Nope hii sijaiangalia. Naiskia tuMi mwenyewe siangalii, ila nili angalia siku moja na aunt yako (last sibling wangu).
Kuna scene kobisi(bonge nyanya) ali sema tuseme inshallah, basi niki rudia kusema hivyo dogo ana cheka kweli😂😂.
Alice in borderland ume angalia? Ni kali kuliko squid game.