomo Yote mawili. shule ipo Tabata Dsm salary maelewano na Director

📍Mwalimu wa kufundisha Mathematics na science kwa primary level shule ipo kibaha Full Accomodation salary 500,000

📍Walimu wa kike wa kufundisha DAYCARE CENTRE shule zilipo
Tegeta Mshahara 600,000
Kimara Mshahara 400,000
Mbezi Mshahara 500,000
Goba mshahara 500,000
Kigamboni mshahara 500,000
Masaki Mshahara 400,000
Mbezi beach Mshahara 500,000
Kibaha mshahara 300,000
Kawe Mshahara 400,000
Madale Mshahara 300,000
Zote ni Basic salary, ni vyema ujue kuongea kiingereza kiasi.

📍Wahudumu wa kike wa Guest House Gongo la mboto pamoja na wahudumu wa Bar mshahara 100,000. Chakula na malazi ni juu ya Ofisi.

Copy za CV, viambatanisho vyovyote na service charge fika navyo ofisini . Usitume kwa njia ya WhatsApp

Mawasiliano WhatsApp/SMS/CALL +255 693 162 712
 
Job: ASSISTANT ACCOUNTANT
LOCATION: KIGAMBONI

We are looking for a hotel accountant, with good experience of 1-2yrs of experience. At DIPLOMA LEVEL.
Preferably FEMALE (whose residence is in Kigamboni).

Please share your CV's through WhatsApp number 0764619656
 
Habari Asubuh Naitaji watu wafuatao wanichek
Naitaji treinee wawil wa Housekeeping kiume na kike
Kingereza kiwemo kdg
Hii kukaa huko huko hotelini
KAZI
Naitaji Tailor yaan mshonaji wa Nguo jinsia yeyote awe na uzoefu wa hotel location Zanzibar shamba kukaa huko huko please tuwaslianee sasaiv 0789145014......
 
Yasije yakawa Mambo ya wewe ndio kuwa fursa Kwa watoa fursa 😄
 
1000041950.jpg
 
Habari Asubuh Naitaji watu wafuatao wanichek
Naitaji treinee wawil wa Housekeeping kiume na kike
Kingereza kiwemo kdg
Hii kukaa huko huko hotelini
KAZI
Naitaji Tailor yaan mshonaji wa Nguo jinsia yeyote awe na uzoefu wa hotel location Zanzibar shamba kukaa huko huko please tuwaslianee sasaiv 0789145014......
Hawa trainee ndo kina nani?
 
WAITRESS 01
🛸SALARY 400K
🛸MJINI LOCATION KISIWANI
🛸AGENT FEE 200K
💼 HOUSE KEEPING 01
🛸 LOCATION KIZIMKAZI 🛸SALARY 300K
🛸AGENT FEE 150K
💼BAR LADY 01
🛸SAADAN TANGA
🛸SALARY 400K
🛩️🛩️🛩️🛩️🛩️🛩️🛩️🛩️

CALL 0623232336
 
NAFASI ZA KAZ KWA WANAWAKE
nfasi za kazi nafasi tunazo za house Maid 🏠
Nchini 🇴🇲 OMAN
VIGEZO:
Uwee na (passport
Umri usiwe mkubwa sana
Kuanzia miaka 23- 39
Kama huna passport njoo upate maelekezo

Call 0623232336
 
1️⃣ restaurant posta mshahara 210k kula hapo hapo kuingia asubuh kutoka jioni wanatakiwa wadada wawili umri 27 mwisho AGENT FEE laki moja sasaiv wanaitajika

2️⃣ Restaurant
Location. Kariakoo
Mshahara 155k
Anatakiwa mdada AGENT FEE 80k wahi chap

Restaurant Kimara
Mshahara 240k
Anatakiwa mdada
AGENT FEE laki moja

3️⃣ Restaurant
Tabata mwananchi
Mshahara 200k
Anatakiwa mdada
AGENT FEE laki moja

