Kuna shida somewhere: Uganda, Tanzania na Zanzibar zasaini MoU

Kuna shida somewhere: Uganda, Tanzania na Zanzibar zasaini MoU

Zanzibar ni nchi na haijawahi kupoteza identity yake 😂😂
Nilichogundua wanatupelekesha sana kunapokuwa na #1 ni raia wa Zenji.
Hawa jamaa ni wa kuachana nao na kuwadai fedha zilizotumika kuwajenga hasa hii miaka 4 kwa mikopo tunayolipa sisi huku.
 
Aliye elewa mleta post anataka kutueleza nini atusaidie kufafanua.
Yaweza kuwa hoja hii ni nzito ila uwasilishaji tu.
Tito Okello alikuwa raia wa Uganda. Anza kuchakata ushiriki wake katika mapinduzi ya Zanzibar
 
Aliye elewa mleta post anataka kutueleza nini atusaidie kufafanua.
Yaweza kuwa hoja hii ni nzito ila uwasilishaji tu.
Maana yake Zanzibar ni Nchi kamili. Mafuta ya Zanzibar sio ya Muungano.
 
Tito Okello alikuwa raia wa Uganda. Anza kuchakata ushiriki wake katika mapinduzi ya Zanzibar
Mkuu mbona unazidi kuchanganya mambo? Tito Okello tena? Unamjua Tito Okello kweli? Na hayo mapinduzi ya Zanzibar alishirikije?
Kaa utulie kwanza kabla ya kuandika
 
Hata kama watu hawanaga akili, siyo kwa level hii ya Tanzania na Zanzibar kuonekana ni nchi mbili tofauti wakati tunajua ni nchi moja.
Zanzibar Wana rais na bunge, muungano ni wa nchi mbili
 
Back
Top Bottom