Wakuu,kama tunavyofahamu kuna wabunge zaidi ya 50 kutoka Zanzibar na wengine huchaguliwa kutoka baraza la wakilishi kuja kwenye Bunge la Muungano ambalo kimsingi ni Bunge la Tanganyika kupitia Koti la muungano.
Ambapo wabunge hao kutoka Zanzibar huja kujadili masula ya Tanganyika,hivyo ni...
Wazanzibari kwa umoja wao wanataka utaifa wao utambulike kimataifa, wanataka sarafu yao, wanataka makabila yao na wanataka ardhi yao.
Wazanzibari wanataka Zanzibar na siyo Dodoma na wanataka vyama vyao vya kisiasa na siyo hivi vya kubambikiwa.
Wazanzibari wanataka uhuru wao! Hamsikii?
PIA...
KATIBU MKUU KIONGOZI WA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR AZINDUA MTANDAO WA TPSHRMNET.
Na Prisca Libaga, Arusha.
Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Zena Said amezindua rasmi mtandao wa mameneja rasilimali watu katika utumishi wa umma barani Afrika ,Tawi la Tanzania...
Ukisikiliza kilio cha wazanzibar kuhusu unyanyasaji wanaoupata ndani ya muungano huu usioeleweka, ni kama vile Tanganyika imeikalia Zanzibar kimabavu. Ni ukweli usiopingika kwamba wazanzibar wanapata taabu sana na huu muungano. Tangu Nyerere alipomrubuni Karume na kufanikiwa kuikalia Zanzibar...
Hebu tumsikilize hapo akiwa Zanzibar Mheshimiwa Lissu, ni dhahiri anaipenda Zanzibar ijitambue na kupata uhuru wake wa kweli badala ya kukubali kutawaliwa na Tanganyika (Dodoma) na kuveshwa kilemba cha ukoka.
Wazenji wamuunge mkono ndio ukombozi wao uko hapo.
PIA SOMA
- Muungano wa Tanganyika...
Wasaalamu, wakati mwingine pombe huwa na busara yake tunamalizia weekend ili kesho tukatumikie taifa tunataka kuondoka jamaa amekuja hapa ametupa one for the road, pia amekuja na mada ambayo pamoja na kwamba tuko bwah binafsi kama nimemuelewa hivi, anasema ardhi tanzania bara inaukubwa wa...
Mkuu wa Mkoa wa kusini Unguja Visiwani Zanzibar, Ayoub Mohammed Mahamoud, ametangaza uamuzi mpya wa kuwapatia Wafanyakazi wa Ofisi yake chai ya asubuhi ikiwa na kitafunwa cha mikate wenye siagi kuanzia kesho Jumatatu May 6 2024 ili kupunguza Wafanyakazi kuzurura saa za kazi, kuongea na simu mara...
Huyu Mwamba aisee amenishangaza. Ame niprove wrong, sikuwa na mwamini kivile.
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Chini ya Dr Hussein Mwinyi mtoto wa Hayati Alihasani Mwinyi uongozi wake umepevusha amani na utulivu ndani ya visiwa vya Zanzibar.
Kuna utulivu wa juu sana ukilinganisha na...
Nyerere aliona mbali sana si ajabu kusingekuwa na muungano tungalikwisha pinduliwa zamani au kuvamiwa na maadui kupitia kisiwa cha Zanzibar.
Kumbukeni Nyerere hakuwa mjinga kama mnavyofikri hasa akina Lissu wenye fikra finyu sana.
Kumbuka security ni muhimu sana kuliko interest zenu na...
Kwa hiki kinachoendelea pole sana watumishi wa umma, haiwezekani mtumishi no. 1 akashindwa kufika kwenye siku ya WafanyaKazi ambayo yeye ni mwenyekiti na ni mwajiri wa watumisho yote. Halafu Cha ajabu wawakilishi wake wanatoa majibu mepesi kwenye maswali yanayohitaji majibu sahihi.
Mbona Mh...
Bonjour,
Hapo Zanziba usipofunga unakandikwa bakora lakini kufiran.a ruksa. Unashangaa ?! Watakwambia suna yakhe.
Watu ma tamadudini za Arabia hasa hawa simbilisi weusi wavaa kanzu ni wanafiki sana wenye chuki na kupenda ghasia na vurugu. Kwao vurugu ni ushujaa. Ukidadisi hata kitabu chao cha...
1. Ndio waliotaka mfumo wa vyama vingi
2. Ndio waliofanya Tanzania bara izinduke kiupinzani wa siasa za upinzani
3. Ndio waanzilishi wa hizi Tv
4. Waanzilishi wa biashara
5. Hawanuniliki wapinzani wa siasa tofauti na upande wa pili
PIA SOMA
- Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani...
"Nilizungumzia visiwa vya Zanzibar vinahitaji kulindwa, na sikuzungumzia nika-'identify' kwamba ni watu kutoka Tanzania Bara au Tanganyika waje na pasipoti [...] Mimi nilisema tunahitaji pasipoti irudi kwa sababu Tanzania hii ni kubwa, hii Tanzania tumepakana na majirani zetu ambao wana sura...
Ninadhani sasa ni muda muafaka wa kulijadili suali nililotaja kwenye 'heading' kwa kina, IKIWEZEKANA LIENDE BUNGENI!, maana naona kuna watu, kwa chuki zisizo na msingi, wameamua kulitumia suala hili kiuchochezi zaidi! HEBU WADAU WAJIULIZE TU KWANINI HAWAPEWI PLOTS KUJENGA 'NGORONGORO...
Wakuu nadhani ni muda wa vyombo vya usalama kuamka na kuchunguza walio nyuma ya Lissu na nia ovu kupitia suala la Muungano.
Anachokifanya Lissu kipo kimkakati sana na hadi sasa naona kafanikiwa pakubwa kwenye nia yake ovu. Kutamka hadharani kuwa "huyu Rais mzanzibari anauza ardhi yetu" sio...
Wakati Watanzania wanaendelea kula Dozi ya Ubongo( Brain Vitamins) kutoka kwa Wakili Nguli na Mpigania haki Mh Makamu Mwenyenyekiti wa Chadema kwenye ziara zake.
Mh Lissu ambaye yuko ziarani ktk harakati zake za Kuendesha Maandamano mikoa yote Tanzania na mikutano ya kisiaaa ametoa Takwimu...
Zitto Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar.
Zitto ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu amesema Kwa masuala ya Muungano yanayohusu Mapato, Zanzibar hupata asilimia 2% pekee na ndio imekuwa...
Watanzania mjue jambo moja tu.
Tanzania Zanzibar hawakuanza kupewa nauli leo.
Wafanyakaz Zanzibar walianza kupewa nauli zamani kidogo.
Raisi Samia angalia hili
Kuna namna hainipendezi kwenye huu muungano. Yaani ukiwa mzanzibar una haki zote katika huu muungano ila ukiwa mtanganyika huwezi hata kuajiriwa na Serikali ya Zanzibar wala kwenda kujenga Zenji, ila ukiwa mzenji unaweza fanya lolote huku bara sasa si ni heri uwe Mzanzibari tuu....
Naomben...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.