PICHA: Nilichoshuhudia ni ishara mbaya sana kwa jamii

PICHA: Nilichoshuhudia ni ishara mbaya sana kwa jamii

Mufti hili tukio nimeshuhudua mimi siyo wewe, eti useme hapo walikuwa wanafanya friend approaching heheheeeeee!.

Approach wkt mshebedwe umemea kabisa na pingili za nyonga zinaplay 〽️ hebu acha mkuu!.
😂😂😂😂😂😂😂
Nacheka chizi hapa, kwani unadhani wao hawajui hilo?
Wanajitoa ufahamu na kujizima data. Tyuuh.
Lol
 
Ile ni ishara ya kuimarisha bond ya ujamaa, undugu na urafiki MIONGONI mwa wanyama.

TUJIFUNZE KUWAELEWA WANYAMA
Na ukiona pia mwanaume anampanda mwanaume mwenzake ujue hiyo ni ishara ya kuimarisha ujamaa, undugu na urafiki MIONGONI mwa wanaume na sio ushoga.

TUJIFUNZE KUWAELEWA WANAUME.

Cc: cocastic
 
Nasubiri kuona mapovu ya waja, wanaosema, hata wanyama hawawezi kuwa homo.

Hikii nini? Ahsante kwa kutuletea uthibitisho huu, nimesha save hizi picha, kwa ushahidi zaidi hapo baadae.

Ubarikiwe sanaa!!
Seems you are pro- homo. aren't you?
 
Hii nmeona toka nikiwa darasa la2, mmechunga kweli ndugu zangu.
 
Asalaam alykhum.
Tumsifu Kristu.


View attachment 3403564
View attachment 3403567
Kuna lile tukio lilitokea kule Serengeti (kama sijakosea) la simba dume kutongozana na kuanza kufanya ufuksa.

Basi leo siyo Serengeti ni mjini kabisa hapa Zanzibar, nikiwa napelekwa kupumzika kule Pwani mchangani kufika eneo moja la jeshi karibu na chuo cha Mwl. Nyerere.

Tulisimama kupisha kundi ka mbuzi kuvuka barabara ndipo nikaona kama unavyoona pichani, yaani beberu ni wengi sana na kinachoendelea hapo wanapandiana wao kwa wao, subhuana wallah 😞!.

Na kuna vijana wadogo wanaangalia matukio hayo, nilishikwa bumbuwazi, haki 😢!.
ndugu shoga naona umefurahi kweli moyoni kukutana na mashoga wenzie mbuzi. kama moyo wako haujajaa uchafu, inakuwaje wazo kama hilo lipite tu hata kichwani kwako?
 
Back
Top Bottom