Hamad Masauni atakuwa Rais wa Zanzibar baada ya Dkt Husseni Mwinyi kumaliza muda wake 2030

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
40,476
Reaction score
26,173
Ndugu zangu Watanzania,

Nimeota Na kuonyeshwa Ndotoni ya Kuwa Mheshimiwa Hamad Masauni ndiye atakaye Pokea Kijiti cha Urais Kutoka kwa Mheshimiwa Dkt Husseni Mwinyi atakapokuwa anamaliza muda wake Mwaka 2030.

Ambapo nililetewa kikaratasi na kufunguliwa kisha kuonekana Jina la Hamad Masauni ndio litakalopendekezwa na kuchaguliwa na CCM kupeperusha Bendera ya Urais kwa Upande wa Zanzibar.

Kwa Sasa Mheshimiwa Hamad Masauni Ni Waziri wa Muungano na Kabla ya Hapo alikuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Anafahamika kwa Upole wake na unyenyekevu kama ilivyo ada na kawaida ya watu kutoka visiwani Zanzibar . Siyo mzungumzaji sana wala muongeaji sana . Ni mtu mkimya sana na asiye na Makuu.

Naomba kuishia hapa na nisingependa kuendelea zaidi ya hapa.
Screenshot_20250620-084649_1.jpg

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nimeota Na kuonyeshwa Ndotoni ya Kuwa Mheshimiwa Hamad Masauni ndiye atakaye Pokea Kijiti cha Urais Kutoka kwa Mheshimiwa Dkt Husseni Mwinyi atakapokuwa anamaliza muda wake Mwaka 2030.

Ambapo nililetewa kikaratasi na kufunguliwa kisha kuonekana Jina la Hamad Masauni ndio litakalopendekezwa na kuchaguliwa na CCM kupeperusha Bendera ya Urais kwa Upande wa Zanzibar.

Kwa Sasa Mheshimiwa Hamad Masauni Ni Waziri wa Muungano na Kabla ya Hapo alikuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Anafahamika kwa Upole wake na unyenyekevu kama ilivyo ada na kawaida ya watu kutoka visiwani Zanzibar . Siyo mzungumzaji sana wala muongeaji sana . Ni mtu mkimya sana na asiye na Makuu.

Naomba kuishia hapa na nisingependa kuendelea zaidi ya hapa.View attachment 3376469

Naona mbinu yako ya kumsifia jakaya na samia haijazaa matunda sasa umeanza kudili na wasaka na hii utafeli maana wataona umeanza kuwachoresha mapema na ukifeli na hii lazima uyatoe sadaka marinda maana hakuna namna
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nimeota Na kuonyeshwa Ndotoni ya Kuwa Mheshimiwa Hamad Masauni ndiye atakaye Pokea Kijiti cha Urais Kutoka kwa Mheshimiwa Dkt Husseni Mwinyi atakapokuwa anamaliza muda wake Mwaka 2030.

Ambapo nililetewa kikaratasi na kufunguliwa kisha kuonekana Jina la Hamad Masauni ndio litakalopendekezwa na kuchaguliwa na CCM kupeperusha Bendera ya Urais kwa Upande wa Zanzibar.

Kwa Sasa Mheshimiwa Hamad Masauni Ni Waziri wa Muungano na Kabla ya Hapo alikuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Anafahamika kwa Upole wake na unyenyekevu kama ilivyo ada na kawaida ya watu kutoka visiwani Zanzibar . Siyo mzungumzaji sana wala muongeaji sana . Ni mtu mkimya sana na asiye na Makuu.

Naomba kuishia hapa na nisingependa kuendelea zaidi ya hapa.View attachment 3376469

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
I doupt that, hamna wazir aliepita wizara ya mambo ya ndani akawa rais, labda waziri mkuu
 
Wewe Jamaa kama kweli unaye mke na Watoto, Basi kiufupi Unawadhalilisha Sana Kwa Tabia Zako za Uchawa/ ndio Maana Kila Siku nakuhuliza Wewe ni WA jinsia Gani?
 
Ungejigunza kwanza kuandika ndio uje uulize maswali maana bado hujakomaa kiakili.
 
Back
Top Bottom