Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Mi mwenyewe siangalii, ila nili angalia siku moja na aunt yako (last sibling wangu).Lol....halafu hilo neno kombolela naliskia tu kwa watu. Sijawahi hata kuangalia
At least ungesema Squid game 😃
Kuna scene kobisi(bonge nyanya) ali sema tuseme inshallah, basi niki rudia kusema hivyo dogo ana cheka kweli😂😂.
Alice in borderland ume angalia? Ni kali kuliko squid game.