4️⃣ Restaurant kariakoo
Wanatakiwa wa dada 5 uwe umesomea una cheti
Mshahara 400k
AGENT FEE 150k njoo uanze kazi Angalia uwe na vyeti

5️⃣ Anatakiwa mpishi wa chapati ilala
Anaingia jioni tu na anadilia na chapati tu jinsia mwanaume
Mshahara 500k
AGENT FEE 150k

6️⃣ Mpishi wa kuchoma chapati anahitajika ilala mshahara 500k anaingia jioni tu AGENT FEE laki moja na nusu angalizo uwe jinsia ya kiume

7️⃣ Nafasi ya usafi wa gest mabibo anatakiwa mdada mmama sawa mshahara 100k AGENT FEE 30k

7️⃣ restaurant posta mshahara 210k kula hapo hapo kuingia asubuh kutoka jioni wanatakiwa wadada wawili umri 27 mwisho AGENT FEE laki moja sasaiv wanaitajika

8️⃣Duka la vipodozi cosmetics mshahara 240k kula nauli kwa boss anahitajika mdada mmoja awe na mwili wa wastan AGENT FEE laki moja location kariakoo msimbazi A siku ya kazi kuanza j3 ...

Call 0623232336
 
Ugonile,

Kuanzia leo ntakua napost nafasi za kazi au nafasi zinazoelekea na kazi humu.

Msinipigie simu tafadhali, Tangazo litakua linajitosheleza.

NB. Hizi nafasi zipo chini ya madalali hivo hakuna mlolongo wa interview ila hakikisha unafanikisha lengo lako ndo unalipa.

AVAILABLE POSITIONS
NAFASI ZOTE NI DIRECT ZIPO KWA AGENTS , No mode of Application.

📍Mkuu wa Shule
Eneo la kazi Gongo la Mboto Dar es salaam
QUALIFICATIONS:
Awe na Degree ya Education
Jinsia ya Kiume
Aweze kufundisha Kiswahili, Historia ya Lugha na masomo yote ya ARTS
Awe anajua vizuri majukumu yote katika nafasi yake
Awe na experience ya kuwa academic au Second master, Au cheo chochote katika sekta ya Elimu.
Shule changa, ni primary level
Salary utaanza na 300,000, baadae utalipwa 600,000
Chakula na malazi Ni juu ya Director

📍Mpishi mmoja wa Kiume shule ipo mbezi Dsm mshahara maelewano

📍Mwalimu wa chekechea mmoja shule ipo mbezi beach Dsm salary 500k awe na experience kufundisha vizuri

📍Anahitajika Muhasibu Wa Kike
Mwenye Degree au Diploma ya Accounts
Eneo la kazi ni Tegeta Dar es salaam
In a Primary school
Sifa:
Awe Mkristo, smart
Aweze kuandaa Payroll, etc
Uwezo wa kutumia Computer( Microsoft Excel na Microsoft office)
Nidhamu ya kazi pamoja na uzoefu
Basic Salary 600,000 per month

📍Mwalimu wa Kiume kufundisha English shule ipo kibaha salary 500k sehemu ya kuishi ipo Full Accomodation

📍Mwalimu wa Kiume kufundisha Mathematics na science shule ipo Kibaha sehemu ya kuishi ipo Full Accomodation salary 600k

📍Mwalimu wa kufundisha Mathematics na science kwa primary level shule ipo kibaha Full Accomodation salary 500k

📍Mwalimu wa Nursery Eneo la kazi Goba mshahara 500,000

📍Mwalimu wa Nursery Location Mbweni Salary 600k

📍Mwalimu wa Grade 3 na Grade 5 shule ipo Mbweni Dsm Salary 700k

📍Nafasi ya Mkuu wa Shule
Shule ya msingi ipo Mbezi Msumi Dar es salaam
Uwe na elimu ya Degree of EDUCATION
JINSIA ya Kiume
Umri usizidi 40
Uwe unajua vizuri majukumu yote katika nafasi yako
Ujue mfumo wa mitihani ya Necta
Shule ni primary level
Salary 500,000
Uwe tayari kuijenga shule ifikishe Wanafunzi 200 ili kupandishiwa mshahara wa Million Moja pamoja na gari la kwenda kazini
Itapendeza ukitokea maeneo Jirani ya Mbezi Msumi
Uzoefu wa uongozi ni kipaumbele lakini Si Sharti

