PICHA: Nilichoshuhudia ni ishara mbaya sana kwa jamii

PICHA: Nilichoshuhudia ni ishara mbaya sana kwa jamii

Asalaam alykhum.
Tumsifu Kristu.

View attachment 3403564
View attachment 3403567
Kuna lile tukio lilitokea kule Serengeti (kama sijakosea) la simba dume kutongozana na kuanza kufanya ufuksa.

Basi leo siyo Serengeti ni mjini kabisa hapa Zanzibar, nikiwa napelekwa kupumzika kule Pwani mchangani kufika eneo moja la jeshi karibu na chuo cha Mwl. Nyerere.

Tulisimama kupisha kundi ka mbuzi kuvuka barabara ndipo nikaona kama unavyoona pichani, yaani beberu ni wengi sana na kinachoendelea hapo wanapandiana wao kwa wao, subhuana wallah 😞!.

Na kuna vijana wadogo wanaangalia matukio hayo, nilishikwa bumbuwazi, haki 😢!.
Unafikiri nini kifanyike shekhe!?
 
Ni vizuri tungepata Elimu kutoka kwa wafugaji ambao wamesomea Agriculture science Ila pia wanafuga wanyama Kama hao .

Kuna Mdau kaelezea vizuri hapo juu.

Kwa Mimi navyojua binadamu ndo kiumbe ambaye Ana akili ndogo kwakuwa bindamu anaweza Ku-justify ujinga ili uonekane halali
 
We jamaa hautumi muda wako kujifunza na kuwaelewa wanyama

Wanyama kupandana hivyo haimaniishi wanfanya sex .

Itakuwa umeathirika kisaikolojia na hauna Elimu ya wanyama .

Kuna Mdau hapo juu amejitahidi kuelezea vizuri.
Uongoooo!!!

Unahisi watu hawawajui wanyama? Wana wafuga na wana wachunga kila siku.

Mkikosaga hoja au mkibananishwa, mnakuja na fix za uongo, ili mradi mpate cha kuandika kile mnachotaka.

😂😂😂😂😂
 
Uongoooo!!!

Unahisi watu hawawajui wanyama? Wana wafuga na wana wachunga kila siku.

Mkikosaga hoja au mkibananishwa, mnakuja na fix za uongo, ili mradi mpate cha kuandika kile mnachotaka.

😂😂😂😂😂
Sawa mkuu
 
Mleta uzi haya ndio madhara ya kukulia mjini hujawahi kuchunga wala kukaa karibu na mifugo na kuwaelewa!!

Tuulize sisi tulichunga miaka na miaka tunajua.

Elewa beberu la mbuzi kumpanda beberu mwenzio sio ushoga ni michezo tu hata kwa binadamu tumecheza michezo kama mieleka nk

Lengo la mbuzi hao ni kum Alert mwenzio kwamba yupo tyr kwa mchezo na kama uliangalia kwa umakini uliona kabisa dushe ikizima kunduchi? Jibu hukuona.

Halafu sio beberu tu hata majike hufanya hivyohivyo hata ng'ombe iko hivyo mkuu.

Hivyo jitahidi sana kufanya tafiti japo unajipa muda au kuuliza kwa wazoefu lkn ukija kwa ku conclude hivi unakosea maana sio kweli.

Ukija kwenye kuku majogoo yakiwa mengi mfano hasa umefuga majogoo tupu kwa ajiri ya biashara umri ukifika yataanza kupandana kabisa kabisa.

Na hii ina ku Alert wewe kuwa yanahitaji like na ukileta like umtupie mle hata pumzishwa yaani utamhurumia.

Nasema hayo kwa sababu nimeona mara nyingi zaidi.

Mbuzi hata binadamu anaweza kumpanda akiwa na mzuka si kwamba eti anataka kweli akupige pipe la hasha bali anakupa taarifa anahitaji jike na amefanya jitihada zote hujamuelewa

Ukibisha bisha tu lakini huu ndo ukweli 100%
 
Ni vizuri tungepata Elimu kutoka kwa wafugaji ambao wamesomea Agriculture science Ila pia wanafuga wanyama Kama hao .

Kuna Mdau kaelezea vizuri hapo juu.

Kwa Mimi navyojua binadamu ndo kiumbe ambaye Ana akili ndogo kwakuwa bindamu anaweza Ku-justify ujinga ili uonekane halali
😂😂😂😂😂
Picha zimewekwa kwa ushahidi hapa, mmeanza kuleta fix zenu za uongo.

Si ndo nyie mnasemaga hata wanyama hawawezi fanya hivyo, haya mmeletewa picha tena kutoka ardhi ya TZ, hamkawii kusema wanyama wa ulaya hao.

Mnaanza kuleta fix za agricultural science. Kwani hapo mwanzo mbna hamkuwa mnawataka waje waeleze hiki kitu?

Ila Wajaa, 😂😂😂😂😂
 
Mleta uzi haya ndio madhara ya kukulia mjini hujawahi kuchunga wala kukaa karibu na mifugo na kuwaelewa!!

Tuulize sisi tulichunga miaka na miaka tunajua.

Elewa beberu la mbuzi kumpanda beberu mwenzio sio ushoga ni michezo tu hata kwa binadamu tumecheza michezo kama mieleka nk

Lengo la mbuzi hao ni kum Alert mwenzio kwamba yupo tyr kwa mchezo na kama uliangalia kwa umakini uliona kabisa dushe ikizima kunduchi? Jibu hukuona.

