Nyumba na gari ya kukodi kipindi hiki cha CHAN Zanzibar

Nyumba na gari ya kukodi kipindi hiki cha CHAN Zanzibar

Akhi

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2021
Posts
5,668
Reaction score
9,806
Kwa heshima na taadhwima wakubwa kwa wadogo napenda kuwaarifu kua endapo mtu au watu watataka nyumba za faraghq na sio hoteli kwa kipindi hiki cha CHAN kwa Zanzibar anitafute utakodishwa kwa bei rafiki kabisaa

Nyumba zipo full furniture unakuja wewe na nguo zako tu

Karibuni
 
Na kuvesha?
Kama kawaida,halishindikani jambo!

Nina jamaa yangu alikuwa anashuka Kariakoo hotel ya Wasomali kigezo cha kwanza kuingia pale mwanamke na mwanaume ni cheti cha ndoa yeye jamaa alikuwa hapati shida anaingia peke yake night kali anashuka chini anasomesha receptionist anaenda kupiga mambo,kilinishangaza zaidi yupo mmoja alikuwa Msomali jamaa mpaka alizalisha.
 
Mimi nimeziona ndugu ni nzuriii
 
Ukitaka na dereva makini nipo
 
Kama kawaida,halishindikani jambo!

Nina jamaa yangu alikuwa anashuka Kariakoo hotel ya Wasomali kigezo cha kwanza kuingia pale mwanamke na mwanaume ni cheti cha ndoa yeye jamaa alikuwa hapati shida anaingia peke yake night kali anashuka chini anasomesha receptionist anaenda kupiga mambo,kilinishangaza zaidi yupo mmoja alikuwa Msomali jamaa mpaka alizalisha.
Maninaaaa...😂😂😂.watu Wana balaa,... Wanatafuta solution chap kwa haraka....
 
Kwa siku ana fanya bei gani au kwa wiki nipo na jipanga kuja december uko zenji
Inategemea na ww unataka kukaa kwa muda gani ila bei zipo chini kuliko hoteli

Ni PM tuongee vzr
 
Back
Top Bottom