Wakuu , Natafuta Shule ya kufundisha Zanzibar kwa secondary au primary

Fufua Tumaini Jipya

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2024
Posts
223
Reaction score
469
Wakuu Mimi ni Mwalimu ambaye nimesomea kufundisha Kiswahili na kiingereza.

Natafuta Shule ya kufundisha kwa maeneo ya Zanzibar Unguja au Pemba.

Kwa upande wa primary naweza kufundisha vilevile kwa upande wa secondary.

Masomo ya social studies yote.
History
Civics
Kiswahili
English

Mawasiliano :0658124288
 
Wakuu Mimi ni Mwalimu ambaye nimesomea kufundisha Kiswahili na kiingereza.

Natafuta Shule ya kufundisha kwa maeneo ya Zanzibar Unguja au Pemba.

Kwa upande wa primary naweza kufundisha vilevile kwa upande wa secondary.

Mawasiliano :0658124288
Ipo ya kufundisha masomo hayo kwa kiarabu utafutwe?
 
Mkuu Mimi naweza kufundisha Islamic Knowledge Ila kiarabu hapana Mkuu

Ila naomba Kama upo Zanzibar tuwasiliane ikitokea fursa tujulishane Mkuu

Asante na ubarikiwe.
 
Back
Top Bottom