Halafu sio beberu tu hata majike hufanya hivyohivyo hata ng'ombe iko hivyo mkuu.

Hivyo jitahidi sana kufanya tafiti japo unajipa muda au kuuliza kwa wazoefu lkn ukija kwa ku conclude hivi unakosea maana sio kweli.

Ukija kwenye kuku majogoo yakiwa mengi mfano hasa umefuga majogoo tupu kwa ajiri ya biashara umri ukifika yataanza kupandana kabisa kabisa.

Na hii ina ku Alert wewe kuwa yanahitaji like na ukileta like umtupie mle hata pumzishwa yaani utamhurumia.

Nasema hayo kwa sababu nimeona mara nyingi zaidi.

Mbuzi hata binadamu anaweza kumpanda akiwa na mzuka si kwamba eti anataka kweli akupige pipe la hasha bali anakupa taarifa anahitaji jike na amefanya jitihada zote hujamuelewa

Ukibisha bisha tu lakini huu ndo ukweli 100%
Sio kwa 📃 hii, shida nini wajaa?
Mbna nguvu kubwa sanaa, Lol
😂😂😂😂😂😂
 
Hata ukienda jamii ya Simba,

Hasa Zile ambazo Simba dume ndugu wawili waliozaliwa na kukua pamoja wanaongoza koloni la majike kadhaa kwenye territory Yao.

Mara nyingi wakiwa kwenye Mizunguko ya ulinzi WA mipaka Yao (territory) , ufanya kukweana hivyo Mara Kwa mara.

Na hii unakuta wametokea nayo wanataniana tangu utotoni pale wanapokua wanawaigizia wazazi wao jinsi wanavowinda wanyama wakubwa Kwa kuwakwea Kwanza nyuma ili kuwakosesha balance.

Na hii Kwa Simba ufanywa na Simba Ambae ni mdogo kimamlaka (submissive), asiye na majukumu makubwa.

Maana Simba mkubwa kimamlaka (dominant) ndo anatanguliaga mbele na anakuaga serious Sana na ishu za ulinzi WA mipaka.

Wakati submissive yeye uwa na mizaha na masihara mengi kwenye ishu serious
Mkuu una elimu nzuri sana ya wanyama.
Ulichoandika ndio ukweli wenyewe.

Inaonesha Mleta mada amekulia mjini na hana uelewa wa tabia za wanyama,, ajifunze kitu kwenye mabandiko yako.
 
Uongoooo!!!

Unahisi watu hawawajui wanyama? Wana wafuga na wana wachunga kila siku.

Mkikosaga hoja au mkibananishwa, mnakuja na fix za uongo, ili mradi mpate cha kuandika kile mnachotaka.

😂😂😂😂😂
Soma comment no67 juu hapo.

Mimi utoto wangu na ukubwa wangu nimechunga na nimeona wakifanya hivyo lakino sijawahi Ona kamwingizia dushe lake never ever.

Hao walichunga wakaona nao waliona kama.mleta uzi ukiwauliza dushe ilizama hawana majawabu.

Kwanza mbuzi au ng'ombe hawapandi ovyo majike yao kama binadamu hadi anuse mkojo ajue kabisa huyu anahitaji kupandwa kama ana mimba hutaona ikitokea basi una madume mengi mno

Huo ndo ukweli
 
😂😂😂😂😂
Picha zimewekwa kwa ushahidi hapa, mmeanza kuleta fix zenu za uongo.

Si ndo nyie mnasemaga hata wanyama hawawezi fanya hivyo, haya mmeletewa picha tena kutoka ardhi ya TZ, hamkawii kusema wanyama wa ulaya hao.

Mnaanza kuleta fix za agricultural science. Kwani hapo mwanzo mbna hamkuwa mnawataka waje waeleze hiki kitu?

Ila Wajaa, 😂😂😂😂😂
Wewe tushakuelewa tunakupa 👍🏼👍🏼👍🏼 I can't argu with you anymore
 
Jinsi ya kutofautisha mnyama anaemkwea mwenzie ili asex nae, na anaemkwea ili wacheze.

Ni kuangalia erection ya uume pamoja na mdomoni anaonyesha ishara gani pindi tukio Hilo linafanyika
Mkuu sahihi kabisaa sisi tulio chunga tunajua ulichokisema ni ukweli atakaepinga basi analake jambo.
 
Kumeanzaaa kuchangamkaaaa!!

Waja wanakuja na fix za uongo, kutoka kila pande, afadhari mleta uzi kaweka na picha, vinginevyo angeitwa muongo na mchochezi.

Nasoma comments huku mbavu sina kwa kuchekaa, waja wanademka tyuuuh. Lol

Sisi wafugaji sio maajabu hayo na tumeanza kuona tangu tukiwa watoto sijawahi Ona uume umeingia kwenye haja kubwa ya mbuzi dume sijawahi na haipo!
 
Wala usitishike kwa tabia hii ya wanyama walio wengi. Kwa uzoefu wangu wa kufuga mbuzi na ng'ombe, hiyo ni tabia ya kawaida kwa wanyama hao. Hata majike kuna wakati huwapanda wenzao au hata madume ikiwa na sehemu ya michezo ya kujiweka sawa. Ingawa majike kweli kuna wakati huwa heat pia. So ni kawaida sana.
Ila kwa wanadamu ni changamoto
 
Back
Top Bottom