Video hii inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchapwa eti ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani.
Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara? Ni watu baki au ni watu wasio na haki ya kukaa Zanzibar? Maana hapo ni ubaguzi wa wazi, kupanda mbegu...
Taifa la Mungu wakati tukijiandaa kusherekea Pasaka siku ya jumapili. Wakirsto waliopo Zanzibar wapo kwenye mtihani mkubwa.
Zanzibar kwa sasa ukila mchana unakamatwa na polisi na kuwekwa ndani.
Je itakuwaje kwenye siku ya Pasaka ambayo inatakiwa waumini wachinje na kula na kusherekea pamoja...
Zanzibar sio Nchi inayoongozwa na Sheria za Kiislamu, Zanzibar ni nchi inayoongozwa na katiba huru.
Inakuwaje unamkamata mtu kwa sababu ya kutokufunga Ramadhan, ni wapi kwenye katiba wamesema kwamba usipofunga inapaswa kuswekwa Ndani. Mkianza kutuletea sheria za kiarabu Kwenye ardhi za Tanzania...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linawashikilia watu kumi na mbili kwa tuhuma za kukutwa wakila mchana hadharani kipindi hiki cha Mwezi mtukufu wa Ramadhan ambao wanaifanya kuwa idadi ya watu waliokamatwa kwa tuhuma za kutenda makosa mbalimbali kufikia sitini na mbili
Akitoa...
● Asema upatikanaji wa huduma jumuishi za fedha Zanzibar sasa zimekua kwa zaidi ya asilimia 80.
Zanzibar Jumatano Machi 27, 2024: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema Ripoti ya FinScope Tanzania 2023 kwa upande wa Zanzibar, ambayo...
Hii ndio gia mpya waliyoamua kuja nayo baada ya Chaguzi zao kumalizika
Zaidi soma hapa
--
Akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 8 Machi 2024 jijini Dar es Salaam Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu amesema viongozi wa chama hicho watakutana na Rais wa Jamhuri wa...
Hili tukio la kusikitisha limetokea huko Paje Mama lishe aliyekuwa amejifungia ndani ya nyumba huku akipika chakula ambacho baadae bodaboda hukichukua na kuwapelekea Wateja ambao hawajafunga wengi wao wakiwa wa imani nyingine amekamatwa na halmashauri baada ya baadhi ya majirani kuchukizwa na...
Mchambuzi wa masuala ya kabumbu Alex Ngereza ametia neno kuhusu kambi ya Simba walikoweka Zanzibar:-
"Sijaona sababu ya Simba kwenda kuweka kambi Zanzibar kwasababu zimebaki siku chache kuelekea mchezo dhidi ya Al ahly lakini pia wapo baadhi ya wachezaji muhimu hawapo wameenda kuzitumikia timu...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali inapenda kuzialika kampuni zote za utafutaji na uchimbaji wa mafuta na gesi kushiriki katika Duru ya kwanza .
Rais Dkt. Mwinyi amewakikishia wawekezaji wote wa sekta ya mafuta na gesi kuwa...
POST: BANK OPERATIONS OFFICER – 7 POSTS.
DUTY STATION: Unguja -2 Post, Pemba-2 Post, Mbeya –1, Morogoro -2 Post.
Minimum Qualifications, Experience and Competency.
Holder of Bachelor Degree of Banking and Finance, Islamic Banking or its equivalent and related qualifications. ii. Computer...
Hawa wazungu wamekuwa wakikamata paka mitaani na majumbani kisha kuwang'oa uzazi.
Baada ya miaka michache tu nchi ya Zanzibar itakuwa haina paka hata mmoja.
Paka wana faida nyingi sana kwa jamii na kimazingira pia.
Hizi kampeni zinazoendelea, serikali izitupie macho.
Wanyama wana haki ya...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amepokea salamu za pole nyumbani kwake Migombani kutoka kwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF) Jenerali John Jacob Mkunda kufuatia kifo cha Baba Mzazi, Rais Mstaafu wa Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Uteuzi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi amefanya mabadiliko ya Wakurugenzi katika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kama ifuatavyo;
Ndugu Othman Omar Othman ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mafunzo ya Ualimu. Kabla ya Uteuzi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais Yoweri Museveni wa Uganda na Rais William Ruto wa Kenya wakiangalia picha ya Viongozi wa Nchi mbalimbali za Afrika wakati Rais Museveni alipomkabidhi Rais Samia zawadi hiyo baada ya mazungumzo yao Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar...
Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar , Othman Masoud , ambaye pia aliwahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar , amenukuliwa akieleza kwamba , kwa sasa Zanzibar hakuna amani , bali kuna Ukimya tu .
ZANZIBAR HAKUNA AMANI, KUNA UKIMYA
"Kilichopo sasa Zanzibar ni kimya; na si amani; kwa sababu...
Eight childrens and an adult died after eating sea turtle 🐢 meat on pemba Island in the ZANZIBAR archipelago and other 78 people were hospitalized, authority said at Saturday.
According to the AP news sea turtle meat is considered a delicacy by zanzibar's people even though it periodically...
Salaam wakuu,
Kila mwaka wenzetu Zanzibar wamekuwa wakipata visa vya vifo kutokana na ulaji holela na usio makini wa KASA. Tukiendelea kuendekeza hili suala tutajikuta kila mwaka tunapoteza nguvu kazi nyingi tena za familia moja kutokana na ulaji wa huyu kiumbe.
Ni vyema mamlaka za Zanzibar...
HIP HOP IN ZANZIBAR...
MUziki wa Rap ni Muziki pekee ambao hutoa Elimu kwa jamii kutokana na aina ya Tungo au Mashairi wanayoimba wasanii wanaofanya Muziki Huo ..
Kwa Hapa Tanzania tuna list ya wasanii wengi sana waliofanya makubwa katika tasnia Hii ya Muziki wa Rap..
Wasanii Hao ni kama
2...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.