26.04.1964 Tanganyika na Zanzibar ziliungana na kuunda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Ijumaa 26.04.2024,tutaazimisha miaka 60 ya Muungano huu!
Leo hapa Jijini Dodoma,kuna tamasha lakuombea Taifa letu,pia shamrashara zakuazimisha miaka 60 ya Muungano huu,Mgeni Rasimi ni Makamo wa Rais Dkt...
📌📌KOMREDI JOKATE MWEGELO (MNEC) AAINISHA MAPINDUZI MAKUBWA KATIKA SEKTA YA ELIMU ZANZIBAR
Asema Vijana wanayo kila Sababu ya Kumuunga Mkono Dkt. Mwinyi
Mambo Mengi makubwa Dkt. Mwinyi ameyafanya kwa Kipindi Kifupi
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Konresi Jokate...
Zanzibar watalii wanne wa Ki Israel wametimuliwa baada ya kuleta fujo ndani ya hotel baada ya kuona gari la manager wa Hotel Hiyo Ina stika za Free Palestine
🚨🇮🇱🇵🇸 FOUR ISRAELIS were KICKED OUT OF A HOTEL in Tanzania for complaining about the "FREE PALESTINE" badge on the manager's car.
Four...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Rufiji linamchunguza aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia (DED), Mkoa wa Pwani, Kassim Ndumbo kwa tuhuma za kufanya ngono na mfanyakazi wake wa ndani (jina limehifadhiwa) anayedaiwa kuwa na umri chini ya miaka 18.
Hatua hiyo imebainika...
Sera na mipango ya rais Mwinyi inavyoimaliza ACT- Wazalendo kuelekea 2025
Deogratias Mutungi
Utawala bora, Uchumi imara, Demokrasia safi, nidhamu na maadili ya viongozi, Ufanisi na mweleko wa mafanikio ya serikali yoyote ile ulimwenguni upimwa kwa sera na mipango yake kimamlaka na ndani ya...
Miaka 10 ya kupigania Maslahi ya wote na Zanzibar yenye Mamlaka kamili.
Ndugu waandishi wa habari, ACT Wazalendo inatimiza 10 tokea kuanzishwa kwake. Kilele cha Miaka 10 ya ACT Wazalendo itakuwa tarehe 5/5/2024, katika Viwanja vya Mwami Ruyagwa, Kata ya Gungu katika Manispaa ya Kigoma Ujiji...
Ndugu wana JF poleni na kazi na mihangaiko ya maisha.
Mimi ni kijana wa miaka 29 mzaliwa wa Morogoro na kukulia DSM hasa maeneo ya Tandika! Nilipohitimu masomo yangu pale UDSM 2017 nilikuja Unguja mwezi wa 7 mwaka huo huo kujaribu bahati yangu, kilichonileta ni soka na alieniunganisha na hio...
Kamati ya wataalamu wa masuala ya habari Zanzibar (ZAMECO) imekuwa mstari wa mbele katika jitihada za kufuatilia mchakato wa marekebisho ya sheria za habari ikiwemo sheria ya Utangazaji No. 7 ya 1997, ambayo ilifanyiwa marekebisho na sheria No. 1 ya 2010.
Katika vikao mbalimbali ZAMECO ilitoa...
ZANZIBAR NA LAMU ZINAVYOFANANA
Picha hiyo ya punda kabeba mizigo ni kwa hisani ya Abuu Shani.
Picha hii nimeipenda na imenikumbusha mara hyangu ya kwanza kufika Lamu mwaka wa 2007.
Nilikwenda kwenye Maulid ambayo ni katika kalenda muhimu kwa Waislam wa Afrika ya Mashariki.
Nimewaambia rafiki...
Gari lazama baharini Zanzibar
Gari aina Mitsubish canter imedondoka baharini katika bandari ya Malindi Zanzibar katika harakati za upakuaji wa mizigo
kikosi cha zima moto na uokozi pamoja na Jeshi la Polisi linaendelea zoezi la uokoaji
Rais wa zanzibar 2000 hadi 2010 Amani Abeid Karume, akiri kuandaliwa kuchukua wadhifa huo.
Akihojiwa ktk kipindi cha ITV DK 45 leo usiku, amesema aliitwa na wazee na kuambiwa Dkt Salmin anamaliza muda wake "Tunataka wewe uwe Rais"
Baada ya hapo alienda kuchukua fomu ya urais na ktk mchujo...
Msikilize hapa aliyewahi kuwa Waziri wa ardhi JMT
Ni kwamba watu weusi hatukujifunza kabisa kuwa ukoloni, utumwa na kutawaliana kimabavu kuwa ni kitu kibaya.
Kumbe wazungu na waarabu walikuwa sahihi sana kututawala kimabavu na kutukamata watumwa na kuuza sokoni kama mbuzi sasa nimeelewa kuwa...
Mahakama Kuu, Zanzibar imebatilisha kifungu cha 33(1) cha Sheria ya Kudhibiti Vileo (LCA) ya mwaka 2020 kinachoweka ukomo wa kampuni zinazoruhusiwa kuagiza vileo ikisema kinakinzana na Katiba ya Zanzibar.
Uamuzi huo umetolewa na Jaji George Kazi katika hukumu ya kesi ya kikatiba iliyofunguliwa...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili hapo chini:
Mahakama Kuu, Zanzibar imebatilisha kifungu cha 33(1) cha Sheria ya Kudhibiti Vileo (LCA) ya mwaka 2020 kinachoweka ukomo wa kampuni zinazoruhusiwa kuagiza vileo ikisema kinakinzana na Katiba ya Zanzibar.
Uamuzi huo umetolewa na Jaji George...
Ratiba ya Kisomo cha Dua ya Arubaini ya Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi wa Awamu ya Tatu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Awamu ya Pili.
📅 7 Aprili, 2024.
📍 Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika Kongamano la Kiimani kwa Viongozi na Watendaji Wakuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar lililoandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais na kuratibiwa na Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar ukumbi wa...
Unguja Zanzibar
Kesi ya umiliki wa nyumba Mjini Zanzibar, iliyosikilizwa katika Mahakama Kuu Tunguu Zanzibar
Shehia ya Mnazi Mmoja mji mkongwe Zanzibar aelezea mkasa mzima
Narendra Kanji Jiwa & Rekha Kanji Jiwa v. Raza Hassanali Kassam Bachoo & Two Others (Civil Application 130 of 2023)...
Friends and Our Enemies,
Beautiful Islands Of Africa, Zanzibar...
Fahari pekee iliyobakia Africa na inayozidi kuwakilisha ubantu na TAMADUNI za heshima ni wewe Zanzibar.
Watu wengi wakitaka kujitambulisha Kwa wageni WASIO ifaham Tanzania basi utawaskia wakisema huko kuwaambia wageni kuwa Mimi...
Kumekuwa na manung'uniko mengi linapokuja suala la muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar huku kila upande ukionesha kutoridhishwa na muungano huu.
Suala la muungano tangu kuanza kwa kwake mpaka sasa limekuwa likitawaliwa na maamuzi ya watu wachache ( Elites), huku mawazo na mitazamo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.