Kuna shida somewhere: Uganda, Tanzania na Zanzibar zasaini MoU

Kuna shida somewhere: Uganda, Tanzania na Zanzibar zasaini MoU

Halafu kuna wazanzibari wako Tanganyika na full authority huku watanganyika wakiwa ni wageni Zanziba, huu muungano ni kichaa
Tanganyika haipo,ilishauawa na nyerere,muwe mnatumia akili
 
Kutokuwepo kikatiba, haiondoi uhalisia, ama historia ya mtanganyika.
Hiyo tanzania bara ndio tanganyika yenyewe hiyo.
Tanzania bara siyo tanganyika,by the way,lini tuliona mzanzibar kawa mkuu wa wilaya bara?.. hakuna,plus zenji wanadai matrilioni ya mgao wa mikopo,tuliwabana,sasa hivi ndiyo wanaonja utamu wa muungano
 
Hata kama watu hawanaga akili, siyo kwa level hii ya Tanzania na Zanzibar kuonekana ni nchi mbili tofauti wakati tunajua ni nchi moja.
Tanzania na Zanzibar siyo nchi moja hata kwa sekunde, wewe nenda kaombe ajira za wazanzibar/ardhi/kitambulisho cha mzanzibar kama utapata, ni mpumbavuna asiye na akili pekee anaamini Zanzibar na Tanzania ni nchi moja, wazanzibar wanaitumia bara kama koloni lao sababu bara hatuna akili
 
Wao pia wanadai hakuna muungano(zenjibai),
 
Mleta mada, content zako mbona hazijakamilika? Wamesaini MOU ya nini?
 
Hata kama watu hawanaga akili, siyo kwa level hii ya Tanzania na Zanzibar kuonekana ni nchi mbili tofauti wakati tunajua ni nchi moja.
Shida gani Sasa wakati masuala ya gesi na Mafuta sio ya Muungano?
 
Hata kama watu hawanaga akili, siyo kwa level hii ya Tanzania na Zanzibar kuonekana ni nchi mbili tofauti wakati tunajua ni nchi moja.
Inaitwa "Mdogo Mdogo, Haya Twende!" Kuna mahali tunakuendea...
 
Hata kama watu hawanaga akili, siyo kwa level hii ya Tanzania na Zanzibar kuonekana ni nchi mbili tofauti wakati tunajua ni nchi moja.
Kwa hali hii nitashangaa kuona jeshi bado litaendelea kukaa kimya wanasiasa wanazidi kufanya waonayo kwao sahihi na sio kulingana na katiba.
 
Tanzania bara siyo tanganyika,by the way,lini tuliona mzanzibar kawa mkuu wa wilaya bara?.. hakuna,plus zenji wanadai matrilioni ya mgao wa mikopo,tuliwabana,sasa hivi ndiyo wanaonja utamu wa muungano
Kwani shaka hamidu shaka ni msukuma??
 
Tito Okello alikuwa raia wa Uganda. Anza kuchakata ushiriki wake katika mapinduzi ya Zanzibar
Mzee rudi kaperuzi historia kidogo, lazima utofautishe kwanza kati ya jina Titto Okello na John Okello ndio utajua namaanisha nini.
 
Back
Top Bottom