Nyumba na gari ya kukodi kipindi hiki cha CHAN Zanzibar

Nyumba na gari ya kukodi kipindi hiki cha CHAN Zanzibar

Kwa heshima na taadhwima wakubwa kwa wadogo napenda kuwaarifu kua endapo mtu au watu watataka nyumba za faraghq na sio hoteli kwa kipindi hiki cha CHAN kwa Zanzibar anitafute utakodishwa kwa bei rafiki kabisaa

Nyumba zipo full furniture unakuja wewe na nguo zako tu

Karibuni
TRA
 
Ndugu mimi ni mtu mwema sana hpa jf nina thread ya kutembeza wageni na hamna mtu nilomteka🤣🤣🤣
Wewe kama mfanya biashara na mtoa huduma ingefaa uweke namba hata ya mshirika wako ili mtu akihitaji anapiga simu bila I'd yake ya JF kujulikana.

Kwa mazingira ya sasa kupeana namba pm kuna ukakasi hasa kama mhusika yupo active kwenye jukwaa la siasa. Ni ushauri tu
 
Ndugu Zangu ukihitaji Nyumba ya kukodi kwa upande wa Zanzibar nitafute

Nyumba kodi ya mwezi ni kuanzia laki 4 full tiles na kuendelea
 
Back
Top Bottom