cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Baba Joy acha uongo wako hapa. Yaan huoni hata aibu kudanganya wazi wazi hivi?Mtoa mada,
Sio Kila ukiona beberu anamkwea beberu mwenzie Kwa nyuma ni ishara ya ushoga au anataka kumfira.
Ile ni ishara ya kuimarisha bond ya ujamaa, undugu na urafiki MIONGONI mwa wanyama.
Hii utokea Mara Kwa mara hasa kama beberu mmoja anataka kumuaproach beberu mwenzie ili waanze kucheza. Afu mwenzie ata HAYUKO kwenye mood.
Na hii sio Kwa beberu TU, Hata majike pia ufanya hivi, na sio kwamba ukadhani wanataka kusagana.
TUJIFUNZE KUWAELEWA WANYAMA
Mie nimesha chunga, mifungo, (ng'ombe, mbuzi, na kondoo) madume yakitaka kucheza huwa wanaanza na trick ya kupigana, sio hii ya kupandana.
Tutolee Fix zako hapa. Khaaah 😂😂😂😂