📍Mwalimu wa Bookeeping na commerce shule ya Secondary Eneo la kazi Morocco Dsm salary 1M

📍Mhasibu mwenye experience ya miaka 4 or 5,mwenye CPA salary 1M, work station Kimara Dar es Salaam

📍Matron mmoja shule ipo Kigamboni Dsm mshahara 200k, awe na cheti cha form 4 na namba ya NIDA

📍Mkuu wa Shule
Jinsia:Kike
Lazima Awe na Degree ya Early childhood Education
Awe na uzoefu wa kutosha kufundisha ECDE pamoja na experience ya ufundishaji pamoja na experience ya Uongozi
Awe mwenye Upendo kwa Watoto
Awe tayari kusimamia shule vizuri kwa ubora wa Viwango Vikubwa
Shule ya primary level, location Ubungo Dsm
Salary 900,000

📍Walimu wa kufundisha DAYCARE CENTRE shule zipo ubungo, kimara, mbezi, Goba, Kigamboni , Gongolamboto,mbezi beach, kibaha.
Mishahara range 200k-500k basic salary

📍Wahudumu wa Guest House Gongo la mboto mshahara 100,000. Chakula na malazi juu ya Ofisi.

NB: ALL POSITIONS ARE MANAGED BY AGENTS, THEREFORE NOT FREE.

Copy za CV, viambatanisho vyovyote na service charge fika navyo ofisini Kimara. . Usitume kwa njia ya WhatsApp

Mawasiliano WhatsApp/SMS/ +255 693 162 712
Not free unaajiri wewe mkuu!!? Na akilipa hiyo fee anaruhusiwa kukushtaki kama hatopata kazi
 
1️⃣ restaurant posta mshahara 210k kula hapo hapo kuingia asubuh kutoka jioni wanatakiwa wadada wawili umri 27 mwisho AGENT FEE laki moja sasaiv wanaitajika

2️⃣ Restaurant
Location. Kariakoo
Mshahara 155k
Anatakiwa mdada AGENT FEE 80k wahi chap

Restaurant Kimara
Mshahara 240k
Anatakiwa mdada
AGENT FEE laki moja

3️⃣ Restaurant
Tabata mwananchi
Mshahara 200k
Anatakiwa mdada
AGENT FEE laki moja

4️⃣ Restaurant kariakoo
Wanatakiwa wa dada 5 uwe umesomea una cheti
Mshahara 400k
AGENT FEE 150k njoo uanze kazi Angalia uwe na vyeti

5️⃣ Anatakiwa mpishi wa chapati ilala
Anaingia jioni tu na anadilia na chapati tu jinsia mwanaume
Mshahara 500k
AGENT FEE 150k

6️⃣ Mpishi wa kuchoma chapati anahitajika ilala mshahara 500k anaingia jioni tu AGENT FEE laki moja na nusu angalizo uwe jinsia ya kiume

7️⃣ Nafasi ya usafi wa gest mabibo anatakiwa mdada mmama sawa mshahara 100k AGENT FEE 30k

7️⃣ restaurant posta mshahara 210k kula hapo hapo kuingia asubuh kutoka jioni wanatakiwa wadada wawili umri 27 mwisho AGENT FEE laki moja sasaiv wanaitajika

8️⃣Duka la vipodozi cosmetics mshahara 240k kula nauli kwa boss anahitajika mdada mmoja awe na mwili wa wastan AGENT FEE laki moja location kariakoo msimbazi A siku ya kazi kuanza j3 ...

Call 0623232336
Namba 8 bado ipo wazi
 
Back
Top Bottom