PICHA: Nilichoshuhudia ni ishara mbaya sana kwa jamii

PICHA: Nilichoshuhudia ni ishara mbaya sana kwa jamii

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
15,266
Reaction score
25,555
Asalaam alykhum.
Tumsifu Kristu.


IMG_20250712_183953.jpg

IMG_20250712_184037.jpg

Kuna lile tukio lilitokea kule Serengeti (kama sijakosea) la simba dume kutongozana na kuanza kufanya ufuksa.

Basi leo siyo Serengeti ni mjini kabisa hapa Zanzibar, nikiwa napelekwa kupumzika kule Pwani mchangani kufika eneo moja la jeshi karibu na chuo cha Mwl. Nyerere.

Tulisimama kupisha kundi ka mbuzi kuvuka barabara ndipo nikaona kama unavyoona pichani, yaani beberu ni wengi sana na kinachoendelea hapo wanapandiana wao kwa wao, subhuana wallah 😞!.

Na kuna vijana wadogo wanaangalia matukio hayo, nilishikwa bumbuwazi, haki 😢!.
 
Ayaaaaa mpaka wanyama wanafundisha tabia mbaya wanadamu siku hizi

Mkuu usidhalilishe wanadamu kiasi hicho hizo ni akili za wanyama

Wanaofanya huo upuuzi hawaangalii wanyama ni ujinga wao

Na kwa upande wa mbuzi dume kupandana anakuwepo dume mwenye nguvu kuliko wote huyo ndio anapanda majike, hawa waliobaki wataweza kupanda kama huyo/hao mwenye nguvu hayupo eneo la tukio ama majike mengi yapo kwenye joto
 
Nasubiri kuona mapovu ya waja, wanaosema, hata wanyama hawawezi kuwa homo.

Hikii nini? Ahsante kwa kutuletea uthibitisho huu, nimesha save hizi picha, kwa ushahidi zaidi hapo baadae.

Ubarikiwe sanaa!!
 
Binadamu akifanya huo upumbavu basi huyo ni shetwain wa kuaminika,ila wakifanya hivyo wanyama it's ok kwa sababu wanyama ni hayawani yaani hawana utashi na ndio maana sio ajabu kuona mbwa anampanda mama yake ila kwa binadamu hiyo ni laana.SIUNGI MKONO USHOGA
 
Mtoa mada,
Sio Kila ukiona beberu anamkwea beberu mwenzie Kwa nyuma ni ishara ya ushoga au anataka kumfira.

Ile ni ishara ya kuimarisha bond ya ujamaa, undugu na urafiki MIONGONI mwa wanyama.

Hii utokea Mara Kwa mara hasa kama beberu mmoja anataka kumuaproach beberu mwenzie ili waanze kucheza. Afu mwenzie ata HAYUKO kwenye mood.

Na hii sio Kwa beberu TU, Hata majike pia ufanya hivi, na sio kwamba ukadhani wanataka kusagana.

TUJIFUNZE KUWAELEWA WANYAMA
 
Mtoa mada unashangaa ya mbuzi,

Vipi ukiwaona sokwe Si ndo utasema wanyama wanacheza ex kabisa?

Jamii ya sokwe ni kawaida sana dume Mmoja kumlamba kwapani dume mwenzie ktk kuimarisha bond ya jamii Yao.

Au kuipapasa dushe ya dume mwenzie ili kumuondolea chawa.

NA Kama ana kidonda kwenye dushe, utashuhudia kinasafishwa Kwa kukilamba Kwa ulimi.

Na Wala sio kwamba pale wanapigana blowjob
 
Mtoa mada,
Sio Kila ukiona beberu anamkwea beberu mwenzie Kwa nyuma ni ishara ya ushoga au anataka kumfira.

Ile ni ishara ya kuimarisha bond ya ujamaa, undugu na urafiki MIONGONI mwa wanyama.

Hii utokea Mara Kwa mara hasa kama beberu mmoja anataka kumuaproach beberu mwenzie ili waanze kucheza.

Na hii sio Kwa beberu TU, Hata majike pia ufanya hivi, na sio kwamba wanataka kusagana.

TUJIFUNZE KUWAELEWA WANYAMA
UMEMALIZA CHIEF
 
Mbuvi wanafanya hizi kitambo sana labda ujawahi kuchunga au kukaa karibu na machinjio
mbuzi mbwa sometime NG'OMBE huwa wana nyege za hovyo sana
wanatomba hata makopo miti nk
hasa mbwa ndio wa hovyo kabisa yeye anaweza KUTOMBA hata hewa na safi tu

mbwa na mbuzi wakiwa wanafanyana madume hawaingizani huwa ni wapuuzi tu na akili zao za kiduazwi
 
Asalaam alykhum.
Tumsifu Kristu.


View attachment 3403564
View attachment 3403567
Kuna lile tukio lilitokea kule Serengeti (kama sijakosea) la simba dume kutongozana na kuanza kufanya ufuksa.

Basi leo siyo Serengeti ni mjini kabisa hapa Zanzibar, nikiwa napelekwa kupumzika kule Pwani mchangani kufika eneo moja la jeshi karibu na chuo cha Mwl. Nyerere.

Tulisimama kupisha kundi ka mbuzi kuvuka barabara ndipo nikaona kama unavyoona pichani, yaani beberu ni wengi sana na kinachoendelea hapo wanapandiana wao kwa wao, subhuana wallah [emoji20]!.

Na kuna vijana wadogo wanaangalia matukio hayo, nilishikwa bumbuwazi, haki [emoji22]!.
Unahitaji msaada wa kisaikolojia, una shida sehemu. Yaani mbuzi ndo wanakushughulisha kiasi hicho? Unafanya kazi gani kwanza?
 
Hata ukienda jamii ya Simba,

Hasa Zile ambazo Simba dume ndugu wawili waliozaliwa na kukua pamoja wanaongoza koloni la majike kadhaa kwenye territory Yao.

Mara nyingi wakiwa kwenye Mizunguko ya ulinzi WA mipaka Yao (territory) , ufanya kukweana hivyo Mara Kwa mara.

Na hii unakuta wametokea nayo wanataniana tangu utotoni pale wanapokua wanawaigizia wazazi wao jinsi wanavowinda wanyama wakubwa Kwa kuwakwea Kwanza nyuma ili kuwakosesha balance.

Na hii Kwa Simba ufanywa na Simba Ambae ni mdogo kimamlaka (submissive), asiye na majukumu makubwa.

Maana Simba mkubwa kimamlaka (dominant) ndo anatanguliaga mbele na anakuaga serious Sana na ishu za ulinzi WA mipaka.

Wakati submissive yeye uwa na mizaha na masihara mengi kwenye ishu serious
 
Back
Top Bottom